Mapango ya Amboni Tanga...................

Hebu tupia na ile sehemu inayofanana na tupu ya mwanaume au mwanamke...
 
Hii kwa watalii ndo zao tena hutoka ulaya na kuzipenda sana lakini si ni kama taka taka
 
Stori fulani nilipewa na muongoza watalii hapo kuwa kuna mzungu alipotea humo na mbwa wake.

Mbwa alikuja kuonekana chini ya mlima kilimanjaro! Mzungu hakuwah kupatikana.
 
ipo njia ya chini kwa chini inatokea Mombasa inasemekana wakina paulo hamisi na osale otango walikuwa wakifanya mashambulizi kwa jerumani kwenye mashamba ya mkonge walikuwa wanatorokea humo kwenda mombasa au kurudi tanga na ipo nyingine inatokea kisiwa cha Sumatra indonesia
 
Inawezekana ni kweli kwa huyo mbwa kutokea kilimanjaro. Ona post #8 ya Ngamiani
 
Last edited by a moderator:
....asisahau na njia nyembamba

Hahahaha! Kumbe Madame B ulishaingia kule. Wewe unayajua Mapango ya Amboni. Nilipo ingia kule na kutokea upande wa pili, nili apa kutorudia tena kamchezo kale.

Tulikua na Mshikaji mmoja alikua najidai mjuaji sana, ila tulipoingia pale alipoteza Control akalia kama mtoo mdogo. Tulikua na Mademu wao walikua ngangari mpaka mwisho. Tulipotokezea upande wa pili tulimcheka sana.

Kwa hiyo unapo ongelea mapango ya Amboni kama hujaingia ile njia nyembamba, bado hujayajua vizuri. Madame B kumbe unatisha. Big up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…