Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,863
- 141,437
Hizo sheria ni za huko huko Supermarket!Toka rais Magufuli aingie madarakani kumekuwepo na kelele nyingi sana hususan humu JF za kwamba eti yeye ni mkabila na mkanda.
Kwamba eti yeye serikali yake imejaa Wasukuma na watu wengine wa kanda ya ziwa. Nimejaribu kwa muda mrefu sasa na bila mafanikio kuomba nipewe takwimu zinazothibitisha hayo madai lakini wapi!
Sasa jana na leo yameibuka ya CCM kama chama kutuhumiwa hayo mambo. Kwamba eti CCM sasa ni chama cha kikanda kwa sababu mwenyekiti mpya wa UVCCM eti ni mpwa wa Magufuli.
Mimi sijui kama kweli huyo mtu ni mpwa wa Magufuli au la. Bado nasubiri uthibitisho na/au maelezo zaidi juu ya hilo.
Ila kwa sasa ningependa kupendekeza jambo moja au mambo kadhaa, kutegemea na mtu utavyolichukulia suala lenyewe.
Ni hivi, napendekeza iundwe sheria itayokataza viongozi wa serikali, kuanzia rais hadi viongozi wengine wenye madaraka na mamlaka ya kuteua watumishi, kuteua watu wa makabila yao, imani zao za dini, madhehebu yao ya dini, jinsia zifananazo na zao, watu watokao kanda watokazo wao, marafiki zao, majirani zao, jamaa zao, na mambo mengine kama hayo ili kuondoa haya manung’uniko ya upendeleo wa hiyo misingi katika utumishi wa umma.
Yaani kwa mfano kwa mfano, kama Magufuli ni Mkristo na Mkatoliki basi ni marufuku yeye kuteua watu wa imani ya Kikristo na Wakatoliki wenzie. Vilevile, itakuwa ni marufuku yeye kuteua watu wa kanda ya ziwa....yaani hakuna cha kuteua Mnyamwezi, Msukuma, Mkurya, Mhaya, Mjaluo na wengineo wote watokeao huko hata kama wana sifa nzuri namna gani. Pia hakuna kuteua wanaume.
Ateue Wachaga, Wagogo, Wandengereko, Wapagani, Waislamu, wanawake, na wengine ambao hafanani nao kwa namna yoyote ile ukiondoa labda rangi ya ngozi tu.
Naamini kwa dhati kabisa kuwa sheria kama hii italeta usawa, italifurahisha taifa, na itaondoa kabisa ubaguzi na upendeleo kwenye utumishi wa umma.
Haiwezi kutokea sheria kama hiyo all over the world
Talking of ordo ab chaoToka rais Magufuli aingie madarakani kumekuwepo na kelele nyingi sana hususan humu JF za kwamba eti yeye ni mkabila na mkanda.
Kwamba eti yeye serikali yake imejaa Wasukuma na watu wengine wa kanda ya ziwa. Nimejaribu kwa muda mrefu sasa na bila mafanikio kuomba nipewe takwimu zinazothibitisha hayo madai lakini wapi!
Sasa jana na leo yameibuka ya CCM kama chama kutuhumiwa hayo mambo. Kwamba eti CCM sasa ni chama cha kikanda kwa sababu mwenyekiti mpya wa UVCCM eti ni mpwa wa Magufuli.
Mimi sijui kama kweli huyo mtu ni mpwa wa Magufuli au la. Bado nasubiri uthibitisho na/au maelezo zaidi juu ya hilo.
Ila kwa sasa ningependa kupendekeza jambo moja au mambo kadhaa, kutegemea na mtu utavyolichukulia suala lenyewe.
Ni hivi, napendekeza iundwe sheria itayokataza viongozi wa serikali, kuanzia rais hadi viongozi wengine wenye madaraka na mamlaka ya kuteua watumishi, kuteua watu wa makabila yao, imani zao za dini, madhehebu yao ya dini, jinsia zifananazo na zao, watu watokao kanda watokazo wao, marafiki zao, majirani zao, jamaa zao, na mambo mengine kama hayo ili kuondoa haya manung’uniko ya upendeleo wa hiyo misingi katika utumishi wa umma.
Yaani kwa mfano kwa mfano, kama Magufuli ni Mkristo na Mkatoliki basi ni marufuku yeye kuteua watu wa imani ya Kikristo na Wakatoliki wenzie. Vilevile, itakuwa ni marufuku yeye kuteua watu wa kanda ya ziwa....yaani hakuna cha kuteua Mnyamwezi, Msukuma, Mkurya, Mhaya, Mjaluo na wengineo wote watokeao huko hata kama wana sifa nzuri namna gani. Pia hakuna kuteua wanaume.
Ateue Wachaga, Wagogo, Wandengereko, Wapagani, Waislamu, wanawake, na wengine ambao hafanani nao kwa namna yoyote ile ukiondoa labda rangi ya ngozi tu.
Naamini kwa dhati kabisa kuwa sheria kama hii italeta usawa, italifurahisha taifa, na itaondoa kabisa ubaguzi na upendeleo kwenye utumishi wa umma.
Haijengi ila inabomoa zaidi, Elimu ndo mkombozi wa yote, watu wanapaswa kuzungumzia uwezo wa kiutendaji zaidi ya personal issuesWhy not?
Toka rais Magufuli aingie madarakani kumekuwepo na kelele nyingi sana hususan humu JF za kwamba eti yeye ni mkabila na mkanda
This is too low kwa veteran kama wewe hapa JF. Usipende kuonesha mental degradation yako as you are getting old!Why not?
Ni kweli mkuu maana wengine sie ndiyo tunajulia humu kuwa fulani kumbe ni kabila fulani kupitia kwenye haya malalamiko yao.
Huwezi kuuona ukabila au ukanda pasipo na wewe kuwa mkabila au mkanda
Wote wanaopiga kelele za kumtuhumu Raisi Magufuli wao ndo wenye chembe chembe za kibaguzi
That should do it. Itaondoa malalamiko yote.Toka rais Magufuli aingie madarakani kumekuwepo na kelele nyingi sana hususan humu JF za kwamba eti yeye ni mkabila na mkanda.
Kwamba eti yeye serikali yake imejaa Wasukuma na watu wengine wa kanda ya ziwa. Nimejaribu kwa muda mrefu sasa na bila mafanikio kuomba nipewe takwimu zinazothibitisha hayo madai lakini wapi!
Sasa jana na leo yameibuka ya CCM kama chama kutuhumiwa hayo mambo. Kwamba eti CCM sasa ni chama cha kikanda kwa sababu mwenyekiti mpya wa UVCCM eti ni mpwa wa Magufuli.
Mimi sijui kama kweli huyo mtu ni mpwa wa Magufuli au la. Bado nasubiri uthibitisho na/au maelezo zaidi juu ya hilo.
Ila kwa sasa ningependa kupendekeza jambo moja au mambo kadhaa, kutegemea na mtu utavyolichukulia suala lenyewe.
Ni hivi, napendekeza iundwe sheria itayokataza viongozi wa serikali, kuanzia rais hadi viongozi wengine wenye madaraka na mamlaka ya kuteua watumishi, kuteua watu wa makabila yao, imani zao za dini, madhehebu yao ya dini, jinsia zifananazo na zao, watu watokao kanda watokazo wao, marafiki zao, majirani zao, jamaa zao, na mambo mengine kama hayo ili kuondoa haya manung’uniko ya upendeleo wa hiyo misingi katika utumishi wa umma.
Yaani kwa mfano kwa mfano, kama Magufuli ni Mkristo na Mkatoliki basi ni marufuku yeye kuteua watu wa imani ya Kikristo na Wakatoliki wenzie. Vilevile, itakuwa ni marufuku yeye kuteua watu wa kanda ya ziwa....yaani hakuna cha kuteua Mnyamwezi, Msukuma, Mkurya, Mhaya, Mjaluo na wengineo wote watokeao huko hata kama wana sifa nzuri namna gani. Pia hakuna kuteua wanaume.
Ateue Wachaga, Wagogo, Wandengereko, Wapagani, Waislamu, wanawake, na wengine ambao hafanani nao kwa namna yoyote ile ukiondoa labda rangi ya ngozi tu.
Naamini kwa dhati kabisa kuwa sheria kama hii italeta usawa, italifurahisha taifa, na itaondoa kabisa ubaguzi na upendeleo kwenye utumishi wa umma.
That should do it. Itaondoa malalamiko yote.
Umesahau kipengele kimoja kwenye hii sheria unayopendekeza.
Rais asiteue watu wa chama chake katika ngazi yoyote ile. Wateule wote watokee upinzani tu.