Maoni yangu kuhusu Meru Residential Appartments

Hiyo bei wanaoweza kukopa mortgage loan. Lazime uwe na mshara kama wa milioni 6. Kwa mwezi
Siasa ya nchi yetu na wizara ya fedha haijali kuhusu wages. Mishahara inazidi kushuka badala ya kipanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Pesa nanunua nyumba cash tena hapa Texas ambayo ina vyumba vinne, kwenye community nzuri, barabara ya lami, swimming pool kwenye community, na American standard lkama AC n.k. Tanzania mnaibiwa sana wa hawa jamaa!!
Mwisho wa kuibiwa umefika
 
Hongera JPM kwa kukisikia kilio cha wanyonge na hatimaye unaenda kuliondoa hili jinamizi baya.
 
Back
Top Bottom