Mapendekezo ya kamati kwa Spika Job Ndugai

Mapendekezo ya kamati kwa Spika Job Ndugai

Kuna watu bado mnamuani ZZK wakati anamuunga mkono Shein na kumtosa Maalim Seif ili apate ulaji PAC kwa kupata kura za wabunge wa CCM?
 
Kuna watu bado mnamuani ZZK wakati anamuunga mkono Shein na kumtosa Maalim Seif ili apate ulaji PAC kwa kupata kura za wabunge wa CCM?

Hilo la kura z ccm ndiyo zimenifanya nimpendekeze kwa kuwa najua akishindana Tundu Lissu na ZZK Lissu anapigwa kweupe ndani ya Bunge hili la ccm.
 
Hujamalizia kwamba hizi ni kamati kivuli, hao wote kasoro Zitto wamesusa kamati za nini tena. Wabunge warudi katika halmashauri wakasaidie kuleta maendeleo. Utawala huu mpya hakuna business as usual na JPM anatekeleza aHAdi kwa kasi ya ajabu usimkate steam kabisa.

Napendekeza wabunge hawa wapewe kamati muhimu ili waweze kuzisimamia vyema.
1. Miundombinu, maliasili,ardhi na mazingira: Peter Msigwa
2: POAK: zitto zuberi Kabwe na Jishua nassary
3: Huduma za jamii: Sakaya na Esther Bulaya.

Ongeza nyingine.
 
Hujamalizia kwamba hizi ni kamati kivuli, hao wote kasoro Zitto wamesusa kamati za nini tena. Wabunge warudi katika halmashauri wakasaidie kuleta maendeleo. Utawala huu mpya hakuna business as usual na JPM anatekeleza aHAdi kwa kasi ya ajabu usimkate steam kabisa.

Huyu naye anajiita kuwa ni JF great thinker. Mfumo wa mabunge ya jumuiya ya madora lazime kuwe na kamati za kudumu za bunge na mawaziri vivuri, sawa poyoyo!!?
 
Sasa nasari naye anajua nn! Anabebwa na jina la chama tu
 
mimi napendekeza kamati hizo wapewe sugu, prof. J na mbunge wetu mtarajiwa pendwa wa arusha lema.

You are not serious mkuu, yaani unataka zito akatupige tena kwenye mashirika ya umma??!!

zitto hatakiwi kuwepo hapo

Hapo kwa Zitto weka mbatia na nassari akawanyooshe vizuri

Unafikiri badala ya zitto akae nani mkuu

Akili yake akae ZUZU mbowe

mkuu.. POAK mwenyekiti ni mpinzani na makamu wake lazima atoke chama tawala.. so zotto hawez kaa na Joshua nasari.

Ndiyo maana yakaitwa mapendekezo toa yako basi tujue

Sahau zitto na ccm wakilazimisha patawaka moto

Nimekuelewa mnywa viroba ila naamini umenielewa pia nlichomaanisha

Hivyo vyote viroba tu au?

2: POAK: zitto zuberi Kabwe na Jishua nassary - Jina la mtu linaanza small letter? Joshua au Jishua
 
Zitto mwizi sana hata msigwa wote matapeli sana.
 
Dogo great thinkers ni wachache sio kila aliemo humu atajiita. Ila humu we dare to talk openly hao uliowataja wapeleke katika halmashauri zao wakalete maendeleo huko nchi hii inahitaji watu wabunifu wenye mawazo mapya tofauti na wako wenye kutii matakwa ya mwenyekiti wao.

Tunataka watu huru na wasifungamane na kundi lolote katika kamati na wanaoza kujisimamia wenyewe na si kusikiliza mbwana zao wanataka nini, business as usual hatutaki ndio maana tulmchagua Magufuri ili akafunge njia zote za uovu wakati nyie mlikuwa mnazungusha mikono. Hizi za kushobokea watu tulizeni kwanza kuna kazi muhimu zinaendelea wakati huu.

Huyu naye anajiita kuwa ni JF great thinker. Mfumo wa mabunge ya jumuiya ya madora lazime kuwe na kamati za kudumu za bunge na mawaziri vivuri, sawa poyoyo!!?
 
Nenda jimboni kwake kaseme hivyo mbele ya hadhara ya wapiga kura wake. Kama hujarudi chuma chakavu

Nasema hivo kwa sbb namjua! Wabunge wengi wa chadema wamepata ubunge kwa sbb ya wananchi kutaka mabadiliko! nasari mmoja wapo na lema pia, kama kungekuwa na siasa safi chadema na kukawa na ushindani huru wasingepita hata ndani ya chama sembuse kwa wananchi
 
Back
Top Bottom