King_Jeke_Tile
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 225
- 129
Weka picha
[emoji6] [emoji6] [emoji6] hii chai yamoto wacha niagize vyapati[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !!!! Vyapati!!!
Chai nyingine hii. Ila haina sukariNdugu zangu,
Nimekuwa kwenye mahusiano na msichana mmoja kama miezi miwili mwanzo sikujua kama pacha mpaka aliponitambulisha kwa pacha mwenzie wanafanana sana. Tatizo wamenigeuza (sex machine) kila wakija wanataka nifanye nao mapenzi wote.
Nimejitahidi nimeshindwa wataniua siku si zangu maana kazi yao pevu yani nikitoka pale nakua hoi hata darasani siendi, mwili unaishiwa nguvu nilijaribu kumwambia msichana wangu kuwa anipendi kama angekua ananipenda asingekubali nimpige pacha wake, akasema hapendi ila hawezi kumbania ndugu yake kwanu ananipenda pia.
Wadau, nipe mawazo jinsi ya kujichomoa kwenye huu utumwa wa ngono nibaki na pacha mmoja.
Kbsaaa mwambieWe mwenyewe unaonesha kupenda kufanya hizo takataka.
Soma shuleNdugu zangu,