Kwa kweli mwenyezimungu ni muweza wa yote. Mapacha hawa Abby and Brittany ni watu wawili tofauti wenye miguu miwili, mikono miwili ila jinsi wanavyoitumia inawafanya kuwa wa aina yake, na wanatarajia kuwa na watoto siku zijazo. Je watapata kwa njia ya kawaida au artificial? who's ready to merry one of them? and how. Ni wao tu ndiyo wanajua
Last edited by a moderator: