Ningependa kuwahabarisha wafugaji ,wauzaji na wasambazaji wa bidhaa za nyama (red meat & white meat) kutakua na maonyesho ya nyama na ufugaji Toronto Canada tareh 4 mpk 6 February 2021 ambapo wafanya biashara na wawekezaji wakubwa kwa wadogo wa nyama na ufugaji watakutana kuonyesha bidhaa zao kubadilishana ujuzi na kupeana fursa mbalimbali katika biashara hii.
Sisi tukiwa kama washirika wa waandaji wa maonyesho haya tungependa kukusaidia kuandaa safari hii kwa kuwa kwenye msafara unaotoka Tanzania kwenda Toronto, ili ukajifunze fursa mbali mbali
Kwa atakayependa kushiriki wasiliana nasi +255747945914
Chini hapa nimeweka link ya tovuti ya maonyesho MeatEx Canada
Mkuu ungeweka maelezo zaid mfano, Gharama, mahitaji, fursa zilizopo na faida za maonesho haya.etc.Maelezo uliyoweka hapa hayana nyama kabisa wakati yanahusu tamasha la nyama.
Mkuu ungeweka maelezo zaid mfano, Gharama, mahitaji, fursa zilizopo na faida za maonesho haya.etc.Maelezo uliyoweka hapa hayana nyama kabisa wakati yanahusu tamasha la nyama.