Mapacha walioungana wafaulu mtihani wao wa kidato cha sita

Uwa napenda sana kusoma habari zao hawa mapacha! Najaribu kufikiria maisha yao jinsi yalivyo na yatakavyokuwa mbeleni! Mungu apewe sifa kwa yote!
 
Sasa niwakati was serikali kumtua rasmi huyo mama mlezi majukumu mazito maana ameonesha dhamira njema kwamabinti hao,hongera sana mama sasa jivunie kuwalea

Ndalichako wacha maneno somesha wahitaji hao mama mlezi nae apumzike.Sio mawaziri msubiri hadi kila kitu mh.Raisi kila msaada wakutoa mahali awaelekeze
Magufuri katiri sana hana upendo huo
 
Nafikiri kulikuwa na haja ya serikali kufikiria namna ya kuwatenganisha najua kwakuwa hawakupata chance ya kujulikana mpk walipoanza shule wanaweza wakapata chance ya kufanyiwa uchunguzi na kutenganishwa kabla hawajawa wakubwa sana,na naamini kila mtu anaviungo vyake ila tu wameungana!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwa hawa ni Mungu ndo mwamuzi maana wana miguu 2.
 
Nafikiri kulikuwa na haja ya serikali kufikiria namna ya kuwatenganisha najua kwakuwa hawakupata chance ya kujulikana mpk walipoanza shule wanaweza wakapata chance ya kufanyiwa uchunguzi na kutenganishwa kabla hawajawa wakubwa sana,na naamini kila mtu anaviungo vyake ila tu wameungana!

Post sent using JamiiForums mobile app
ikishindikana mkuu hata hivyo mpaka sasa wanalelewa na sister fulani wa kanisa katoliki huko iringa - kilolo
 
Hongera sana by that time nawaona kwa mara ya kwanza mlikuwa mmekuja kuanza form five udzungwa sekondari!
Ama kweli nilishuhudia ukuu wa Mungu
 
Mungu mkubwa wasaidiwe jamani uo usafiri wao kwani hawawezi pata usafiri wa kisasa kama bajaj mbn aliyetobolewa macho na skopion watu walimsaidia japokuwa chanzo cha kutobolewa bado ni utata

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mimi nauliza kwanini wasajiliwe kila mtu namba yake ya mtihani lakini matokeo ni mamoja ?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom