Maoni yako tafadhali!

ZENITH

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
1,064
Reaction score
991
Binafsi naamini hakuna kama KMPLAYER katika media players ninazozifahamu. Swali :je kuna player nyingine nzuri zaidi kuliko KMPLAYER?Just curious to know if i'm using the best.
 
Binafsi naamini hakuna kama KMPLAYER katika media players ninazozifahamu. Swali :je kuna player nyingine nzuri zaidi kuliko KMPLAYER?Just curious to know if i'm using the best.
mkuu kwa maoni yangu naomba usimamie hapo kwenye kmplayer, mi ndo nimekuwa nikitumia muda wote na ninaamini hakuna player inayoweza kupita kmplayer
 
Upo closed mind so we endelea na hayo unayoamin

hayupo closed minded but he is ruled by his own feeling ni sawa na chief mkwawa umwambie nokia huipendi wakati mwenzako anatamani siku moja awedeveloper wao..
 
mkuu tayari ushaeka wazo kua kmplayer ndio best basi hata ukielimishwa sijui kama utaelewa.

vlc ni best codec wise wanasuport karibia codec zote hata ukikutana na video lina format za ajabu ajabu inacheza.

km-player wao sawa zinaplay video za 3d ila vlc pia inacheza japo kuna process ufate.

windows media player wao ni king wa kuplay video za high quality kwa kutumia resource kidogo.

mfano pc yangu ni 1300x768 ndio kioo chake hiki ni kioo cha 720p inakua ngumu kuhandle video ya 1080p nikiplay na vlc au km lazima video iscratch mpaka nitumie wmp

ila kwa basics tu vlc mkali
 

tuko pamoja vlc ni bingwa
 
tuko pamoja vlc ni bingwa

amna bwana kmp kali. vlc ukija kwenye swala la dvd kuna baadhi ya dvd inafupisha mno picha halafu kmp ukiwa unaangalia muvi ukipitwa sehemu rahisi sana kurudisha unaminya tu mshale inarudi. vlc sawa ni nzuri lakini haifikii kmp. nasema hivi kwa sababu zote ninazo na ninazitumia
 
Tatizo watu wanadai nipo close minded,mimi nina newest versions za kmp na VLC but kmp compared to VLC bado naona KMP wako juu,shida nilitaka kujua kama kuna player nyingine better than KMP?,achana na vlc.
 

Now thats how a tech guy speaks, siyo unaanzisha ubishi tu bila hoja ya maana kama ZENITH
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…