Maoni yangu binafsi juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea duniani

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
On this thread, I shall be sharing my personal views on a number of issues that includes politics, religion, sports, language skills, motivational words among others.

My aim is to avoid multiplicities of threads and responding to criticism that threads must attempt to interrogate the main topic.

KISWAHILI
Hapa nitaweka maoni yangu ya masuala mbalimbali yawe ya siasa, dini, biashara, michezo n.k

Ninatanguliza shukrani zangu.
 
Ninaamini

1697174735214.png
 
Nionavyo haya malalamiko yana msingi ya kuwa upo mtandao unaowahusisha watumishi wasio waaminifu wa TRA na wafanyabiashara kukwepa kodi.

Kama mzigo wa huyu mlalamikaji usingepata mushkeli wa ajali na hivyo bima kuhitajika kumfidia mwaathirika hapangekuwepo na barua ya wazi kwa Mheshimiwa Rais.

Majibu ya TRA hayaridhishi na makanusho yao yanalenga kufukia uozo uliomo humo.

Mlalamikaji sasa ana kiu ya kulipa kodi kwa sababu alikwepa kodi na analijua hilo na TRA wanalijua hilo na mtandao unaotukosesha mapato wanaujua sasa swali la kujiuliza kwanini hawachukui hatua ya kuuripoti kwenye vyombo husika?

Mlalamikaji anataka alipe kodi ya TSHS 400 Mill ili apate makabrasha halali akalipwe bima ya ajali.

Hasemi yuko tayari na kulipa faini kwa sababu bima haitamfidia faini.

Huo ndiyo ukweli wake
 
Attachments

  • PSX_20231012_192814.jpg
    PSX_20231012_192814.jpg
    224.9 KB · Views: 66
Nionavyo haya malalamiko yana msingi ya kuwa upo mtandao unaowahusisha watumishi wasio waaminifu wa TRA na wafanyabiashara kukwepa kodi.

Kama mzigo wa huyu mlalamikaji usingepata mushkeli wa ajali na hivyo bima kuhitajika kumfidia mwaathirika hapangekuwepo na barua ya wazi kwa Mheshimiwa Rais.

Majibu ya TRA hayaridhishi na makanusho yao yanalenga kufukia uozo uliomo humo.

Mlalamikaji sasa ana kiu ya kulipa kodi kwa sababu alikwepa kodi na analijua hilo na TRA wanalijua hilo na mtandao unaotukosesha mapato wanaujua sasa swali la kujiuliza kwanini hawachukui hatua ya kuuripoti kwenye vyombo husika?

Mlalamikaji anataka alipe kodi ya TSHS 400 Mill ili apate makabrasha halali akalipwe bima ya ajali.

Hasemi yuko tayari na kulipa faini kwa sababu bima haitamfidia faini.

Huo ndiyo ukweli wake
Hapa utaeleweka na waliosoma na wasio soma. Kiswahili ni lugha yetu.tuipende...
 
Hivyo, msidharau maoni na muendelee kuhimiza huu ushauri wa bwerere mtafika mbali lakini mkiukataa mjue hamuendi mbali
Naomba kuuliza hivi... hivi walitumia kigezo gani kusema kipato cha chini mishahara iwe 400000 kwenye makampuni ikiwa hiyo 4k ni posho kwa mfanyakazi mwenzio? yaani total mm mshahara 5k mwenzangu analipwa us$1700 kwa mwezi na posho ya 5k hii kwangu ni uonevu kwa wazawa sijaipenda kabisa .ukiangalia mzawa ndiye anayefanya kazi kubwa
 
Tatizo kubwa la kujitakia kwenye sera ya wawekezaji imeleta ubaguzi. Ilipaswa iweke wazi ulipaji wa mishahara na posho usiwapunje raia wa nchi hii na atakayekiuka atashitakiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi.

Haya hayafanyiki kwa sababu wenye dhamana ya uongozi wako kimasilahi zaidi
 
Back
Top Bottom