masanzu
JF-Expert Member
- May 6, 2013
- 605
- 216
Hivi unahitaji ustaarabu gani ukiambiwa usifanye hivi na wewe unaendelea tu jeshini hakunaga lugha za king siasa lugha za kijeshi ni Amri pisha pisha toka utoke ondoka uondoke kweli chuchumaa uchuchumae kweliungetusaidia tufahamu taratibu za kiusalama kama umenikuta ndani ya chumba cha Atm nachukua pesa kisha unatoa amri bila maelekezo ya kistaarabu kwa kuwa ww ni polisi nami ni jwtz au ni raia tu nitakuelewaje?tujaribu kuwa na kauli nzuri kwa raia hata ikibidi kutoa maelekezo kistaarbu na kuacha tabia za kibabe zisizokuwa na tija