Mapato ya Bandari kushuka, wengi sasa kupitia Mombasa

Naomba muelewe, hata me ni mtanzania napenda nchi yangu ikusanye kodi ili tuendelee, kwaani huko nyuma waliokuwa wanapata hiyo tax exemption walikuwa wafanyabiashara wakubwa, sisi wadogo ndiyo tulikuwa tunalipa kodi halali, ninachotaka kushauri serikali ni kwamba ucheleweshaji mizigo umeongezeka tofauti na siku za nyuma, hapa niongee km mtaalam kidogo (logistician) ili serikali ikusanye mapato kwa wingi ni lazima ihamasishe mzunguko wa biashara-fostering supply chain. ndiyo maana ktk nchi za wenzetu kuna kitu kinaitwa JIT-JUST-IN-TIME ikiwa na maana kuwa kuhamasisha zero storage. let say, mfanyabiashara anaelipa kodi 20m kwa kila delivery akifanya mizunguko mingi ndivyo serikali inatakiwa kukusanya kodi.

Sina maana serikali itoe misamaha ya kodi lakini isimamie uharaka wa utoaji wa mizigo. baadhi mnaweza kuona km kawaida kumbe ni sabotage ya baadhi ya watendaji ambao mitandao yao imekatwa hivyo kujenga mazingira ya rushwa ili wakufanyie haraka km ilivyokuwa miaka 5 iliyopita. Pia kutaka kuwa disappint wafanyabishara wahame bandari ili serikali ya JPM ikose mapato na baada eionekane kuwa na ilifanya makosa kuwatimua baadhi ya watu mhimu.

Naamini huu ucheleweshaji ni kipindi cha mpito tu. Majipu yakishatumbuliwa sawa sawa, kipaumbele itakuwa kutoa mizigo haraka iwezekanavyo. Hiyo ndiyo sifa ya bandari yoyote yenye ufanisi.

Utakumbuka zamani mizigo ilikuwa ikichelewa sana kutoka. Wakaimprove lakini majizi yakatumia mwanya huo kufanya yao. Maboresho ya bandari yataleta ufanisi zaidi. Mizigo itatoka haraka na kodi itakusanywa ipasavyo.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
UNAPOTOSHA ;
KUNA SCANNER 2
TPA & TRA

SEMA UNAUKANJANJA KWENYE DOCUMENT.

DOCUMENT YA TRANSFORMER UMEANANDIKA PUMPUS- NA NDO UMETANGULIZA MBELE.

Physical verification na sio scanner. Bandiko lake linasema loose cargo.
 
Wahenga walisema kila jambo jema halikosi kasoro, baada ya mheshimiwa Rais na Serikali yake kutumbua majipu akianzia bandari, sasa maisha ni magumu kwa wafanya biashara, wafanyakazi wa bandari na TRA wanachelewesha mizigo kisa ukaguzi mzigo kwa mzigo, kifurushi kwa kifurushi hasa kwenye lose cargo. Biashara yetu imekwama bandari kwa miezi miwili sasa, meli ilifika tangu kati kati ya December 2015, lakini mpaka leo February hakuna hata Dalili, hata kulipa haiwezekani japo document zipo sawa.

Mimi kama mfanya biashara nafikiri kurudi kupitisha mizigo yangu bandari ya Mombasa, kwa sababu miezi miwili mzigo uko bandarilini, jumlisha mwezi mmoja wa kuusafirisha kutoka HONG KONG. Nani anaweza kufanya biashara miezi 4 unasubiri mzigo?

Ina maana kwa mwaka mfanya biashara asafiri mara 4 tu, kwa sababu ukilete mzigo kuutoa ni kuanzia miezi 2-4. Nchi itapoteza mapato makubwa muda si mrefu kwa either wafanyabiashara wengi kupitisha mizigo Mombasa au kwa mkufanya mizunguko midogo ya biashara.

Kwa sasa kila mfanyabiashara anatakiwa kuweka detail za mzigo, mfano km ni nguo uandike rangi, jina la muuzaji, na mambo mengine mengi, hivyo bandarini kila kipande kinakaguliwa km ni sawa na document, hivyo kuchelewesha mzigo kutoka.

USHAURI:
Serikali isimamie vizuri bandari ili kupunguza ukiritimba kwa sababu itapoteza wateja wengi, kama mteja amekamirisha kila kitu hakuna sababu ya kuzuia mzigo wake, alipe kodi aendelee na biashara ili arudi tena kuchukua mzigo.
wewe Mpumbavu kweli kwani Magufuli anaweka ukiritimba au anadai chake kodi halali ya Jamhuri! Nendeni Mombasa lakini mjue tu mipakani tutaweka kodi! Bidhaa za magendo toka huko marufuku kuingia Tanzania
 
Naomba muelewe, hata me ni mtanzania napenda nchi yangu ikusanye kodi ili tuendelee, kwaani huko nyuma waliokuwa wanapata hiyo tax exemption walikuwa wafanyabiashara wakubwa, sisi wadogo ndiyo tulikuwa tunalipa kodi halali, ninachotaka kushauri serikali ni kwamba ucheleweshaji mizigo umeongezeka tofauti na siku za nyuma, hapa niongee km mtaalam kidogo (logistician) ili serikali ikusanye mapato kwa wingi ni lazima ihamasishe mzunguko wa biashara-fostering supply chain. ndiyo maana ktk nchi za wenzetu kuna kitu kinaitwa JIT-JUST-IN-TIME ikiwa na maana kuwa kuhamasisha zero storage. let say, mfanyabiashara anaelipa kodi 20m kwa kila delivery akifanya mizunguko mingi ndivyo serikali inatakiwa kukusanya kodi.

Sina maana serikali itoe misamaha ya kodi lakini isimamie uharaka wa utoaji wa mizigo. baadhi mnaweza kuona km kawaida kumbe ni sabotage ya baadhi ya watendaji ambao mitandao yao imekatwa hivyo kujenga mazingira ya rushwa ili wakufanyie haraka km ilivyokuwa miaka 5 iliyopita. Pia kutaka kuwa disappint wafanyabishara wahame bandari ili serikali ya JPM ikose mapato na baada eionekane kuwa na ilifanya makosa kuwatimua baadhi ya watu mhimu.
Kwa hapo sawa
Sio ututishe kwenda Mombasa
Kwasasa hatutishiwi nyau tena
 
Acha kulialia Fanya kazi
Muda sio mtefu utaona fursa zikiongezeka
Kwanza ni serikali kupata pesa
Hayo mengine yatafuata
mengine ni kukurupuka..
unapompandishia mfanya biashara kodi kwa asilimia mia tatu hujui athari...
kwa hiyo mnaleta maendeleo kupitia migongo ya mafukara ?
jee maisha haya magumu yenye mfumuko wa bei na hela kuporomoka thamani, nani atazifikia hizo fursa za ngosha wakati wangine wameanza kufa kwa kula viwavi..
kutengeneza fursa sio kumuuzia fukara mchele kilo moja kwa dola mbili..
kweli akili ni mali.
 
Naomba muelewe, hata me ni mtanzania napenda nchi yangu ikusanye kodi ili tuendelee, kwaani huko nyuma waliokuwa wanapata hiyo tax exemption walikuwa wafanyabiashara wakubwa, sisi wadogo ndiyo tulikuwa tunalipa kodi halali, ninachotaka kushauri serikali ni kwamba ucheleweshaji mizigo umeongezeka tofauti na siku za nyuma, hapa niongee km mtaalam kidogo (logistician) ili serikali ikusanye mapato kwa wingi ni lazima ihamasishe mzunguko wa biashara-fostering supply chain. ndiyo maana ktk nchi za wenzetu kuna kitu kinaitwa JIT-JUST-IN-TIME ikiwa na maana kuwa kuhamasisha zero storage. let say, mfanyabiashara anaelipa kodi 20m kwa kila delivery akifanya mizunguko mingi ndivyo serikali inatakiwa kukusanya kodi.

Sina maana serikali itoe misamaha ya kodi lakini isimamie uharaka wa utoaji wa mizigo. baadhi mnaweza kuona km kawaida kumbe ni sabotage ya baadhi ya watendaji ambao mitandao yao imekatwa hivyo kujenga mazingira ya rushwa ili wakufanyie haraka km ilivyokuwa miaka 5 iliyopita. Pia kutaka kuwa disappint wafanyabishara wahame bandari ili serikali ya JPM ikose mapato na baada eionekane kuwa na ilifanya makosa kuwatimua baadhi ya watu mhimu.

Unaposhambuliwa na viwavijeshi wenzio kuwa mvumilivu,si unajua kiwavi kikikosa majani kinaguguna hata gogo?Wamesahau kuwa wewe ni kiwavi mwenzao toka kwenye lile kundi la kihalifu la L46b7.Wavumilie tu mtani.
 
Wahenga walisema kila jambo jema halikosi kasoro, baada ya mheshimiwa Rais na Serikali yake kutumbua majipu akianzia bandari, sasa maisha ni magumu kwa wafanya biashara, wafanyakazi wa bandari na TRA wanachelewesha mizigo kisa ukaguzi mzigo kwa mzigo, kifurushi kwa kifurushi hasa kwenye lose cargo. Biashara yetu imekwama bandari kwa miezi miwili sasa, meli ilifika tangu kati kati ya December 2015, lakini mpaka leo February hakuna hata Dalili, hata kulipa haiwezekani japo document zipo sawa.

Mimi kama mfanya biashara nafikiri kurudi kupitisha mizigo yangu bandari ya Mombasa, kwa sababu miezi miwili mzigo uko bandarilini, jumlisha mwezi mmoja wa kuusafirisha kutoka HONG KONG. Nani anaweza kufanya biashara miezi 4 unasubiri mzigo?

Ina maana kwa mwaka mfanya biashara asafiri mara 4 tu, kwa sababu ukilete mzigo kuutoa ni kuanzia miezi 2-4. Nchi itapoteza mapato makubwa muda si mrefu kwa either wafanyabiashara wengi kupitisha mizigo Mombasa au kwa mkufanya mizunguko midogo ya biashara.

Kwa sasa kila mfanyabiashara anatakiwa kuweka detail za mzigo, mfano km ni nguo uandike rangi, jina la muuzaji, na mambo mengine mengi, hivyo bandarini kila kipande kinakaguliwa km ni sawa na document, hivyo kuchelewesha mzigo kutoka.

USHAURI:
Serikali isimamie vizuri bandari ili kupunguza ukiritimba kwa sababu itapoteza wateja wengi, kama mteja amekamirisha kila kitu hakuna sababu ya kuzuia mzigo wake, alipe kodi aendelee na biashara ili arudi tena kuchukua mzigo.
Huo ushauri mpelekee chifu wa msoga
 
Ni jambo la kufurahisha kwa mwenye mji, pale anaposikia kibaka ameanza mipango ya kupitishia mizigo yake nyumba ya jirani kutokana na mwenye mji kufanya upekuzi mkali
 
H
Wahenga walisema kila jambo jema halikosi kasoro, baada ya mheshimiwa Rais na Serikali yake kutumbua majipu akianzia bandari, sasa maisha ni magumu kwa wafanya biashara, wafanyakazi wa bandari na TRA wanachelewesha mizigo kisa ukaguzi mzigo kwa mzigo, kifurushi kwa kifurushi hasa kwenye lose cargo. Biashara yetu imekwama bandari kwa miezi miwili sasa, meli ilifika tangu kati kati ya December 2015, lakini mpaka leo February hakuna hata Dalili, hata kulipa haiwezekani japo document zipo sawa.

Mimi kama mfanya biashara nafikiri kurudi kupitisha mizigo yangu bandari ya Mombasa, kwa sababu miezi miwili mzigo uko bandarilini, jumlisha mwezi mmoja wa kuusafirisha kutoka HONG KONG. Nani anaweza kufanya biashara miezi 4 unasubiri mzigo?

Ina maana kwa mwaka mfanya biashara asafiri mara 4 tu, kwa sababu ukilete mzigo kuutoa ni kuanzia miezi 2-4. Nchi itapoteza mapato makubwa muda si mrefu kwa either wafanyabiashara wengi kupitisha mizigo Mombasa au kwa mkufanya mizunguko midogo ya biashara.

Kwa sasa kila mfanyabiashara anatakiwa kuweka detail za mzigo, mfano km ni nguo uandike rangi, jina la muuzaji, na mambo mengine mengi, hivyo bandarini kila kipande kinakaguliwa km ni sawa na document, hivyo kuchelewesha mzigo kutoka.

USHAURI:
Serikali isimamie vizuri bandari ili kupunguza ukiritimba kwa sababu itapoteza wateja wengi, kama mteja amekamirisha kila kitu hakuna sababu ya kuzuia mzigo wake, alipe kodi aendelee na biashara ili arudi tena kuchukua mzigo.
Hapa kazi tu....na huu ni mwanzo system zitakaa vizuri so msijali....
 
Naomba muelewe, hata me ni mtanzania napenda nchi yangu ikusanye kodi ili tuendelee, kwaani huko nyuma waliokuwa wanapata hiyo tax exemption walikuwa wafanyabiashara wakubwa, sisi wadogo ndiyo tulikuwa tunalipa kodi halali, ninachotaka kushauri serikali ni kwamba ucheleweshaji mizigo umeongezeka tofauti na siku za nyuma, hapa niongee km mtaalam kidogo (logistician) ili serikali ikusanye mapato kwa wingi ni lazima ihamasishe mzunguko wa biashara-fostering supply chain. ndiyo maana ktk nchi za wenzetu kuna kitu kinaitwa JIT-JUST-IN-TIME ikiwa na maana kuwa kuhamasisha zero storage. let say, mfanyabiashara anaelipa kodi 20m kwa kila delivery akifanya mizunguko mingi ndivyo serikali inatakiwa kukusanya kodi.

Sina maana serikali itoe misamaha ya kodi lakini isimamie uharaka wa utoaji wa mizigo. baadhi mnaweza kuona km kawaida kumbe ni sabotage ya baadhi ya watendaji ambao mitandao yao imekatwa hivyo kujenga mazingira ya rushwa ili wakufanyie haraka km ilivyokuwa miaka 5 iliyopita. Pia kutaka kuwa disappint wafanyabishara wahame bandari ili serikali ya JPM ikose mapato na baada eionekane kuwa na ilifanya makosa kuwatimua baadhi ya watu mhimu.

Mkuu nimekuelewa sana, hilo ata mimi nimeliona kwa hiki kipindi kifupi. mzigo unacheleweshwa saana.

nadhani wahusika wasifikilie leo tu wawaze mbele zaidi, leo kisiasa inawapa credit, vp kiuchumi?
 
Bora yapungue kwa wafanyabiashara kukimbilia bandari nyingine kuliko mapato yapungue kwasababu ya ukwepaji wa kodi .
 
Watu wanakariri sana hapa JF. Yaani kifupi ujinga umeongezeka na hata uwezo wa watu kuhoji umepotea. Hivi hawa wafanyabiashara mnaotangaza nao vita wameajiri watu wangapi? Hao waliopo serikalini wanalipwa mishahara kutoka wapi? Huyu aliyepost hajaomba msamaha bali anaomba mzigo wake ukagulie utolewe. Ukicheza na biashara, hizo ndoto za trillion utazitoa wapi. Leo watu wanachekelea trilioni 1.7, lakini kwa mfumo huu wa misifa ni endelevu?
Kuna article moja nilisoma kwenye gazeti kwamba hata vyeti vya UDSM vimezuiwa bandarini vilipiwe kodi. Huu ni miongoni mwa ujinga unaoendelea.
Hivyo vyeti vya UDSM vilikua vinatoka wapi..Tangu lini vyeti vikapitishwa bandarini?.na kama vinapaswa kulipa kodi kwanini visilipe....watu walizoea kufanyia clearance kariakor ndo mana leo kukaguliwa wanalia lia
 
mi kinachoniuma huu mfumuko wa bei..
sijui hayo matrilioni wanayokusanyaga yanamsaidiaje fukara !
au ni takwimu tu za kisiasa ?
kampeni zinaendelea ?
hapa mtaisoma tuu !
mfumuko wa bei ni mshtuko tu wa kiuchumi....tupeane muda...mambo yataaa vizuri...sukari itashuka hadi buku kwa kilo
 
Back
Top Bottom