NANGA WA DEPO
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 917
- 1,198
Kivipi Mkuu!Daah !!.. Hii noma sana
Maajabu ya Muumba hayana mwisho..
Mie nina pacha wangu tunafanana kama mayai.
Tunapendana sana.. Ulimwengj wa pacha is wonderful
Post sent using JamiiForums mobile app
Andiko lako limenigusa sana MkuuSasa niwakati was serikali kumtua rasmi huyo mama mlezi majukumu mazito maana ameonesha dhamira njema kwamabinti hao,hongera sana mama sasa jivunie kuwalea
Ndalichako wacha maneno somesha wahitaji hao mama mlezi nae apumzike.Sio mawaziri msubiri hadi kila kitu mh.Raisi kila msaada wakutoa mahali awaelekeze