Maoni yatakayofanikisha utafiti wangu

Maoni yatakayofanikisha utafiti wangu

Unacho kizungumza nikweli, lakin sio kudindisha pekeyake kunaweza mfanya mtu afanye maamuz tofaut na akiwa na haliyake yakawaida. ukiwa na hasira au ukilewa pia unaweza kufanya maamuzi tofaut vilevile
 
Uwezo wa kufikiri kupungua hadi kubaka!!Kwani mtu anafikia maamuz ya kubaka kabla ya kudindisha au akiwa kadinda??
 
Uwezo wa kufikiri kupungua hadi kubaka!!Kwani mtu anafikia maamuz ya kubaka kabla ya kudindisha au akiwa kadinda??

kuna kubaka kwa malengo mengi.
Yupo anayebaka kwa ushrikina, yupo anayebaka kwa kisasi, na yupo anayebaka kwa kukosa uvumilivu yaan hisia zmemshinda.

Watu watatu hao wanakuwa na msukumo tofauti kabisa.

Kwahuyu anayebaka kwa kuzidiwa na hisia ndio huongozwa zaidi na kicha cha chini,.

Mara nyingi hasa kwetu wanaume unakuta mtu kafanya mapenz na mwanamke halafu baada ya kumaliza tu hukumbwa na mawazo mengi mno watu wa aina hyo huwa wanaongozwa na maamuzi ya chini
 
Back
Top Bottom