Samahani kabla ya kukujibu naomba unieleweshe kidogo, je unamaanisha kitabu au jarida(magazine) ambalo litakua linatoka kila baada ya muda? Au ni kitabu ambacho may be kutakua na edition ya kwanza, ya pili nakadhalika.??Nataka kuandika kitabu kwa habari ya Technolojia (sijaamua bado kama itakuwa ni Software Engineering, Networks au Databases)
Nataka kuandika kitabu kwa habari ya Technolojia (sijaamua bado kama itakuwa ni Software Engineering, Networks au Databases) ila kuna maeneo nataka kusikia maoni yenu,
- Lugha ya kutumia ili kiwanufaishe Watanzania ni ipi? Kiswahili? Kiingerza au mchanganyiko?
- Wachapaji wanaweza kubali kweli kwa hapa kwetu kwa kuwa ni jambo geni kwao (AFAIK)?
- Watanzania kweli watanunua au ndio ile ananunua mmoja wengine wanapiga copy?
Mnisaidie maoni yenu wadau!
Kitabu kabisa sio jarida. Jarida naweza fanya kama kuna mtu atafanya funding!Samahani kabla ya kukujibu naomba unieleweshe kidogo, je unamaanisha kitabu au jarida(magazine) ambalo litakua linatoka kila baada ya muda? Au ni kitabu ambacho may be kutakua na edition ya kwanza, ya pili nakadhalika.??
Labda ndio niamshe Watz :A S 39:kama ni kitabu sijui kama utafaidika sana, maana si wengi wanapenda kusoma, esp sisi watanzania,
Jarida litahitaji wadau wa kuchangia mada na pia funding ya uchapaji na usambazaji.ila likiwa ni jarida maybe monthly hata quarterly litakutoa, na lenyewe liwe graphical, ukiweka maelezo meeengi bila mapicha picha humpati mswahili
Misamiati ipo na pasipo si unatohoa tu. Tatizo ni watumiaji watafaidika na lugha gani! Mmoja huyu wa English!mimi napendelea kiingereza ila sijui kama msamiati wa maswala ya teknolojia upo wa kutosha kwa kiswahili
Umeshawahi sikia kitu inaitwa Isanga au Segerea? :yo:halafu kikitoka tu naliscan chote afu nakiweka hapa watu wadownload hahahahah.
Umeshawahi sikia kitu inaitwa Isanga au Segerea? :yo:
Mkuu una uelewa wowote kuhusu majarida.kama ni kitabu sijui kama utafaidika sana, maana si wengi wanapenda kusoma, esp sisi watanzania,
ila likiwa ni jarida maybe monthly hata quarterly litakutoa, na lenyewe liwe graphical, ukiweka maelezo meeengi bila mapicha picha humpati mswahili
mimi napendelea kiingereza ila sijui kama msamiati wa maswala ya teknolojia upo wa kutosha kwa kiswahili
halafu kikitoka tu naliscan chote afu nakiweka hapa watu wadownload hahahahah.