Mapendekezo ya hatua za kuchukua ili kuimarisha thamani ya shilingi

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,399
2,000
MAPENDEKEZO YA HATUA ZA KUCHUKUA ILI KUIMARISHA THAMANI YA SHILINGI

Utangulizi

Shilingi ya kitanzania, kama zilivyo sarafu nyingine iko prone to exposure. Hivyo hatua za mara kwa mara za kila aina huhitajika ili kulinda shilingi dhidi ya erosion of purchasing power!To cut the long story short, Kuna hatua ambazo nchi inaweza kuchukua ili kuimarisha shilingi. Hatua hizo ni zile za muda mfupi na zile za muda mrefu.Hatua za muda mfupi:

Serikali kupitia benki kuu inabidi iunde mfuko ujulikanao kama Currency Stabilization Fund.

Mfuko huu utakuwa na account mbili kama kawaida account ya Shilling na akaunti ya Dola.

Na kila akaunti itakuwa na pande mbili kama taratibu za kihasibu zinavyoelekeza. Yani upande wa Debit na upande wa Credit.

Baada ya hapo, serikali iazime pesa kutoka kwenye mabenki ya nje kwa utaratibu ufuatao:

Dola milioni mia tano with maturity of 6months at interest rate of 1-5%

Dola milioni mia tano with maturity of 12months at interest rate of 1-5%

Dola milioni mia tano with a maturity of 18months at an interest rate of 1-7%

Jumla Dola bilioni moja na nusu…Pesa hizi zitakuwa credited kwenye Dollar account ya currency stabilization fund.

Serikali itauza pesa hizi na itazisambaza kwenye mabenki, Bureau de change na makampuni makubwa ambayo yanaruhusiwa kununua dola moja kwa moja kutoka BoT kwa bei ya Shilingi 2,100- 2,250.

Fedha hizi zitakazouzwa zitakuwa Debited kutoka kwenye account yetu ya Dola ya currency stabilization fund.Serikali itakusanya fedha za Tsh kutokana na mauzo ambazo zitakuwa Credited kwenye akaunti yetu ya Tsh katika mfuko wetu wa currency stabilization fund.

Serikali itatunza pesa hizi kwa miezi kadhaa hadi hapo msimu ambapo korosho na mazao mengine yanayotuletea fedha za kigeni, (pia msimu wa watalii n.k) yatakuwa yamekwisha uzwa hivyo kutakua na supply kubwa ya dola.

Serikali itachukua Tsh kutoka kwenye account yetu ya Currency stabilization fund na kununua dola kwa bei isiyozidi Tsh 2,300.

Serikali itachukua dola ilizo nunua na kulipa deni la nje tulilokopa.

Serikali itafanya consolidation kujua kama tumepata faida au hasara. Kama faida imepatikana basi itaingia kwenye mfuko wa BoT. Kama hasara imepatikana itaandikwa kwenye vitabu kama Cost of economic stabilization (Not loss). Yeah ku manage uchumi kuna gharama zake. So kama serikali itabidi kugharamika kwa kutumia bilioni mia mbili au mia tatu, sio jambo baya. Uchumi ndio nchi. Na nchi ni uchumi…Hatua hizi ni za haraka na inabidi zichukuliwe ndani ya wiki mbili ili kurejesha utulivu wa shilingi…

NB:

Mchoro ufuatao ni ufupisho wa maelezo ukitumia picha ya rejeta ya kupozea shilling.

Rejeta ni chombo kinachotumia maji kupoza mfumo utoao joto. Piga picha uko safarini mara unagundua gari inachemka kwa kuwa rejeta haina maji. Utafanyaje? Utagonga kwa jirani wa maeneo hayo kuomba maji. Jirani atakwambia haya maji siyauzi. Nakupa lita mbili za maji uweke kwenye rejeta yako. Ukirudi urudi na maji yangu lita mbili.

Utafurahi na kuchukua maji hayo na kuweka kwenye rejeta. Utapoza mfumo wako na kumaliza safari. Ukirudi hayo maji ya kwenye rejeta yatakuwa yametumika kidogo na huenda yatakuwa yamebaki kiasi cha lita moja na nusu.

Basi utachukua nusu lita kutoka kwenye chupa yako, utachanganya na ile lita moja na nusu na kumrudishia mwenyewe lita mbili.

Kwa hiyo wewe utakuwa umefanikisha safari yako lakini utakuwa umeingia gharama kidogo ya kuongezea maji kiasi cha nusu lita ili kurejesha lita mbili uliyopewa awali. Hiyo nusu lita nyingine itakuwa imepotelea hewani kwa njia ya mvuke (volatility)…

Currency stabilization radiator.png
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
27,427

View attachment 1034818
Wewe ndio mtanzania tunataka .Mtu mwenye solution.Tanzania inahitaji watu wenye solution kama wewe . Chadema bring solution to problems .Muwe bungeni au popote toeni solution credible kama huyu
 
prs

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
2,644
2,000
Wewe ndio mtanzania tunataka .Mtu mwenye solution.Tanzania inahitaji watu wenye solution kama wewe . Chadema bring solution to problems .Muwe bungeni au popote toeni solution credible kama huyu
CCM wao Kazi yao nini?
Kutetea Serikali?
Mapendekezo mangapi yametolewa na Upinzani kwa ujumla, Kuanzia Bungeni hadi Mtaani..
Unauhakika gani Kama Mleta mada si Chadema.?
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
38,350
2,000
Wewe ndio mtanzania tunataka .Mtu mwenye solution.Tanzania inahitaji watu wenye solution kama wewe . Chadema bring solution to problems .Muwe bungeni au popote toeni solution credible kama huyu

Cdm ndio watoe, kwa mantiki hiyo ccm imekaa kuharibu ikisubiri cdm ije na solution, kisha wakati wa uchaguzi kuagiza tume ya uchaguzi na vyombo vya dola kuhakikisha mnatangazwa washindi. Jiwe hana solution akae pembeni akasimamie madaraja.
 
Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
6,277
2,000
MAPENDEKEZO YA HATUA ZA KUCHUKUA ILI KUIMARISHA THAMANI YA SHILINGI

Utangulizi

Shilingi ya kitanzania, kama zilivyo sarafu nyingine iko prone to exposure. Hivyo hatua za mara kwa mara za kila aina huhitajika ili kulinda shilingi dhidi ya erosion of purchasing power!To cut the long story short, Kuna hatua ambazo nchi inaweza kuchukua ili kuimarisha shilingi. Hatua hizo ni zile za muda mfupi na zile za muda mrefu.Hatua za muda mfupi:

Serikali kupitia benki kuu inabidi iunde mfuko ujulikanao kama Currency Stabilization Fund.

Mfuko huu utakuwa na account mbili kama kawaida account ya Shilling na akaunti ya Dola.

Na kila akaunti itakuwa na pande mbili kama taratibu za kihasibu zinavyoelekeza. Yani upande wa Debit na upande wa Credit.

Baada ya hapo, serikali iazime pesa kutoka kwenye mabenki ya nje kwa utaratibu ufuatao:

Dola milioni mia tano with maturity of 6months at interest rate of 1-5%

Dola milioni mia tano with maturity of 12months at interest rate of 1-5%

Dola milioni mia tano with a maturity of 18months at an interest rate of 1-7%

Jumla Dola bilioni moja na nusu…Pesa hizi zitakuwa credited kwenye Dollar account ya currency stabilization fund.

Serikali itauza pesa hizi na itazisambaza kwenye mabenki, Bureau de change na makampuni makubwa ambayo yanaruhusiwa kununua dola moja kwa moja kutoka BoT kwa bei ya Shilingi 2,100- 2,250.

Fedha hizi zitakazouzwa zitakuwa Debited kutoka kwenye account yetu ya Dola ya currency stabilization fund.Serikali itakusanya fedha za Tsh kutokana na mauzo ambazo zitakuwa Credited kwenye akaunti yetu ya Tsh katika mfuko wetu wa currency stabilization fund.

Serikali itatunza pesa hizi kwa miezi kadhaa hadi hapo msimu ambapo korosho na mazao mengine yanayotuletea fedha za kigeni, (pia msimu wa watalii n.k) yatakuwa yamekwisha uzwa hivyo kutakua na supply kubwa ya dola.

Serikali itachukua Tsh kutoka kwenye account yetu ya Currency stabilization fund na kununua dola kwa bei isiyozidi Tsh 2,300.

Serikali itachukua dola ilizo nunua na kulipa deni la nje tulilokopa.

Serikali itafanya consolidation kujua kama tumepata faida au hasara. Kama faida imepatikana basi itaingia kwenye mfuko wa BoT. Kama hasara imepatikana itaandikwa kwenye vitabu kama Cost of economic stabilization (Not loss). Yeah ku manage uchumi kuna gharama zake. So kama serikali itabidi kugharamika kwa kutumia bilioni mia mbili au mia tatu, sio jambo baya. Uchumi ndio nchi. Na nchi ni uchumi…Hatua hizi ni za haraka na inabidi zichukuliwe ndani ya wiki mbili ili kurejesha utulivu wa shilingi…

NB:

Mchoro ufuatao ni ufupisho wa maelezo ukitumia picha ya rejeta ya kupozea shilling.

Rejeta ni chombo kinachotumia maji kupoza mfumo utoao joto. Piga picha uko safarini mara unagundua gari inachemka kwa kuwa rejeta haina maji. Utafanyaje? Utagonga kwa jirani wa maeneo hayo kuomba maji. Jirani atakwambia haya maji siyauzi. Nakupa lita mbili za maji uweke kwenye rejeta yako. Ukirudi urudi na maji yangu lita mbili.

Utafurahi na kuchukua maji hayo na kuweka kwenye rejeta. Utapoza mfumo wako na kumaliza safari. Ukirudi hayo maji ya kwenye rejeta yatakuwa yametumika kidogo na huenda yatakuwa yamebaki kiasi cha lita moja na nusu.

Basi utachukua nusu lita kutoka kwenye chupa yako, utachanganya na ile lita moja na nusu na kumrudishia mwenyewe lita mbili.

Kwa hiyo wewe utakuwa umefanikisha safari yako lakini utakuwa umeingia gharama kidogo ya kuongezea maji kiasi cha nusu lita ili kurejesha lita mbili uliyopewa awali. Hiyo nusu lita nyingine itakuwa imepotelea hewani kwa njia ya mvuke (volatility)…

View attachment 1034818
Njia ya pili ni kuruhusu utoaji wa vibali vya kufanya kazi nchi kwa watu wote ambao bajeti ya mishahara yao inatoka nje ya nchi mfano NGOs, Multinational companies kama Coca Cola International n.k.

Hii itafanya pesa za mishahara yao ziletwe.
 
Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
4,556
2,000
Nani kakwambia kuwa huyo aliyeweka post siyo CHADEMA?
Wewe ndio mtanzania tunataka .Mtu mwenye solution.Tanzania inahitaji watu wenye solution kama wewe . Chadema bring solution to problems .Muwe bungeni au popote toeni solution credible kama huyu
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
27,427
2,000
Vyama vya siasa hasa Upinzani pia vinachangia kuua upatikanaji pesa za kigeni kwenye Familia na nchi mfano kuna wakati Zimbabwe na Kenya kulikuwa na mgomo wa madaktari na manesi wakaomba Tanzania .Upinzani wakapinga kwa nguvu zote hivyo kukosesha maelfu ya madaktari na manesi ambao wangepta ajira kule na kuleta pesa za kigeni.Ushauri kwa serikali ilegeze masharti ya passport watu wasambae duniani kutafuta fursa na pesa za kigeni . madaktari ,ma nurse ,walimu na vijana walliomaliza vyuo sio tu idle labour ni idle foreign currency cash.Waachwe wakatafute.hela za kigeni nje.Miwazo potofu kuwa ohh sijui wanaenda kujiuza hayo ni mambo binafsi serikali isipende kwenda deep hadi individual level.Wengine wanasema zuia wataenda Fanya uhalifu as if kule hakuna serikali polisi mahakama wala magereza wala sheria!! Mtu akifanya uhalifu kule atakoma huko huko mbona sisi malkia wa tembo tumemkomesha huku huku !! Kwa hiyo China iogope kutoa passport kwa raia? Sababu ya few criminals? Rwanda,kenya Uganda passport kupata ni rahisi mno na watu kwa maelfu huondoka kutafuta pesa za kigeni nje na wanaingizia nchi zao mamilioni ya pesa za kigeni wanazotuma nchini.Kitengo cha passport ni.moja ya kikwazo cha pesa za kigeni kuongezeka. Nchini.Unakomaa eti mtu anaenda kufanya nini alete sijui barua sijui nini ujinga mtupu kwani mtu hawezi kuondoka kwenda kutafuta fursa? Wewe mpe passport hayo maswali akaulizwe nchi anakoenda .Kitengo cha passport kimegeuka kitengo kama cha visa cha nchi zingine.. documents wanazotaka ili kutoa passport ni za visa za nchi unakoenda!!Wamekuwa maofisa wa Visa!!! Wao watoe passport mengine waachie mwenye passport apambane mbele kwa mbele.Mtu anayeernda kutafuta fursa nje unataka akupe barua ya mwaliko ya nani? Serikali ikae na wizara zote Kila wizara ikiwemo ya mambo ya Ndani wajieleze mikakati yao ya kuingiza pesa za kigeni ni ipi.
 
zithromax

JF-Expert Member
Apr 26, 2016
1,769
2,000
MAPENDEKEZO YA HATUA ZA KUCHUKUA ILI KUIMARISHA THAMANI YA SHILINGI

Utangulizi

Shilingi ya kitanzania, kama zilivyo sarafu nyingine iko prone to exposure. Hivyo hatua za mara kwa mara za kila aina huhitajika ili kulinda shilingi dhidi ya erosion of purchasing power!To cut the long story short, Kuna hatua ambazo nchi inaweza kuchukua ili kuimarisha shilingi. Hatua hizo ni zile za muda mfupi na zile za muda mrefu.Hatua za muda mfupi:

Serikali kupitia benki kuu inabidi iunde mfuko ujulikanao kama Currency Stabilization Fund.

Mfuko huu utakuwa na account mbili kama kawaida account ya Shilling na akaunti ya Dola.

Na kila akaunti itakuwa na pande mbili kama taratibu za kihasibu zinavyoelekeza. Yani upande wa Debit na upande wa Credit.

Baada ya hapo, serikali iazime pesa kutoka kwenye mabenki ya nje kwa utaratibu ufuatao:

Dola milioni mia tano with maturity of 6months at interest rate of 1-5%

Dola milioni mia tano with maturity of 12months at interest rate of 1-5%

Dola milioni mia tano with a maturity of 18months at an interest rate of 1-7%

Jumla Dola bilioni moja na nusu…Pesa hizi zitakuwa credited kwenye Dollar account ya currency stabilization fund.

Serikali itauza pesa hizi na itazisambaza kwenye mabenki, Bureau de change na makampuni makubwa ambayo yanaruhusiwa kununua dola moja kwa moja kutoka BoT kwa bei ya Shilingi 2,100- 2,250.

Fedha hizi zitakazouzwa zitakuwa Debited kutoka kwenye account yetu ya Dola ya currency stabilization fund.Serikali itakusanya fedha za Tsh kutokana na mauzo ambazo zitakuwa Credited kwenye akaunti yetu ya Tsh katika mfuko wetu wa currency stabilization fund.

Serikali itatunza pesa hizi kwa miezi kadhaa hadi hapo msimu ambapo korosho na mazao mengine yanayotuletea fedha za kigeni, (pia msimu wa watalii n.k) yatakuwa yamekwisha uzwa hivyo kutakua na supply kubwa ya dola.

Serikali itachukua Tsh kutoka kwenye account yetu ya Currency stabilization fund na kununua dola kwa bei isiyozidi Tsh 2,300.

Serikali itachukua dola ilizo nunua na kulipa deni la nje tulilokopa.

Serikali itafanya consolidation kujua kama tumepata faida au hasara. Kama faida imepatikana basi itaingia kwenye mfuko wa BoT. Kama hasara imepatikana itaandikwa kwenye vitabu kama Cost of economic stabilization (Not loss). Yeah ku manage uchumi kuna gharama zake. So kama serikali itabidi kugharamika kwa kutumia bilioni mia mbili au mia tatu, sio jambo baya. Uchumi ndio nchi. Na nchi ni uchumi…Hatua hizi ni za haraka na inabidi zichukuliwe ndani ya wiki mbili ili kurejesha utulivu wa shilingi…

NB:

Mchoro ufuatao ni ufupisho wa maelezo ukitumia picha ya rejeta ya kupozea shilling.

Rejeta ni chombo kinachotumia maji kupoza mfumo utoao joto. Piga picha uko safarini mara unagundua gari inachemka kwa kuwa rejeta haina maji. Utafanyaje? Utagonga kwa jirani wa maeneo hayo kuomba maji. Jirani atakwambia haya maji siyauzi. Nakupa lita mbili za maji uweke kwenye rejeta yako. Ukirudi urudi na maji yangu lita mbili.

Utafurahi na kuchukua maji hayo na kuweka kwenye rejeta. Utapoza mfumo wako na kumaliza safari. Ukirudi hayo maji ya kwenye rejeta yatakuwa yametumika kidogo na huenda yatakuwa yamebaki kiasi cha lita moja na nusu.

Basi utachukua nusu lita kutoka kwenye chupa yako, utachanganya na ile lita moja na nusu na kumrudishia mwenyewe lita mbili.

Kwa hiyo wewe utakuwa umefanikisha safari yako lakini utakuwa umeingia gharama kidogo ya kuongezea maji kiasi cha nusu lita ili kurejesha lita mbili uliyopewa awali. Hiyo nusu lita nyingine itakuwa imepotelea hewani kwa njia ya mvuke (volatility)…

View attachment 1034818

Hivi unaamin standard liquid ya rejeta ni MAji . Ukinunua gari huko duniani linakuwa na maji ee
 
Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,399
2,000
Hivi unaamin standard liquid ya rejeta ni MAji . Ukinunua gari huko duniani linakuwa na maji ee
Yep! Maji ni standard liquid. Ile coolant nayo ni liquid ambayo ni maji yaliyowekewa impurities ili ku raise boiling point. Hii hupunguza upotevu wa maji. Wakati maji yanachemka katika jotoridi la 100 degrees Celsius, ile coolant boilng point yake inaweza ikawa kwenye 108 deg Celsius hivyo kupunguza kasi ya evaporation...
 
Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
19,422
2,000
Wewe ndio mtanzania tunataka .Mtu mwenye solution.Tanzania inahitaji watu wenye solution kama wewe . Chadema bring solution to problems .Muwe bungeni au popote toeni solution credible kama huyu
Solution? Kwani shilingi imeshuka.
 
Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,399
2,000
Solution? Kwani shilingi imeshuka.
Probably kwa kuwa mahitaji ya dola ni makubwa kuliko kiwango cha dola kinachopatikana sokoni.
Iko hivi.
When there is high demand while there is low supply - Prices goes up!
When there is low demand while there is high supply - Prices goes down!
Hizi zinaitwa market forces za Demand vs Supply.
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
27,427
2,000
Solution? Kwani shilingi imeshuka.
Unauliza swali nchi hio imejaa mabwege wauliza maswali Kila kona unakuta mbunge ana swali kwa serikali,msomi ana swali kwa serikali afisa wa serikali naye ana swali kwa serikali anayofanya kazi hivi nani atatoa solution ? Kama hadi msomi anakuwa na swali badala ya solution.Wasomi toeni solution sio maswali!! Swali bwege yeyote aweza uliza
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
27,427
2,000
Solution? Kwani shilingi imeshuka.
Tofauti ya nchi zilizoendelea na zisizoendelea ni Moja tu nchi zilizoendelea hutafuta solution kwa matatizo yao wakati zisizoendelea huhangaika na maswali kwenye matatizo yao .Nchi zilizoendelea badala ya kuhangaika na maswali wao huhangaika na solution hawana muda na maswali.ndio maana hugundua vitu vipya Kila siku.Tanzania mtu husifiwa kwa kuuliza maswali!!
 
Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
7,148
2,000
Wewe ndio mtanzania tunataka .Mtu mwenye solution.Tanzania inahitaji watu wenye solution kama wewe . Chadema bring solution to problems .Muwe bungeni au popote toeni solution credible kama huyu
Unajuaje kama huyo sio Chadema, yaani nyie ni kuharibu tu kutengeneza hamuwezi. Bogus.
 
Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
7,148
2,000
Probably kwa kuwa mahitaji ya dola ni makubwa kuliko kiwango cha dola kinachopatikana sokoni.
Iko hivi.
When there is high demand while there is low supply - Prices goes up!
When there is low demand while there is high supply - Prices goes down!
Hizi zinaitwa market forces za Demand vs Supply.
Prices goes up: This is wrong; Instead Prices go up, is correct.
 
Shapu

JF-Expert Member
Jan 17, 2008
2,090
2,000
Uzeni korosho mlizokwapua kwa wakulima acheni bla bla bla mingi.
 
AbaMukulu

JF-Expert Member
Jan 1, 2018
1,742
2,000
Ulivyosema kuhusu Currency stabilization fund nikakumbuka Black Wednesday
Hongera kwa kutoa ushauri mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom