Kulikuwa na uporaji pekee hapakuwa na uchaguziHabari za humu wanajamii,
Kwanza nipende kumshukuru Mungu kutufikisha hapa mpaka leo. Ni wazi kabisa katika uchaguzi uliopita haki ya Watanzania imedhulumiwa na kuporwa na watu wasio na utu hata kidogo, sasa nina shauri kwa kuwa maandamano ya amani yanaonekana kugubikwa na sintofahamu kubwa, ninadhani kuna umuhimu wa kuitisha maombi na kufunga nchi nzima ili MUNGU atende jambo katika haya yanayoendelea nchini kwetu.
Samahani kwa uandishi usio mzuri ila natumai ujumbe umefika.
Mpaka hela ya uchaguzi irudi tutakuwa tumebanwa kisawasawa!Sio wanaochekelea au wanaoumia!Bei ya siment imepanda kwa wote
Balaa tupu mkuuMpaka hela ya uchaguzi irudi tutakuwa tumebanwa kisawasawa!Sio wanaochekelea au wanaoumia!
ππ€£ππ€£ππ€£πππ€£π EBU NYIE BAVICHA NA CHAMA CHA ZITO KAKAENI HALAFU MKUBALIANE MNATAKA NINI MAANA UCHAGUZI HAUTARUDIWA HATA AFUFUKE NYERERE CHA KWANZA MKIKAAA KUBALIANENI KWAMBA MAGUFULI NDIO RAIS HAKUNA CHA POMPEO WALA AMSTERDAM ATAKAE BADILISHA...SIO UBALOZI WA SWEDEN WALA CANADA UTAKAOBADILISHA WATANZANIA TUMEMCHAGUA MAGUFULI NA SABABU TUNAZO
Dogo miezi kumi iliyopita uliambiwa Chadema itashindwa kwenye box la kura. Sababu wananchi walishajua ni matapeli wa kisiasa. Mbona unatafuta sababu za kipuuzi kutetea kipigo cha mbwa mtu kwenye box la kura?Magufuli ni rais wa kijeshi kwani amechaguliwa kwa wizi wa vyombo vya dola, na tume ya ubaguzi. Ndio maana ww unaandika kwa herufi kubwa bila kuweka koma ama nukta.
Mungu hatokubali muwaingize Watanzania kwenye kumwaga damu zao kwa ambitions zenu za kisiasa.Habari za humu wanajamii,
Kwanza nipende kumshukuru Mungu kutufikisha hapa mpaka leo. Ni wazi kabisa katika uchaguzi uliopita haki ya Watanzania imedhulumiwa na kuporwa na watu wasio na utu hata kidogo, sasa nina shauri kwa kuwa maandamano ya amani yanaonekana kugubikwa na sintofahamu kubwa, ninadhani kuna umuhimu wa kuitisha maombi na kufunga nchi nzima ili MUNGU atende jambo katika haya yanayoendelea nchini kwetu.
Samahani kwa uandishi usio mzuri ila natumai ujumbe umefika.
Dogo miezi kumi iliyopita uliambiwa Chadema itashindwa kwenye box la kura. Sababu wananchi walishajua ni matapeli wa kisiasa. Mbona unatafuta sababu za kipuuzi kutetea kipigo cha mbwa mtu kwenye box la kura?
Kwa akili yako timamu ulitegemea watu wenye akili waichague Chadema?Watanzania 2/3 hawakupiga kura maana wamejua hakuna uchaguzi bali upuuzi kama upuuzi mwingine. Na hata hao wachache waliopiga kura hawakuipigia kura ccm wote. Uhuni uliofanyika watanzania wote tumeziona Ila kinachosaidia hivi sasa, Ni woga wa wananchi kudai haki zao.
Hivi huyu Prof. ana uhakika gani kuwa ndugu wa mgombea walimpigia mgombea? Labda, mgombea kujipigia sawa, lakini ndugu zake, kuna uwalakini? Yaweza kuwa sawa kama mgombea ana maslahi binafsi.Utakuwa ni mwanachama wa cuf wewe, maana mzee wenu ameshalisema hilo..!
π
View attachment 1618781