Mapema mno kuwa na nyumba ndogo

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,087
kijana ndoa yako bado changa tamu na nzuri nyumba ndogo ya nini? waachie wakongwe wenye kila aina ya vibweka na visa, una kamke kazuri kapotabo kenye kukujali sana na kanakojua nini maana ya ndoa halafu wewe unahangaika na kuweweseka na nyumba ndogo, tayari ushaipangia upande wakati wewe mwenyewe bado hakijaeleweka

Mthamini mpende, mjali, mkeo mlinzi wa roho yako anakupenda mpende sana before it is too late
 
Hivi kunaulazima wowote wa kuwa na nyumba ndogo???kwa Bongo naona kama imehalalishwa??????some sort of modern polygamy....
 

Utakuwa umetoka usingizini na usingizi bado haujaisha. Rudi kitandani ulale!!!!
 
hivi kati ya mkeo na nyumba ndogo,

wapi kuna utility na kwingine disutility?

kuna watu wengine wanajiongezea gharama za maisha hivi hivi bila mipango!
 
Kwa hiyo wanaume wakongwe nyumba ndogo ruksa????

Aisee

Ndo maana wamama wakongwe nao wana viserengeti, sasa naanza kuona chanzo ni nini
 
Sidhani kama kuna age kwa ajili ya nyumba ndogo.

Wanandoa wote iwe wazee au wapya nyumba ndogo ni kuivuruga ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…