Mapendekezo kwa Vyama vya Upinzani

co fm

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,409
2,133
Habari za humu wanajamii,

Kwanza nipende kumshukuru Mungu kutufikisha hapa mpaka leo. Ni wazi kabisa katika uchaguzi uliopita haki ya Watanzania imedhulumiwa na kuporwa na watu wasio na utu hata kidogo, sasa nina shauri kwa kuwa maandamano ya amani yanaonekana kugubikwa na sintofahamu kubwa, ninadhani kuna umuhimu wa kuitisha maombi na kufunga nchi nzima ili MUNGU atende jambo katika haya yanayoendelea nchini kwetu.

Samahani kwa uandishi usio mzuri ila natumai ujumbe umefika.
 
Kulikuwa na uporaji pekee hapakuwa na uchaguzi
 
Utakuwa ni mwanachama wa cuf wewe, maana mzee wenu ameshalisema hilo..!
👇

😂🤣😂🤣😂🤣😂😂🤣😂 EBU NYIE BAVICHA NA CHAMA CHA ZITO KAKAENI HALAFU MKUBALIANE MNATAKA NINI MAANA UCHAGUZI HAUTARUDIWA HATA AFUFUKE NYERERE CHA KWANZA MKIKAAA KUBALIANENI KWAMBA MAGUFULI NDIO RAIS HAKUNA CHA POMPEO WALA AMSTERDAM ATAKAE BADILISHA...SIO UBALOZI WA SWEDEN WALA CANADA UTAKAOBADILISHA WATANZANIA TUMEMCHAGUA MAGUFULI NA SABABU TUNAZO
 
NINACHOMSHUKURU MUNGU NI KUWA JIWE AMEJIJUA KUWA HAPENDWI, WATANZANIABWENGI HATUMPENDI.
 
😂🤣😂🤣😂🤣😂😂🤣😂 EBU NYIE BAVICHA NA CHAMA CHA ZITO KAKAENI HALAFU MKUBALIANE MNATAKA NINI MAANA UCHAGUZI HAUTARUDIWA HATA AFUFUKE NYERERE CHA KWANZA MKIKAAA KUBALIANENI KWAMBA MAGUFULI NDIO RAIS HAKUNA CHA POMPEO WALA AMSTERDAM ATAKAE BADILISHA...SIO UBALOZI WA SWEDEN WALA CANADA UTAKAOBADILISHA WATANZANIA TUMEMCHAGUA MAGUFULI NA SABABU TUNAZO

Magufuli ni rais wa kijeshi kwani amechaguliwa kwa wizi wa vyombo vya dola, na tume ya ubaguzi. Ndio maana ww unaandika kwa herufi kubwa bila kuweka koma ama nukta.
 
Dogo miezi kumi iliyopita uliambiwa Chadema itashindwa kwenye box la kura. Sababu wananchi walishajua ni matapeli wa kisiasa. Mbona unatafuta sababu za kipuuzi kutetea kipigo cha mbwa mtu kwenye box la kura?
 
Habari za humu wanajamii,

Kwanza nipende kumshukuru Mungu kutufikisha hapa mpaka leo. Ni wazi kabisa katika uchaguzi uliopita haki ya Watanzania imedhulumiwa na kuporwa na watu wasio na utu hata kidogo, sasa nina shauri kwa kuwa maandamano ya amani yanaonekana kugubikwa na sintofahamu kubwa, ninadhani kuna umuhimu wa kuitisha maombi na kufunga nchi nzima ili MUNGU atende jambo katika haya yanayoendelea nchini kwetu.

Samahani kwa uandishi usio mzuri ila natumai ujumbe umefika.
Mungu hatokubali muwaingize Watanzania kwenye kumwaga damu zao kwa ambitions zenu za kisiasa.

Kumbuka story ya Yakobo na Esau... acheni kabisa kumjaribu Mungu
 
Dogo miezi kumi iliyopita uliambiwa Chadema itashindwa kwenye box la kura. Sababu wananchi walishajua ni matapeli wa kisiasa. Mbona unatafuta sababu za kipuuzi kutetea kipigo cha mbwa mtu kwenye box la kura?

Watanzania 2/3 hawakupiga kura maana wamejua hakuna uchaguzi bali upuuzi kama upuuzi mwingine. Na hata hao wachache waliopiga kura hawakuipigia kura ccm wote. Uhuni uliofanyika watanzania wote tumeziona Ila kinachosaidia hivi sasa, Ni woga wa wananchi kudai haki zao.
 
Kwa akili yako timamu ulitegemea watu wenye akili waichague Chadema?
Screenshot_20201104-162042.png
 
Fungeni,si nikufunga magoli tu basi fungeni hata kwa penati,ila JPM ndo Rais na kama hamtaki kujitathmini mtafunga milele na milele.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom