co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,415
- 2,140
Habari za humu wanajamii,
Kwanza nipende kumshukuru Mungu kutufikisha hapa mpaka leo. Ni wazi kabisa katika uchaguzi uliopita haki ya Watanzania imedhulumiwa na kuporwa na watu wasio na utu hata kidogo, sasa nina shauri kwa kuwa maandamano ya amani yanaonekana kugubikwa na sintofahamu kubwa, ninadhani kuna umuhimu wa kuitisha maombi na kufunga nchi nzima ili MUNGU atende jambo katika haya yanayoendelea nchini kwetu.
Samahani kwa uandishi usio mzuri ila natumai ujumbe umefika.