Mkuu wala huitaji kuuliza kuna ndoa chafu kabisa kati ya CDM na hawa watuhumiwa wakuu wa UFISADI hata haya maandamano naammini kabisa CDM wanapata mshiko kutoka kwa hawa mapacha watatu.Siku za karibuni kumekuwa na sakata linaloendelea juu ya kile kilichokuwa CCJ.
Kuna makundi matatu makubwa yanahusika hapa. Ninachoshindwa ni kufahamu uhusiano wa makundi haya; kwa sababu wana maslahi yanayotofautiana.
Ambacho sielewi ni kwanini Chadema sasa wana collude na kundi la kwanza la mapacha watatu wa ufisadi kuwaumbua kundi lapili ambao walikuwa ndio maswaiba katika makelele ya ufisadi?
- Kuna mapacha watatu (watuhumiwa wa ufisadi). Hawa ni kundi liliolokuwa na nguvu katika serikali ya kikwete lakini likaharibu! Sihitaji kueleza kwa undani kwani kila mtanzania analifahamu. kwa siku za karibuni CCM imekuja na sera ya kujivua magamba, kwa tafsiri ya nje ni kuliondoa kundi hili kwenye political arean!
- Kuna mapacha watatu wengine ambao walikuwa vinara wa kupambana au kupiga makelele ya ufidsadi ndani ya CCM. Hili kundi halikuwa na nguvu sana, na lilichapwa demotion. Lakini wakaendelea kubaki CCM na madaraka fulani. Hili kundi linashutumiwa kuanzisha directly au indirectly CCJ.
- Kuna Chadema, hili lilizoa wale waliokuwa wanachama wa CCJ baada ya CCJ kukosa usajili wa kudumu. Kwa mtizamo walikuwa wanafanya kazi na kundi la pili kupambana na kundi la kwanza. Msisahau NAPE alishawahi kuonekana na pengine kuhutubia kwenye mikutano ya Chadema kwa spirit hiyo ya kupamabana na ufisadi.
Au ndio paradigm shift? Au ndio ule unafiki wa wanasisa? Chukua mfano wa Marando, alikuwa sauti kuu ya mageuzi wakati wa NCCR, akamuondoa Mrema NCCR, akahamia CCM akapewa ubunge wa Afrika Mashariki, sas tena ni sauti ya ukombozi ndani ya Chadema!
Kumbukeni pia kuwa CCM waliwahi kusema kuwa mapcha watatu wangetumia chama fulani cha upinzani ku-react juu ya hatua hii ya kuvuliwa magamba, je CDM ndio inatumika kwa kujua au bila kujijua?
Heshima kwako Jesuit.
Mkuu ni kweli CHEDAMA wamekuwa mstari wa mbele kuwaponda Sitta,Nape na Dr Mwakyembe ajabu ni kwamba sasa hivi wanatumia hata vyombo vyao vya habari[Tanzania Daima] kuwatetea Lowassa,Rostam Azziz na A chenge.
Mkuu wala huitaji kuuliza kuna ndoa chafu kabisa kati ya CDM na hawa watuhumiwa wakuu wa UFISADI hata haya maandamano naammini kabisa CDM wanapata mshiko kutoka kwa hawa mapacha watatu.
Big up nakubaliana nawewe.I think this is a strategy of 'divide and rule" CCM wanapambana wenyewe kwa wenyewe kwasababu ya CDM. Wamefikia mahala wanatoa siri zao, hii kwangu mimi naona kama ni dalili yakuishiwa nguvu. Hawana strategy kwasasa ni kuumbuana. I also believe ndani ya CCM kuna ambao hawakufurahishwa na position aliyopewa Nape kwasababu zao binafsi. Hivyo na wao wana-attack kivyao. It is just a mess. Weakness za CCM ni opportunity kwa CDM. CDM wanaelewa Sita's camp haipatani na RACHEL's camp kwahiyo kuwagonganisha kutazidi kukisambaratisha chama (CCM). Tatizo CCM kwasasa kila mtu ana-ajenda yake, very few are fighting for country's interest. Mwakyembe na Sita walivyoamua ku-fight ufisadi walitakiwa kuwa more bold. Kuna baadhi ya vitu hawakuvi-address hivyo wakawa wana-send mixed messages kwa wananchi.
Hivi mnadhani kuwa CCM au Kikwete walikuwa hawajui kuwa wakina Sitta walikuwa wanasapoti CCJ? Hii iklijulikana wazi na kwa taarifa yenu ndio chanzo cha Sitta Kunyang'anywa Uspika. YES MKUU,MPENDAZOE KAHARIBU SANA...ALIKOSA LA KUONGEA.HAKUWA KIMKAKATI.
Siku za karibuni kumekuwa na sakata linaloendelea juu ya kile kilichokuwa CCJ.