Mapandikizi ya CCM yarudi Bungeni

Mapandikizi ya CCM yarudi Bungeni

mbona nyie mlioona mfumo wa serikali tatu munajiimanisha kuwa ndiyo wananchi wa taifa hili kuliko wale ambao ndiyo wengi wanaoamini kwamba serikali mbili ndiyo bola?
bulumya londo, naomba labda unielimishe, hao wengi wanaoamini kwamba serikali mbili ndiyo bola (bora?) unawatoa wapi? Uliwahoji? Mimi najua iko Tume ilitembea nchi nzima mkoa hadi mkoa, wilaya hadi wilaya, kata hadi kata, kijiji hadi kijiji ikikusanya maoni ya wananchi. Je hao wa kwako uliwahoji lini na wapi?
 
Siyo mapandikizi ya ccm!, viongozi wa ukawa hawana haki ya kuwazuia wajumbe, wamechoka, hata wiki bado wamerudi 6 next week tutegemee zaidi.
Hao 6 unaosema hawajaonekana kwenye shuhuli yoyote ya bunge, wamesaini na kwenda kujificha pasipojulikana.
Katibu wa bunge amesema kuwa hawatalipwa hata cent maji.
 
Hivi BMK linapoendelea na vikao wana maana gani wakati wanajua akidi haitatosha kufanya maamuzi?
 
Siyo mapandikizi ya ccm!, viongozi wa ukawa hawana haki ya kuwazuia wajumbe, wamechoka, hata wiki bado wamerudi 6 next week tutegemee zaidi.

Wataje hao Sitta Rich Pol na impact yao kwenye Bunge hilo. Leticia anatoka bara, Arfi anatoka bara. Theluthi mbili itafika????
 
Last edited by a moderator:
Siyo mapandikizi ya ccm!, viongozi wa ukawa hawana haki ya kuwazuia wajumbe, wamechoka, hata wiki bado wamerudi 6 next week tutegemee zaidi.

Nawewe ni yaleyale mapandikizi swaini tukumbushe jina lako muishiwa laki tatu, chezea yuda Iskariot wewe!
 
Mmewajua lini kuwa ni mapandikizi? Nani sasa sio pandikizi kwenye hili lichama lenu?
 
bulumya londo, naomba labda unielimishe, hao wengi wanaoamini kwamba serikali mbili ndiyo bola (bora?) unawatoa wapi? Uliwahoji? Mimi najua iko Tume ilitembea nchi nzima mkoa hadi mkoa, wilaya hadi wilaya, kata hadi kata, kijiji hadi kijiji ikikusanya maoni ya wananchi. Je hao wa kwako uliwahoji lini na wapi?

Watakuwa walikusanywa hapa ndipo ilipozaliwa TANU,pale wanapopatiwa buku 7 Lumumba street
 
Wabunge wa ukawa wanatamani kurudi bungeni lakini viongozi wao wanawazuia hapo demokrasia iko wapi?
Ukawa ni genge la wahuni.
kama wewe ni mwanachama wa chama fulani ni lazima ukubaliane na masharti ya chama hicho, vinginevyo afadhali kukaa bila chama, wanachofanya baadhi ya wabunge wa ukawa wanaohudhuria bungeni ni usaliti ulio wazi dhidi ya chama chao na umma kiujumla.
 
Tatizo la Ukawa mnadhani kuwa mna akili kuliko wengine.
..haa haa we wasema, lakini watu wenye uchungu na nchi hii na wazalendo wanajua ukweli ulivyo. Kule dodoma watu wanafuata posho na sio vinginevyo.
 
UKAWA wanawawakilisha wananchi waliotoa maoni yao mbele ya Tume ya Marekebisho ya Katiba. Kwa sasa Fisadi Sitta haongozi kikao cha BMLK, anaongoza kikao cha walafi wa posho, wanafiki na mafisadi ambao wako tayari kusaliti maoni ya Watanzania kwa kipande cha fedha cha laki tatu.
ni kweli mkuu, hapo ni mshiko na uchakachuaji na si kingine!
 
mbona nyie mlioona mfumo wa serikali tatu munajiimanisha kuwa ndiyo wananchi wa taifa hili kuliko wale ambao ndiyo wengi wanaoamini kwamba serikali mbili ndiyo bola?
teh teh, mkuu wananchi gani wengi wanaoamini mbili ndiyo bola?
 
Hivi BMK linapoendelea na vikao wana maana gani wakati wanajua akidi haitatosha kufanya maamuzi?
mkuu watu wako after money na matumbo yao na si vinginevyo! Chezea milioni 18 wewe? Mwigulu alianza kugeukwa na wenzake baada ya kutetea pesa za walipa kodi zinazoliwa na wachumia tumbo huko dodoma!
 
Siyo mapandikizi ya ccm!, viongozi wa ukawa hawana haki ya kuwazuia wajumbe, wamechoka, hata wiki bado wamerudi 6 next week tutegemee zaidi.

Maccm wangezuia wabunge wao kutohudhuria ungesema vp? Au no ukawa tu ndo hawana say na makada wao.
 
..haa haa we wasema, lakini watu wenye uchungu na nchi hii na wazalendo wanajua ukweli ulivyo. Kule dodoma watu wanafuata posho na sio vinginevyo.

Mbona hata UKAWA hiyo ndo ajenda ndo maana wanalipana 450,000 kutoka kwa Donors kwa kutokuhudhuria BMK. Kalagha bhaho.
 
Hivi BMK linapoendelea na vikao wana maana gani wakati wanajua akidi haitatosha kufanya maamuzi?
Hao magamba wana roho ngumu kweli, tegemeo lao kubwa ni kuwapata akina Yuda Iskariote ndani ya ukawa, kete hiyo wanayocheza ikishindwa (kama ambavyo dalili za wazi zinavyojionyesha) basi CCM itajizolea aibu ya kwanza kubwa kuliko zote, tokea chama hicho kiundwe mwaka 1954!
 
Sio kuwa UKAWA imeshindwa kuwalipa hizo pesa wanazopata bungeni?

Ukawa iliahidi wote wanaotoka bungeni kuwa malipo yao yako pale pale kama hawajaondoka bungeni, wajanja wachache wakajilipa, wengi waliozubaa imekula kwao.
 
Back
Top Bottom