mmoja kapata mwingine kakosaKituko ni pale utakaposkia et wamekosa mkopo
Post sent using JamiiForums mobile app
wanaishi kwa kutegemeanaNawaza sana,hv ikitokea mmoja amekufa itakuaje hapo?
from Katesh using Siemens C55
Sasa niwakati was serikali kumtua rasmi huyo mama mlezi majukumu mazito maana ameonesha dhamira njema kwamabinti hao,hongera sana mama sasa jivunie kuwalea
Ndalichako wacha maneno somesha wahitaji hao mama mlezi nae apumzike.Sio mawaziri msubiri hadi kila kitu mh.Raisi kila msaada wakutoa mahali awaelekeze
Not dat easy mkuu.......its vry difficult afu ukizngatia wameshakua wakubwa......infants ndo afadhali kdg kuwafanyia ayo mafekeche coz wana uwezo wa kugenerate fastaaaNafikiri kulikuwa na haja ya serikali kufikiria namna ya kuwatenganisha najua kwakuwa hawakupata chance ya kujulikana mpk walipoanza shule wanaweza wakapata chance ya kufanyiwa uchunguzi na kutenganishwa kabla hawajawa wakubwa sana,na naamini kila mtu anaviungo vyake ila tu wameungana!
Post sent using JamiiForums mobile app
Birds of the feather flock together. Hivyo ni rahisi kwa wazinzi kuoneana huruma kwa masahibu yanayotokana na uzinzi na kusaidiana. Especially when one's intention is simply to grab attention from the public willy-nilly.Mungu mkubwa wasaidiwe jamani uo usafiri wao kwani hawawezi pata usafiri wa kisasa kama bajaj mbn aliyetobolewa macho na skopion watu walimsaidia japokuwa chanzo cha kutobolewa bado ni utata
Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu wote wamepewa no zao na matokeo kila mmoja amepata divn 2: 10Mimi nauliza kwanini wasajiliwe kila mtu namba yake ya mtihani lakini matokeo ni mamoja ?
Post sent using JamiiForums mobile app
Hauko sahihi Sana, kutenganisha ilikuwa ni risk kubwa, ilikuwa mmoja lazima apoteze maisha kam sio wote, ndo mana waliamua kumwachia mungu afanye aliyoyapanga, walikuja wataaluam wa mfumo wa fahamu pale ikonda wakafanya hadi kavidio na wenzao ulaya mambo yakagoma....Nafikiri kulikuwa na haja ya serikali kufikiria namna ya kuwatenganisha najua kwakuwa hawakupata chance ya kujulikana mpk walipoanza shule wanaweza wakapata chance ya kufanyiwa uchunguzi na kutenganishwa kabla hawajawa wakubwa sana,na naamini kila mtu anaviungo vyake ila tu wameungana!
Post sent using JamiiForums mobile app
AmeniMungu muweza wa kila jambo ulitakalo huwa.