nad Member Joined Oct 31, 2013 Posts 57 Reaction score 27 Nov 26, 2013 #21 Lalia mto then uliiieeeee mpk bas hasira na huna haja tena ya kufutwa utarudi normal
M Mwaana wa Adam Member Joined Nov 13, 2013 Posts 63 Reaction score 5 Nov 27, 2013 #22 Lia saaana machozi yaishe kabissaaaaa! Hakika hautalia tena
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,463 Reaction score 17,958 Nov 27, 2013 #23 BADILI TABIA said: kulia ni mojawapo ya njia ya kusafisha macho, lia tu.... Click to expand... serengeti boy kama mimi siwezi lizwa kabisa! mapenzi raha sana kama ukiwa less serious to it! jengeni milango miwili basi! siku wa mbele umegoma kufunguka, tumia wa nyuma! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
BADILI TABIA said: kulia ni mojawapo ya njia ya kusafisha macho, lia tu.... Click to expand... serengeti boy kama mimi siwezi lizwa kabisa! mapenzi raha sana kama ukiwa less serious to it! jengeni milango miwili basi! siku wa mbele umegoma kufunguka, tumia wa nyuma!
Aventus JF-Expert Member Joined Mar 8, 2013 Posts 2,011 Reaction score 2,182 Nov 27, 2013 #24 Ntalia nkikosa ugal na si vngnevyo