Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Kama last year hivi mwanzoni niliingia ulimwengu wa mobile app baada ya kuwa kwenye web kwa kipindi kirefu. Sikuwahi kufanya Vibe coding hapo nyuma(programming kwa kutumia AI) kutokana na hizi program kutoa bugs nyingi kipindi cha nyuma, so muda mwingi unautumia kufix code baadala ya kutengeneza feature mpya.
Google walivyozindua Antigravity nikaamua ni wakati wa kujaribu na kutoa maoni.
Nimechukua idea simple tu, kuona kama Antigravity inaweza toa matokeo mazuri. Ni app inayomuwezesha mtumiaji kutrack sessions zake za mazoezi kama kutembea, kukimbia, yoga n.k. Anaambatanisha duration ya session, intensity na mood. Akikamilisha session atatumiwa push notification. Pia anaweza cheki sessions alizofanya ndani ya kipindi cha wiki.
Note lengo ni kucheki usahihi wa AI kuweza kukamilisha idea inayohitaji multi step implementation, sio kuweka paywals na kulaunch App Store(japo inawezekana kabisa).
Steps nilizofanya:
1. Nimetengeza project mpya Xcode(platform ya kutengeneza applications za Apple)
2. Nikafungua folder lenye project kwenye Antigravity.
3. Nikaenda na default model, Gemini 3 Pro (High), kisha nikaandika description ya app sehemu ya kuandika prompt
Strength nilizoziona:
1. Antigravity ina uwezo wa kuscan project vizuri na kufahamu ianzie wapi kulingana na prompt uliyoandika.
2. Inaweza kutengeneza files vizuri kulingana na separation ya logic. Mfano files zinazohusiana na models, viewmodels, views, services, networking hutengwa tofauti.
3. Inaweza kurekebisha error ilizofanya kwa usahihi.
Mapungufu niliyoyaona:
1. Ipo vizuri kwenye kutengeneza files kulingana na logic, ila Antigravity haitengenezi folders. Inalundika files zote kwenye root directory. Hii inaweza kuwa ishu kadiri project inavyozidi kukua. So hapa cha kufanya ni kutengeneza folders kulingana na logic yenyewe kama models, viewmodels etc then kuipa direction itengeze hayo files humo.
2. Inapiga UI vizuri ila kuna some advanced UI patterns inapotea kidogo. Njia nzuri hapa ni kuwa na at least idea kidogo ya hizo patterns, hapo mtashirikiana vizuri.
Maoni:
Japo nimetumia idea simple isiyohitaji external servers ila kuna maoni nimeyapata.
1. Kama una idea nzuri ya kutengeneza mobile applications basi Antigravity au AI kwa ujumla ni bonge la kitu. Utaanza project ukiwa na roadmap yote, eg unahitaji views hizi, viewmodel iwe hivi, au kama unahitaji kutumia kucache data kwa SwiftData etc. Unakuwa kama unamuongoza farasi na akikosea njia basi unamuonyesha uelekeo wa kufuata.
2. Kwa beginner, bado ni bonge la kitu pia. Kama project ni ndogo, unaweza vibe code from scratch. Kama itahitaji vitu vingi zaidi, unaweza kuingia online ukasoma some concepts kisha ukaendelea na safari.
3. Kama una idea nyingi tayari, unaweza implement kwa kipindi kifupi sana. Ukiongeza na fact kwamba iOS users wanaspend zaidi kwenye subscriptions, niche apps kumi App Store zinaweza kukupa hata 1000 usd MRR ndani muda fulani. Sio rahisi ila ukifanya execution vizuri inawezekana.
Kwa upande wangu nimetumia masaa mawili