Sasa mbona kakimbia?Kamanda Godbless Lema. Namnukuu " ni dhambi kubwa sana kuwa muoga".
Aliulizwa swali hili kwenye mahojiano kwa njia ya mtandao wa Zoom na kituo fulani cha TV akajibu kuwa "ujasiri siyo kuwa mpumbavu. Unaona adui kakushikia bunduki eti unamuangalia tu kisa ni jasiri. Akasema hata Yesu pamoja na umungu wake alikimbilia Misri"Sasa mbona kakimbia?
Sasa uwoga ni nini?Aliulizwa swali hili kwenye mahojiano kwa njia ya mtandao wa Zoom na kituo fulani cha TV akajibu kuwa "ujasiri siyo kuwa mpumbavu. Unaona adui kakushikia bunduki eti u amuangalia tu kisa ni jasiri. Akasema hata Yesu pamoja na umungu wake alikimbilia Misri"
Halafu ndio mnataka tuwape nchi[emoji23][emoji23][emoji23]dunia ina vibweka vya kila aina,huu ulioandika apa ndio upupu wa aina gan?Umekosea kumfananisha Nabii wa Mungu Godbless na hao wengine ambao ni binadamu wa kawaida .
Mtume na Nabii Lema amekwishatabiri vifo na mikasa kadhaa nchini Tanzania na unabii wake umetimia bila shaka , huyu siyo binadamu wa kawaida , ni Mtume wa Mungu
Ok basi tumuite jasiri muogaAliulizwa swali hili kwenye mahojiano kwa njia ya mtandao wa Zoom na kituo fulani cha TV akajibu kuwa "ujasiri siyo kuwa mpumbavu. Unaona adui kakushikia bunduki eti u amuangalia tu kisa ni jasiri. Akasema hata Yesu pamoja na umungu wake alikimbilia Misri"
Sio lema tu chadema ina vichwa sana. Hata JPM aliacha kuteua machawa akawapa nafasi akina Mashinji, Kafulila, Mollel, Katambi n.k hakuwa mjinga.Habari ndugu wanajamii forums
Nimekuwa nikifuatilia siasa za Tanzania na Afrika kwa muda mrefu takribani miaka 20.
Kinachonifurahisha kwa mwanasiasa yoyote ni uwezo wa kujenga hoja. Ukiangalia wanasiasa wengi hapa TZ kuanzia mwalimu Nyerere na uwezo wao wa kujenga hoja utaona ni kama mtu anayeangalia vipaji vya akina Ronaldo na Messi.
Kwa hapa TZ tumekuwa na wanasiasa Nguli wenye uwezo na ushawishi wa kujenga hoja. Mifano ya wanasiasa wa hivi karibuni kama Freeman Mbowe, Ibrahimu Lipumba, James Mbatia, Tundu Lisu, Sugu, Peter Msigwa, Wilbroad Slaa, John Heche, Zito Kabwe na wengine wengi bado utaona GOD BLESS JONATHAN LEMA anawazidi mbali saaana ukimuondoa Baba wa taifa la Tanzania mwalimu Nyerere.
Kwa ufupi huyu kijana ana sawa na akina Ronaldo na Messi na kiukweli baba yake mzazi atakuwa anamshukuru Mwenyezi Mungu kuzaa mtoto wa hivi.
Maendeleo hayana CHAMA.
Uwoga ni kushindwa kuzisimamia na kuzipigania haki zako mahala salamaSasa uwoga ni nini?
swadaktaAliulizwa swali hili kwenye mahojiano kwa njia ya mtandao wa Zoom na kituo fulani cha TV akajibu kuwa "ujasiri siyo kuwa mpumbavu. Unaona adui kakushikia bunduki eti u amuangalia tu kisa ni jasiri. Akasema hata Yesu pamoja na umungu wake alikimbilia Misri"
Acha wivu Lema ni level nyingine. Kamq hutaki kunywa sumuHalafu ndio mnataka tuwape nchi[emoji23][emoji23][emoji23]dunia ina vibweka vya kila aina,huu ulioandika apa ndio upupu wa aina gan?
Kama kawaida yako Bwana Deo Sanga🤣🤣Ameolewa Canada
Nilidhani utanitaka nithibitishe unabii wakeHalafu ndio mnataka tuwape nchi[emoji23][emoji23][emoji23]dunia ina vibweka vya kila aina,huu ulioandika apa ndio upupu wa aina gan?
Mtumishi wa Mungu Lema Mungu ambariki sanaUmekosea kumfananisha Nabii wa Mungu Godbless na hao wengine ambao ni binadamu wa kawaida .
Mtume na Nabii Lema amekwishatabiri vifo na mikasa kadhaa nchini Tanzania na unabii wake umetimia bila shaka , huyu siyo binadamu wa kawaida , ni Mtume wa Mungu
Hahaha usije ukamliza machozi ndugu ishia hapo hapoNilidhani utanitaka nithibitishe unabii wake
AmenMtumishi wa Mungu Lema Mungu ambariki sana
Nadhani hapo Chadema Mchungaji Msigwa, Heche na Sugu ndio wenye ujasiri ( siyo waoga)Uwoga ni kushindwa kuzisimamia na kuzipigania haki zako mahala salama