fundimchundo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2010
- 616
- 904
Mkuu huyo akili yake ni nyepesi sana. Hivi kweli Unaweza sema uchumi wa mikoa Kama Dar na Mwanza upande kwa asilimia 7 Kama uchumi wa Rwanda kisa idadi ya watu na ukubwa vinakaribiana kulingana?Yaani unataka mapato ya mkoa yawe sawa na nchi?
Muungano is a dead weight ,Zanzibar is ready for takeoff minus excess baggage.Sawa haina shida. Mapato ni Mali ya muungano.
Vipi deni letu la tanesco ameshalipa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli anatoa mada akiwa haelewi ulinganifu wake. Hata mikoa inatofauti ya njia za uchumi, wengine utegemea kodi ya kuingiza na kutoa mizigo, kituo cha biashara za jumla wanunuzi toka nje na ni center ya biashara uwezi linganisha mapato ya ushuru wa mazao ya kilimo na biashara ndogo ndogo.
Mkuu unaweza kuwa na hoja lakini zanzibar ina sovereignty yake tofauti na mikoa ya Tanzania bara hasa halmashauri. Mikoa kama Geita ikivuna rasilimali zote zinaenda dodoma kwanza ndio zinapangiwa kazi ya kufanya ila zanzibar licha ya udogo wa eneo au idadi sawa na mikoa yetu ila inajitegemea kiutawala hivyo ni rahisi kuretain mapato yake unayoona makubwa.Rais wa Zanzibar, Dr. Mohamed Shein, ameeleza kuwa mapato ya Zanzibar kwa mwaka yamefikia Tanzania Shillings Bilioni 2874, sawa na Trilioni 2.874.
Taarifa hii inaonyesha waziwazi kuwa Tanzania Bara tukijifunza kutoka Zanzibar, mapato ya Mikoa yetu inaweza kuongeza mapato yake ya ndani kwa kiwango cha kutosha, na kuifanya nchi yetu kuwa ya Uchumi wa Kati kimapato.
Idadi ya watu katika mikoa yote mitano ya Zanzibar inalingana na idadi ya watu katika mkoa mmoja mmoja ya Tanzania Bara.
Kama kila mkoa utakuwa na mapato kama Zanzibar, au zaidi, nchi yetu itakuwa kwenye njia sahihi ya kuboresha maisha yetu.
Hizo hesabu hi za kupika na kudanganya kama makusanyo ndiyo hayo mbona Hali za wananchi ni za dhiki na Shida hakuna Shira mishahara dduni kuliko huko bara kuliko na utitiri wa watu na angalau mishahara Yao iko juu sana ukilinganisha na Zanzibar ndiye huyo huyo aliyesema ufaulu unapanda wakati shule za serikali Zanzibar ndizo zinaongozana mkiani.Rais wa Zanzibar, Dr. Mohamed Shein, ameeleza kuwa mapato ya Zanzibar kwa mwaka yamefikia Tanzania Shillings Bilioni 2874, sawa na Trilioni 2.874.
Taarifa hii inaonyesha waziwazi kuwa Tanzania Bara tukijifunza kutoka Zanzibar, mapato ya Mikoa yetu inaweza kuongeza mapato yake ya ndani kwa kiwango cha kutosha, na kuifanya nchi yetu kuwa ya Uchumi wa Kati kimapato.
Idadi ya watu katika mikoa yote mitano ya Zanzibar inalingana na idadi ya watu katika mkoa mmoja mmoja ya Tanzania Bara.
Kama kila mkoa utakuwa na mapato kama Zanzibar, au zaidi, nchi yetu itakuwa kwenye njia sahihi ya kuboresha maisha yetu.
Muungano is a dead weight ,Zanzibar is ready for takeoff minus excess baggage.
Unaongelea sera ya majimbo wewe.Mkuu unaweza kuwa na hoja lakini zanzibar ina sovereignty yake tofauti na mikoa ya Tanzania bara hasa halmashauri. Mikoa kama Geita ikivuna rasilimali zote zinaenda dodoma kwanza ndio zinapangiwa kazi ya kufanya ila zanzibar licha ya udogo wa eneo au idadi sawa na mikoa yetu ila inajitegemea kiutawala hivyo ni rahisi kuretain mapato yake unayoona makubwa.
Mfano Halmashauri za huku bara ziliporwa kodi ya majengo ikaenda serikali kuu..... Gesi ya mtwara ni ya serikali sio halmashauri ya Mtwara n.k. kule kigoma ujiji halmashauri ilitaka kuingia MoU na mashirika ya nje kuwekeza miradi mbalimbali ya maendeleo ila yalitaka wasaini OGI ambayo serikali ya Tanzania ilijitoa. Mwisho wa siku mradi ukafa ila ingekua zanzibar jambo lingeamuliwa mara moja na baraza la wawakilishi na wangevuna hiyo miradi kuboost mapato ya ndani ila bara mpaka dodoma ndio iamue kwa niaba ya Halmashauri.
Suluhisho ili tuwe sawa ungesema sera ya ugatuzi wa majimbo Mtwara ijikamulie gesi yake na korosho.... Geita wavune dhahabu zao etc trust me kuna mikoa ingekua na mapato ya ndani makubwa kuliko hata hyo zanzibar kwa mbali sana ila ingekua na cost zake kwa mikoa ambayo bado haijawa na rasilimali za kutosha.
Kwa mwaka mzima ukumbuke. Kwa sasa hayana tofauti kubwa na mapato ya JMT kwa mwezi!
Yaani unataka mapato ya mkoa yawe sawa na nchi?
Yaani unataka mapato ya mkoa yawe sawa na nchi?