Pinokyo Jujuman
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 552
- 105
Kulingana na malalamiko,madai na migogoro inayo endelea kwa wafanyakazi mbalimbali nchini kwetu, hebu sasa tujaribu kupendekeza ni kima gani cha mshahara na Posho kinafaa kulipwa wafanyakazi serikalini kulingana na uhalisia wa Maisha yalivyo kwa kipindi husika?
Doctors:Salaries: 3,000,000
Posho:
Sitting alowance:
Haya tiririkaaaaa!!!
Doctors:Salaries: 3,000,000
Posho:
Sitting alowance:
Haya tiririkaaaaa!!!