Mapato ya Vodacom Tanzania yaongezeka

Mapato ya Vodacom Tanzania yaongezeka

Voda wanajipanua kwa nguvu kubwa ili baadae iwe company kubwa ya mawasiliano tz. Ukiangalia wanavyosambaza minara ktk miji midogo unaweza kuna voda wana minara zaidi ya 6 huku airtel na tigo wakiwa na mbili tu kila moja.
 
Vodacoma

Makato kwenye m-pesa wameongeza

Bundle zao wamefinya sanaaa..yani kiduchu...

Mikoani walio wengi wanatumia vodacom.

Lakini wamesema yameongezeka kabla ya kukatwa kodi...kwahiyo yakikatwa itakuaje?

Tra karibu muongeze kodi huku kuna peaa bwerere..isitoshe na wafanya kazi wamepunguzwa
 
Nakumbuka kuna Malaya mmoja alianzisha campaign ya kuhamasisha makopo yake yatupe SIM cards za Voda.

From the beginning to the end,Losers lose!

Nadhani ameshajua sasa ushawishi wake unaishia wapi.
 
Mapato kuongezeka kwa kampuni kubwa kama Voda sio ajabu. Hii ni sawa kabisa kulingana na kanuni ya mtaalam wa maswala haya inayoitwa Godorns costant growth model, which is perfectly true for large corporations.

Because the model simplistically assumes a constant growth rate, it is generally only used for companies with stable growth rates in dividends per share.

Read more: Gordon Growth Model Gordon Growth Model
Follow us: Investopedia on Facebook
 
Vile vitisho vya uchumi kudorora na makampuni kuanza mufungwa vifike mwisho sasa.
 
Headline ingekuwa inasomeka "Vodacom yaendelea kupata hasara mwaka wa 2 mfululizo" Ufipa wangehamishia ofisi zao kwenye hii thread kwa mda..
 
Kuwa mzalendo tumia kiswahili. Nauliza mapato ya mafuta ya kula si yamepanda? Jibu ndio au hapana. Mapato ya sukari pia si yamepanda? Kwanini unaona tu ya Vodacom
Usiwe na mawazo ya kuambaa....mada hii inaongelea mapato ya Vodacom wewe unaongelea sukari na mafuta.
Kwangu mimi hiyo ni dalii ya ugonjwa wa akili
 
Back
Top Bottom