Maoni yangu juu ya tukio la Askari Polisi dhidi ya Mwanajeshi katika benki fulani jijini Dar es Salaam

Kama kibiti walishindwa halafu iwe huko ughaibuni???
Ishu ya kibiti ili hitaji intelligency ya maana ndio maana ilichukua muda mkuu, huwa inawia muda mgumu sana kupigana na adui usie muona ambae anapiga kwa ambush ndio maana hata Congo tulipoteza wajomba km 14 hivi coz ya sudden attack ila najua intelligency ya jeshi ingekuwa imepata information tungewamaliza wale washenzi.so ishu ya kibiti sio kwamba polisi ilishindwa.
 
Huko huko kibiti, baada ya hiyo intelijensia kufanya kazi hadi kutambua tatizo. Mbona hao polisi hawakufika kule jamaa walikokuwa wamejenga ngome yao? Lao ilikuwa ni kutangaza waliokuwa wanakamatwa au kuuawa tu
 
Ishu ya kibiti ili hitaji intelligency ya maana ndio maana ilichukua muda mkuu, huwa inawia muda mgumu sana kupigana na adui usie muona ambae anapiga kwa ambush ndio maana hata Congo tulipoteza wajomba km 14 hivi coz ya sudden attack ila najua intelligency ya jeshi ingekuwa imepata information tungewamaliza wale washenzi.so ishu ya kibiti sio kwamba polisi ilishindwa.
Pamoja sana mkuu kamanda polo
 
Kijeshi kushoot ni mpaka upewe Oda, sasa hua najiuliza sana upande wa hawa polisi wetu , ukirefer ishu ya Malima kuna jamaa alipiga risasi kibao hewani kwa kujiamlia tu.
Hujajua tu kwann kapiga risas hewani
Pale kwa malima na hakupiga kwa ajil ya malima wale watu waloliokuwa wanamfuata baada kuondoka kuachana na malima katika lile kundi huwez jua nan mbaya zaid kwako lazima uwashtue kidogo upate usalama zaid angewaaacha wangempola silaha. Mngesema MZEMBE nyinyi watanzania mungu anawaona kwakuwa TUMBILI
 
Angepiga moja hadi tatu, sasa kwanini afyatue risasi zaidi ya 10, kwa wenye akilina wanokuwa wanataka kufanya uhalifu lile ni tatizo maana kuna wanaojua risasi zinakaa ngapi, je huona kama ni hatari zaido pale atakapoishiwa na risasi na watu kumvamia?
 
Elimu ndogo ya askari wetu ndio chanzo cha matatizo. Wanatumia ushabiki zaidi

Juzi nimeingia atm na miwani wameniambia nivue nikawauliza miwani inaweza kuiba pesa? Miwani sio chombo cha hatarishi. Askari ni watu wa kuwadharau sana.
 
Back
Top Bottom