NANGA WA DEPO
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 917
- 1,198
HUJAFA hujaumbika na siku zote Mungu ni mwema na Mungu ana makusudi yake ni wa ajabu kwa sababu maajabu yake ni makubwa na ukuu wa Mungu unajidhihirisha katika muujiza wa watoto mapacha waliozaliwa wakiwa wameungana kiwili wili Consolata na Maria Mwakikuti ambao sasa wana ndoto ya kujiunga chuo kikuu.
Mapacha hawa wameungana kuanzia kiunoni wanatumia miguu miwili , mikono mine kila mmoja na yake na vichwa viwili kwa maana kila mmoja na kichwa chake ni wacheshi na wanaopendana kupita kiasi.
Katika mtihani wao wa kidato cha sita kila mmoja alikuwa na namba yake (maria 0639/545 na consolata 0639/516 na wote wamefaulu kwa matokeo yanayo fanana DIV. TWO ya point 10 kila mmoja, Wao wana ndoto za kwenda chuo kikuu kusomea ualimu.
Hist-D, Kisw-C, Engl-C . HONGERA SANA KWAO, HAKIKA MUNGU ANA MAKUSUDI NA WATOTO HAWA