Maoni yangu juu ya tukio la Askari Polisi dhidi ya Mwanajeshi katika benki fulani jijini Dar es Salaam

ungetusaidia tufahamu taratibu za kiusalama kama umenikuta ndani ya chumba cha Atm nachukua pesa kisha unatoa amri bila maelekezo ya kistaarabu kwa kuwa ww ni polisi nami ni jwtz au ni raia tu nitakuelewaje?tujaribu kuwa na kauli nzuri kwa raia hata ikibidi kutoa maelekezo kistaarbu na kuacha tabia za kibabe zisizokuwa na tija
Hivi unahitaji ustaarabu gani ukiambiwa usifanye hivi na wewe unaendelea tu jeshini hakunaga lugha za king siasa lugha za kijeshi ni Amri pisha pisha toka utoke ondoka uondoke kweli chuchumaa uchuchumae kweli
 
Umeendeshwa na mihemko ya hariya juuu kwa kuchagua upande. kifupi tu askali wetu tatizo pia.
Kitendo cha kumonyeshea silaa asiye na silaa Udhaifu wa hari ya juu. Katika vikosi vyetu vya ulinzi na usalama kikosi kinacho ongoza kwa dharau ni jeshi la polisi[/QUOT
 
Nilifikiri bunduki iliyotumika kupiga risasi ilomwua Akwelina ndo pekee inayobeba risasi zinazokata kona,kama free kicks za Beckam,banana chop
 
Idara ya Uhamiaji
Idara ya Polisi
Idara ya Zima moto
Idara ya Nagereza

Jeshi(Army) ni moja tuu(JWTZ) likiwa na kamandi zake 4
Navy
Air Force
Land Force
JKT
SURA YA TISA YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAJESHI YA ULINZI
Marufuku kuunda majeshi ya Ulinzi yasiyo majeshi ya ulinzi ya Umma Sheria ya 1984 Na.15 ib.49 Sheria ya 1992 Na.4 ib.36 147.-
(1) Ni marufuku kwa mtu yoyote au shirika lolote au kikundi chochote cha watu, isipokuwa Serikali kuunda au kuweka Tanzania jeshi la aina yoyote.

(2) Serikali ya Jamhuri ya Muungano yaweza, kwa mujibu wa sheria, kuunda na kuweka Tanzania majeshi ya aina mbalimbali kwa ajili ya ulinzi na usalama wa nchi na wananchi wa Tanzania.
(3) Itakuwa ni marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na chama chohote cha siasa, isipokuwa tu kama atakuwa na haki ya kupiga kura iliyotajwa katika ibara ya 5 ya Katiba hii.

(4) Kwa madhumuni ya ibara hii, "mwanajeshi" maana yake ni askari aliyeajiriwa kwa masharti ya muda au ya kudumu katika Jeshi la Ulinzi, Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza au Jeshi la Kujenga Taifa.
 
Nakumbuka miaka mitatu nyuma nilikua ATM flan ya NMB mtwara, nilipojarib kutoa pesa hazikutoka maana zilikua zimeisha. Nikaingia ndan nikawaambia.. then nikarud palepale kwenye ATM. akatoka mfanyakazi wa benki na askari wawili wakiwa na bunduki zao, bila kuniambia kitu wakapita nyuma yangu wakazunguka wakaweka ela, nikatoa nkaondoka zangu.
Kwahyo hawa askari wanatofautiana
 
SURA YA TISA YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAJESHI YA ULINZI
Marufuku kuunda majeshi ya Ulinzi yasiyo majeshi ya ulinzi ya Umma Sheria ya 1984 Na.15 ib.49 Sheria ya 1992 Na.4 ib.36 147.-
(1) Ni marufuku kwa mtu yoyote au shirika lolote au kikundi chochote cha watu, isipokuwa Serikali kuunda au kuweka Tanzania jeshi la aina yoyote.

(2) Serikali ya Jamhuri ya Muungano yaweza, kwa mujibu wa sheria, kuunda na kuweka Tanzania majeshi ya aina mbalimbali kwa ajili ya ulinzi na usalama wa nchi na wananchi wa Tanzania.
(3) Itakuwa ni marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na chama chohote cha siasa, isipokuwa tu kama atakuwa na haki ya kupiga kura iliyotajwa katika ibara ya 5 ya Katiba hii.

(4) Kwa madhumuni ya ibara hii, "mwanajeshi" maana yake ni askari aliyeajiriwa kwa masharti ya muda au ya kudumu katika Jeshi la Ulinzi, Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza au Jeshi la Kujenga Taifa.
Wavivu kusoma,anaamini jeshi ni Jwtz tu Tanzania.
 
Br huwaga nakukubali sana we ndio mjeda unae jitambua haupo kishabiki
 
soma financial order part three.hata mhasibu wa jeshi alichukua bulk money kutoka au kupeleka benk anatakiwa achukue police escort.
 
tokeapo mjeda ni kudume na huo ndo uhalisia hawa Police wao hutanguliza Sifa mbele tu kwa kila secta kiujumla sio rafiki kabisa.
 
Natamani...mmoja kma hyo aje lindini kwangu leo hap kivukoni soko la Samaki njia imefungwa...alete ngebe dakika nampeleka kuzimu
 
Back
Top Bottom