The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Acha umbea, uchonganishi na uzandiki mtoto wa kiume na hii dalili ya mwanzo kuwa mchawiHaya ni mapendekezo yangu kwa serikali.
Tanzania ni nchi yenye gharama ndogo sana ya vifurushi vya mtandaoni kuliko nchi yoyote hapa Afrika.
GB moja ya data Tanzania unaweza kuipata kwa kuanzia dollar senti hamsini hadi dola moja(tzs 1000-tzs2000) nchi nyingine GB moja ya data iko juu ya dollar 5(zaidi ya tzs 10,000) hadi dollar 10(tzs 20,000).
Watanzania hatutumii urahisi huu wa bei ya vifurushi mtandaoni kwa uzalishaji au mambo yenye tija(wapo wachache sana) zaidi ya kujikita kwenye umbea, uzandiki, uzushi, uongo na kila kitu cha namna hiyo.
Haya mambo yote ya uzushi na umbea yamepata nafasi kwa sababu ya urahisi wa vifurushi vya data kuingia mitandaoni. Kila mtu anaweza kumudu kuingia mtandaoni kwa urahisi na akatukana au kutengeneza ushushi wa aina yoyote na akapata wafuasi wa kutosha.
Napendekeza serikali iongeze kodi kwenye gharama za vifurushi vya data, GB moja ya data iuzwe si chini ya tzs 3000 kwenda juu.
Ongeza kodi, ongeza mapato kwa maendeleo ya nchi yetu.
Haya ni mapendekezo yangu kwa serikali.

Hahahaha kachawi hakoAcha umbea, uchonganishi na uzandiki mtoto wa kiume na hii dalili ya mwanzo kuwa mchawi
Si ndio tugundue kwamba ni mchawiHebu mshushe huyo jogoo kwanza kichwani pako,vaa nguo ndio ulete hoja yako hii..
Piga magoti utubu dhambi ya uchawi.Haya ni mapendekezo yangu kwa serikali.
Tanzania ni nchi yenye gharama ndogo sana ya vifurushi vya mtandaoni kuliko nchi yoyote hapa Afrika.
GB moja ya data Tanzania unaweza kuipata kwa kuanzia dollar senti hamsini hadi dola moja(tzs 1000-tzs2000) nchi nyingine GB moja ya data iko juu ya dollar 5(zaidi ya tzs 10,000) hadi dollar 10(tzs 20,000).
Watanzania hatutumii urahisi huu wa bei ya vifurushi mtandaoni kwa uzalishaji au mambo yenye tija(wapo wachache sana) zaidi ya kujikita kwenye umbea, uzandiki, uzushi, uongo na kila kitu cha namna hiyo.
Haya mambo yote ya uzushi na umbea yamepata nafasi kwa sababu ya urahisi wa vifurushi vya data kuingia mitandaoni. Kila mtu anaweza kumudu kuingia mtandaoni kwa urahisi na akatukana au kutengeneza ushushi wa aina yoyote na akapata wafuasi wa kutosha.
Napendekeza serikali iongeze kodi kwenye gharama za vifurushi vya data, GB moja ya data iuzwe si chini ya tzs 3000 kwenda juu.
Ongeza kodi, ongeza mapato kwa maendeleo ya nchi yetu.
Tena mchawi wa analogy..Si ndio tugundue kwamba ni mchawi
Nimepima nimeona huna dhamira ya kuinua uchumi.Haya ni mapendekezo yangu kwa serikali.