Maoni yangu ya Chelsea 4 - 4 Ajax

innocent dependent

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Messages
1,935
Points
2,000

innocent dependent

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2019
1,935 2,000
Kwangu hii ndiyo game ilikuwa nzuri sana kwangu kuitazama team zote zilicheza open football. Jambo lililovutia zaidi ni comeback ya Chelsea from kufungwa 4 kwa 1 mpaka kuwa 4 kwa 4.

First half analysis

First half Ajax walitumia vizuri makosa ya mabeki wa Chelsea ikasababisha Abraham kujifunga pamoja na kepa Ajax walipiga shoot on target 1 tu lakini wakifika goalini kwa Chelsea wanakuwa na madhara.

Second half analysis

Kipindi cha pili Chelsea walikuja juu sana na kulishambulia goal la Ajax kwa fujo sana mpaka wakapata goal la 2, hapa ndiyo wakazidi kuwachanganya Ajax na pressure ya mchezo kuwa kubwa kwa Ajax, kitu kilichopelekea kufanya makosa matatu kwenye reaction 1; la kwanza, left back wao kucheza rafu mara mbili, moja nikumchezea rafu Pulisic na akamchezea pia Abraham wakiwa Chelsea wanaenda kuishambulia goal la Ajax. Wakati huu beki wa kati wa Ajax akashika mpira unaoelekea golini ndani ya box na kusabisha Chelsea wapate penalty na ikapigwa kiufundi na Jorginho, huku yule left back akipewa kadi ya njano ya pili na kuwa na red card, na kuna mchezaji mwingine wa Ajax hapo hapo akala red card baada ya kutoa lugha chafu kwa maamuzi.

Chelsea wakazidi kuishambulia goal la Ajax wakapata goal la nne kupitia kijana mdogo James na likawa la 4 lakini pia kuna magoal mawili ya Chelsea yalikataliwa. Kosa kubwa waliofanya Ajax baada ya kushinda goal nne hawaku-defense, na ndiyo iliyopelekea Chelsea kurudisha, na wangefungwa magoal mengi Sana ajax.
 
innocent dependent

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Messages
1,935
Points
2,000

innocent dependent

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2019
1,935 2,000
Bila mahaba from cfc fan card ya blind ñdio ilitubeba kwani alikuwa msambaza mipira kwa forwad wa ajax
Iliwabeba kivp? Cos alicheza rafu za ovyo mbili na akastahili red na red kadi ni sehemu ya mchezo mbona real Madrid Kuna game moja walipata red kadi Tena kwenye dakika ya 15 tu ya first half na akashinda goal 3 kwa 1.
 
nkuwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Messages
3,804
Points
2,000

nkuwi

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2013
3,804 2,000
Iliwabeba kivp? Cos alicheza rafu za ovyo mbili na akastahili red na red kadi ni sehemu ya mchezo mbona real Madrid Kuna game moja walipata red kadi Tena kwenye dakika ya 15 tu ya first half na akashinda goal 3 kwa 1.
Mkumbushe pia hata wakati Fernando Torres anafunga goli la pili Vs Barcelona camp nou Chelsea tulikuwa pungufu toka dakika 30 kipindi cha Kwanza baada ya red card ya captain John Terry!
 
lembu

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2009
Messages
3,506
Points
2,000

lembu

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2009
3,506 2,000
Red card zote ni njano mbili na waliopewa ni wale waliocheza rafu na kushika mpira eneo la penalty na wote ni mabeki wa Ajax. Huyo wa lugha chafu hakuwepo wala hakuna aliyepewa red card kwa lugha chafu
 
young gun

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2016
Messages
268
Points
500

young gun

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2016
268 500
Kwangu hii ndiyo game ilikuwa nzuri sana kwangu kuitazama team zote zilicheza open football. Jambo lililovutia zaidi ni comeback ya Chelsea from kufungwa 4 kwa 1 mpaka kuwa 4 kwa 4.

First half analysis

First half Ajax walitumia vizuri makosa ya mabeki wa Chelsea ikasababisha Abraham kujifunga pamoja na kepa Ajax walipiga shoot on target 1 tu lakini wakifika goalini kwa Chelsea wanakuwa na madhara.

Second half analysis

Kipindi cha pili Chelsea walikuja juu sana na kulishambulia goal la Ajax kwa fujo sana mpaka wakapata goal la 2, hapa ndiyo wakazidi kuwachanganya Ajax na pressure ya mchezo kuwa kubwa kwa Ajax, kitu kilichopelekea kufanya makosa matatu kwenye reaction 1; la kwanza, left back wao kucheza rafu mara mbili, moja nikumchezea rafu Pulisic na akamchezea pia Abraham wakiwa Chelsea wanaenda kuishambulia goal la Ajax. Wakati huu beki wa kati wa Ajax akashika mpira unaoelekea golini ndani ya box na kusabisha Chelsea wapate penalty na ikapigwa kiufundi na Jorginho, huku yule left back akipewa kadi ya njano ya pili na kuwa na red card, na kuna mchezaji mwingine wa Ajax hapo hapo akala red card baada ya kutoa lugha chafu kwa maamuzi.

Chelsea wakazidi kuishambulia goal la Ajax wakapata goal la nne kupitia kijana mdogo James na likawa la 4 lakini pia kuna magoal mawili ya Chelsea yalikataliwa. Kosa kubwa waliofanya Ajax baada ya kushinda goal nne hawaku-defense, na ndiyo iliyopelekea Chelsea kurudisha, na wangefungwa magoal mengi Sana ajax.
bila zile red card tulikuwa tunahesabu goli 6 au hukuangalia mpira mkuu ulisimuliwa?
 
lembu

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2009
Messages
3,506
Points
2,000

lembu

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2009
3,506 2,000
bila zile red card tulikuwa tunahesabu goli 6 au hukuangalia mpira mkuu ulisimuliwa?
Chelsea walikuwa kwenye mashambulizi ya nguvu ya kurudisha mabao na ndio ikazaa red card, wewe labda ndie hukuangalia mpira. Hao Ajax walizidiwa kwenye hizo attack wakaamua kuzalisha fouls tatu kwenye movement moja
 
young gun

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2016
Messages
268
Points
500

young gun

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2016
268 500
Chelsea walikuwa kwenye mashambulizi ya nguvu ya kurudisha mabao na ndio ikazaa red card, wewe labda ndie hukuangalia mpira. Hao Ajax walizidiwa kwenye hizo attack wakaamua kuzalisha fouls tatu kwenye movement moja
Timu kushambuliana ni kawaida tena hushambuliana kwa zamu ila ilikuwa wazi kila shambulizi la ajax likikuwa hatari kuliko la chelsea
 
Papi Chulo

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Messages
3,957
Points
2,000

Papi Chulo

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2018
3,957 2,000
Red card ni sehemu ya mchezo wa mpira,sisi wadau wa soka tuliobobea red card si kisingizio cha kupoteza mechi....halafu hata ukiifuatili Ajax ni timu ambayo inakaba kwa nguvu sana ikipoteza mpira wao wanataka muda wote mpira wawe nao wao,hivyo matumizi ya nguvu kwenye ukabaji hupelekea wao kupata kadi nyingi za njano,mfano mzuri msimu uliopita Ajax wanaenda kucheza nusu fainali na spurs tayari kikosi chao cha kwanza kina wachezaji karibia 7 wenye kadi za njano
 
lembu

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2009
Messages
3,506
Points
2,000

lembu

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2009
3,506 2,000
Bila kadi nyeekundu zile 2 msingerudisha hizo goli 4
Ndugu magoli miwili yalisharudishwa kabla ya red card, yalibaki mbili tu. Chelsea ilishaanza mashambulizi ya kurudisha mabao jamaa wakatumia misuli mingi kukaba na ikawakuta iliyowakuta na ndio sehemu ya mpira. Baada ya red card kurudisha goli mbili ilikuwa ni quiz ndogo hata wasingepewa red Chelsea Chelksea ingerudisha tu, na ndio maana wahenga walishasema mpira dakika 90
 
Forum statistics

Threads 1,378,854
Members 525,222
Posts 33,726,786
Top