Mbona kujiteteta kwa maneno mengi hivyo inawezekana kuna ukweli ndani yake nini? Mimi siyo wa Dar es Salaam nisichangie sana mada hii.Mbunge wa Jimbo la Ubunge Kupitia Chama Cha Demokrasia na maendeleo ( CHADEMA) Anashambuliwa, Anatuhumiwa, Anashauriwa.
Wanaomshambulia ni Vijana wa CCM "Eti Wakijidia kwamba wao ni CDM". Nadhani CCM kwa Mara Nyingine WAMEPOTEA au WAMEKOSEA Strategies. Kinachonifurahisha ni Ukimywa wa Mnyika na Umakini wa Majibu pale anapoona kwamba anapaswa Kujibu Hoja ( Si Majungu) zinazoletwa Dhidi yake. Mnyika Hajawahi kujibu Fitna, hiyo ni Sifa kuu inayowanyima Usingizi vijana wa CCM waliopania Kumprovoke Mnyika.
1. Wapo wanaojifanya kwamba "WAO NI WAPIGA KURA WA UBUNGO".
Hawa wamekuwa eti wakimtahadharisha kwamba "Asipkuwa Makini atapoteza Jimbo lake ifikapo 2015". Wanataka Kuaminisha kwamba Kwamba Mnyika toka amechaguliwa na Wananchi wa Ubungo amewasahau Wananchi wa Ubungo na kujikita zaidi katika Shughuli za Chama. Ukiwasoma kwa Umakini watu hawa wana lengo la Kumkatisha Tamaa JJ katika Kuwawakilisha wananchi wa Ubungo.
2. Wananchi wa Ubunge wapanga Kuandamana Kumpinga Mnyika
Juzi hapa ilikuja Thread iliyosema kwamba wananchi wa Makuburi wamepanga kuandamana kumpinga Mbunge wao. Mh John Mnyika akawaambia kwamba kama watashindwa kupata kibali angewasaidia na Alipoona Kimya yeye ndio akaandamana kuwafata. Alichokita huko ni tofauti kabisa na Propaganda za CCM Mtandaoni. Kesho yake wakaja na Hanari Mnyika apigwa Mayai Viza.
Ukiangalia lengo la wana CCM hao si Kushauri Mnyika bali ni Kujaribu kugomanisha Viongozi vijana ndani ya CDM. CCM wameshatambua kwamba Nguzo kubwa ya CDM ni kuungwa mkono na Vijana. NA HILO LINAWATISHA MAANA HAKUNA DALILI KWAMBA VIJANA NCHINI KATIKA MIAKA YA KARIBUNI WATABADILI MAWAZO NA KUANZA KUIPENDA CCM.
Lengo kuu la CCM ni kuwafanya Vijana ndani ya CDM wajione hawana THAMANi, wajione wao ni DUNI lengo ni KUWARUDISHA NYUMA.
Mapambano dhidi ya CDM hayako tu kwa Mnyika bali kwa Vijana wote ambao wanaonekana wako LOYAL CDM. Vijana wengi wa CDM wameingia katika Mashambulizi hayo.
1. Zitto ametukanwa sana na "Vijana wa CDM". Ilifikia Wakati unahisi Kesho Zitto anarudisha kadi ya CDM lakini Zitto ameendelea kusimama Imara kabisa ni moja kati ya Nguzo Imara ndani ya CDM. Zitto wamemshindwa.
2. Dr. Slaa naye amekuwa Centre ya Masamabulizi kutoka kwa "Vijana hao wa CDM"/ Dr. Slaa ameendela kusimama kidete licha ya Matusi na Kejeli kutoka kwa "Vijana hao wa CDM".
Wito wangu kwa Vijana wa CDM
Ni Vizuri Mkatambua kwamba CHADEMA ni Tishio kwa CCM. CCM haipendi na Kamwe HAILALI mpaka kuhakikisha kwamba Nguvu ya CDM ambayo ni VIJANA inabomolewa.
Nawatakia Usiku Mwema
Mbona kujiteteta kwa maneno mengi hivyo inawezekana kuna ukweli ndani yake nini? Mimi siyo wa Dar es Salaam nisichangie sana mada hii.
Shahisha hapo Mbunge wa Jimbo la Ubunge..
Shahisha hapo Mbunge wa Jimbo la Ubunge..
Shahisha hapo Mbunge wa Jimbo la Ubunge..
Hapo kwenye red una maana gani? Shule ni kitu muhimu!Shahisha hapo Mbunge wa Jimbo la Ubunge..
lugha gani mkuuShahisha .
Watakuja kwa majina na ID tofauti wakijidai wanaishauri Chadema, kuna watu nilikuwa nawaamini kabisa lakini siku hizi nashindwa kushangaa wamebadilikaje.Kama naelewa sawasawa ni kwamba, vijana wa CCM baada ya kushindwa kuleta mabadiliko ndani ya chama chao CCM (mwulizeni Nape!) eti sasa wamepania kuleta kisirani ndani ya Chadema kwa kujibatiza vijana wa Chadema! Bila shaka ndio maana wanapokabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa wapenzi wa kweli wa Chadema, hukimbilia kuwatuhumu kuwa ni watu wasioambilika!
Binafsi mimi wito wangu kwa wapenzi wa kweli wa Chadema ni kuwa baada ya kusambaratika kwa CUF, ukombozi wa taifa umebaki mikononi mwa Chadema, period. Watatokea akina TUNTEMEKE wengi tu lakini kamwe msikubali kuyumbishwa na hawa wapenzi uchwarawa Chadema kwani ni rahisi kuwatambua. Utakuta wanaungwa mkono na mapandikizi yasio na nia nzuri kwa Chadema!
Lengo la mtu yeyote mwenye mapenzi ya kweli kwa taifa letu liwe ni kuuondoa huu utawala wa kidhalimu wa CCM, basi.
Hicho ndio kitugani?Shahisha hapo Mbunge wa Jimbo la Ubunge..
nani asiyekujua wewe ni magamba