Sema wa mama hawa wakati mwingine hawatabiriki,kuna wengine sio watata,ila kuna ambao ni pasua kichwa,akiingia kwenye familia lazima aanzishe utata,na ni afadhali kama huyo mwanamke hana watoto kidogo inakuwa na nafuu lakini akija na watoto wake tegemea balaa tu...