Mapambano ya ufisadi ...

Mapambano ya ufisadi ...

Wilbert1974

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
1,632
Reaction score
481
Alunta continua …
attachment.php
 

Attachments

  • 1417494475819.jpg
    1417494475819.jpg
    28.1 KB · Views: 282
Alunta continua …
Huyu mheshimiwa ana vituko vya bongo muvi.Alipokuwa anaomba kuchaguliwa kuingia kamati ya maslahi ya wabunge alitaka kuvaa kizibau chenye maandishi ya kuomba achaguliwe, spika makinda akamwamuru avue. Juzi hapa akichangia mjadala wa escrow alisema hataki kuwatazama akina muhongo kwani atawaonea huruma; hivyo akaamua kuvaa kininja. Mwenyekiti zungu akamwamuru avue huo uninja.Kwa machachari na mitazamo yakeisiyoogopa mtu huwezi amini ni mccm kwani miccm mingi ni minafiki na inaogopana!
 
Back
Top Bottom