Mapandikizi ya CCM yarudi Bungeni

Mapandikizi ya CCM yarudi Bungeni

Wabunge wengi wa CCM wanapenda Tanganyika irudi, Ila Vitisho na usalama wao vinawafanya kuufyata..

Hivi kwa nini CCM inalazimisha kura ya Wazi? Ni ili kuwabana wabunge wake....

CCM hakuna demokrasia, kuna ubabe na ukolimbalism....

Je mnakumbuka G55? si wanataka serikali ya Tanganyika? Si wapo mpaka leo, Kipi kimewabadilisha?

Kero za muungano tele na hakuna njia ya kutatua mpaka leo..... CCM wameshupaaa (by Prof. Palamagamba Kabudi)
 
UKAWA wanawawakilisha wananchi waliotoa maoni yao mbele ya Tume ya Marekebisho ya Katiba. Kwa sasa Fisadi Sitta haongozi kikao cha BMLK, anaongoza kikao cha walafi wa posho, wanafiki na mafisadi ambao wako tayari kusaliti maoni ya Watanzania kwa kipande cha fedha cha laki tatu.
Khaa!! Tuliza akili wewe. Si UKAWA wala CCM ndiyo watatutafutia Katiba mpya. Wote hao ni majobless tu wanahangaikia matumbo yao tu. Wangeenda wakajadili tu kisha wananchi tukaamua. Tunahitaji katiba ya watanzania na si ya CCM wala CDM wala chama chochote.:cool2:
 
Ukawa kwa hawa mpigie mstari,wengine tulikuwa tunasubiri kupigia mstari,maana hata shibuda yuko cdm kwa sababu tu..,.lakin ufunua akili yake ni ccm-99.9%.
 
UKAWA wanawawakilisha wananchi waliotoa maoni yao mbele ya Tume ya Marekebisho ya Katiba. Kwa sasa Fisadi Sitta haongozi kikao cha BMLK, anaongoza kikao cha walafi wa posho, wanafiki na mafisadi ambao wako tayari kusaliti maoni ya Watanzania kwa kipande cha fedha cha laki tatu.

Khaa!!! Kumbe wanawakilisha kundi la wauu wasiozidi 15,000 kati ya watz milion 48???
 
Siyo mapandikizi ya ccm!, viongozi wa ukawa hawana haki ya kuwazuia wajumbe, wamechoka, hata wiki bado wamerudi 6 next week tutegemee zaidi.
wacha kuwa mwongo, ni hivi karibuni tu yule mbunge wa CUF ameomba radhi, pia wacha kujitoa ufahamu hivi ni halali wabunge wa ccm kuondoa vipengele vya uwajibikaji na maadili kwenye rasimu ya katiba? Acha siasa kwani bunge hili ni la kisiasa zaiidi na halina maslahi kwa taifa letu. Mungu wabariki UKAWA waendelee kuwa wamoja ili watutetee wananchi.
 
Dah kumbe kuna mapandikizi yamechomekwa na CCM yakijifanya yanawakilisha wakiristo ,salaaleh !
 
Back
Top Bottom