Mwanagenzi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2006
- 741
- 281
Muda mrefu sijasikia kuhusu mapigano yanayowahusu M23. Je, majeshi ya SADC yametuliza mambo?
Ndugu yangu we yaache tu mana ukiyajua yatakuumiza.Muda mrefu sijasikia kuhusu mapigano yanayowahusu M23. Je, majeshi ya SADC yametuliza mambo?