You are not serious mkuu, yaani unataka zito akatupige tena kwenye mashirika ya umma??!!
Napendekeza wabunge hawa wapewe kamati muhimu ili waweze kuzisimamia vyema.
1. Miundombinu, maliasili,ardhi na mazingira: Peter Msigwa
2: POAK: zitto zuberi Kabwe na Jishua nassary
3: Huduma za jamii: Sakaya na Esther Bulaya.
Ongeza nyingine.
You are not serious mkuu, yaani unataka zito akatupige tena kwenye mashirika ya umma??!!
Unafikiri badala ya zitto akae nani mkuu
You are not serious mkuu, yaani unataka zito akatupige tena kwenye mashirika ya umma??!!
Mavi yakoLowasa kampiga nani sasa
Nafikiri mtoa mada alimaanisha PACPOAK ? Ndiyo kamati ipi hiyo?
Endelea kunywa viroba hata ukielekezwa huwezi elewa
Endelea kunywa viroba hata ukielekezwa huwezi elewa
Small errors kwa mtoa mada muhimu umemuelewaHivyo vyote viroba tu au?
2: POAK: zitto
zuberi Kabwe na Jishua nassary - Jina la mtu linaanza small letter? Joshua au Jishua