Mapambano police na wananchi ifakara

huu ni uonevu wananchi wasirudi nyuma hivi viongozi huwa wanatumia akili za watu wengine kufikia maamuzi mabaya na mabovu kama haya
 
wa Tanzania CCM ni mbaya kuliko hata ugonjwa wa ukimwi kwani uki gundua una ukimwi unaishi kwa matumaini lakini CCM ina tuletea ugonjwa ambao hauna dawa wala huwezi kuishi kwa matumaini unaitwa umasikini,na umasikini na ujinga ni mtaji mkubwa wa CCM mtanzania fungua macho na masikio tuseme sasa inatosha
 
Back
Top Bottom