Maoni ya Nassari kuhusu nchi kujitegemea

Maoni ya Nassari kuhusu nchi kujitegemea

Kila mtu ana uhuru
Wakutoa Maoni yake

Na kila utakapo sikia Maoni ya watu kwasasa
Wapo wanao ona kama MCC ndio kimbilio lao la hoja
Kisiasa ,
Apo awali walipotea kabisa
Masikini weeee motochini ndio basi tena
 
ARVs tu tunapewa bure kwa hisani ya watu wa Marekani..Chanjo za watoto wetu ni buree Hivi serikali ipo siriasi au inatania..Kuna sehemu misaada ikisitishwa watu wakaanza kufa km kuku ndo tutajua bado hatujaweza simama.....Ngoja waondoe uufadhili wao kwenye Madawa na Chanjo....
 
TUNA UWEZO WA KUJITEGEMEA LAKINI SI SASA.

Uamuzi wa M.C.C umeleta kelele nyingi sana mitandaoni na vijiweni.Ni kelele kwa sababu mihemko inayotokana na itikadi za kisiasa na mahaba ya wanachama imetawala kuliko hoja.

TUPO TAYARI KUJITEGEMEA?

Nchi kujitegemea sio jambo LA kulala na kuamka.Hatuwezi kujitgemea bila kujiandaa kujitegmea.

FIKRA NA UTAMADUNI TEGEMEZI

Tunaimba kujitegemea huku tunapaka "mkorogo" usoni? Unaimba kujitegemea na wigi kichwani hizi fikra za "weupe ni uzuri" ni ushahidi mwingine kwamba BADO HATUKUJIANDAA KUJITEGEMEA.

VIWANDA VYETU!

Tulipopata Uhuru viwanda vyetu vilikua vikichangia 3.5% la pato la taifa(G.D.P) huku vikitoa 9% ya ajira zote za wakati huo.

Miaka 37 baadae (2008) viwanda hivi vinatoa chini ya 20% ya ajira zote zinazopatikana nchini.

Viwanda ni Eneo muhimu na kubwa lenye kutoa ajira
Kwa Nchi "inayowaza" kujietegeme.KWA kiwango hiki cha ajira ni wazi HATUNA VIWANDA VYENYE UWEZO WA KTUFANYA TUJITEGEME.Kusema tupo
tupo tayri kujitgemea ni kujidanganya.

Nchi inayoshindwa hata kufanya sensa ya viwanda haiwezi kua ni nchi inayoamini kwenye viwanda.Tangu tupate huru sensa ya viwanda imwfanyika Mara 4 tu.
Mwaka 1961,1978,1989 na baada ya miaka 24(ilitarajiwa ifanyike 2015 sina uhakika kama imefanyika).Utafanyaje sensa wakati una viwanda ambavyo unaweza kutumia "bodaboda" kuzunguka na ukavimaliza vyote kuvihesabu?

TUNA AKIBA YA PESA YA KUTOSHA?

Tamko la Sera ya fedha lililotolewa na benk kuu(B.O.T) June 2015 linasema mpak mwezi april 2015 tulikua na akiba ya fedha za kigeni dola za kimarekani million 4.043 ambazo zinatosha kuagiza bidhaa na huduma toka nje kwa miez 3.9(robo ya mwaka ni miezi 4..haijafika)

Lakini deni la taifa (mpaka april 2015)ni dola za kimarekani million 14,762.7( Zaidi ya Mara 3 ya akiba Yetu)

Nchi kudaiwa ni kawaida lakini unapokua na deni kubwa kuliko uwezo WA kilipwa kwenye deni lenye riba tegemea kukua KWA deni hilo kutokana na malimbikizo ya riba.Hizi sio dalili za Nchi iliyotayari kujtegemea.

TUTAJITEGEMEA NA AFYA MBOVU?

hatuna viwanda vya kutoa ajira lakini hatuna afya murua ya kujiajili sisi wenyewe.Afya mbovu husababisha hupotevu wa nguvu kazi ya taifa kutokana na vifo.NI kuanzia huduma za afya mahospitalinj mpka mazingira ya kiafya ya MTU mmoja mmoja

NI hapa kwetu inakadiriwa Zaidi ya wakina mama wajawazito 7.900 sawa na vifo 22 kila siku (Gazeti la mwanchi 1/23/2015)

Jumla ya watoto 40,000 wenye umri chini ya mwezi mmoja hufa na TANZANIA ni Nchi ya 11 duniani miongoni mwa Nchi zinazoongoza KWA vifo vya watoto(UNICEF 17/Nov/2014)

Jumla ya watoto 600,000 wenye umri chini ya miaka 5 wanakisiwa kufariki KWA kipindi cha miaka kumi iliyopita kutokana na ugonjwa WA UTAPIAMLO.

Idadi ya vifo hapo juu unaweza kulinganisha na idadi ya watu waliokufa Rwanda kwenye mauaji ya kimbari mwaka 1994.Hii ni sababu nyingine inayoifanya TANZANIA iwe miongoni mwa Nchi zinazoongoza DUNIANI kua na watu wenye huzuni(Msiba haufurahishi).Idadi hii kubwa ya vifo ni sababu nyingine inayothibisha HUU SI WAKATI WETU KUANZA KUJITEGEMEA.Mgonjwa hana uwezo WA kujitegemea.

Kuna taarifa juzi serikali imepokea billion 116 za Japan za nini sasa kama tupo tayari KUJITEGEMEA.

AFRIKA!!AFRIKA,,TUACHE UWONGO

Kuwaamini viongozi WA kiafrika yataka moyo.NI sawa sawa na kumuamini dakatari akutibu wakati mkewe ni muuza majeneza.

Wengi wanajua "kuigiza " sisi inapopanda bei ya mchele,sukari,kodi za nyumba tunaoumia ni sisi tunaovaa kofia na khanga za chama (nguvu zaidi na kasi zaidi,hapa kazi tu)tulizopewa wakati wa uchaguzi

Kuna taarifa juzi serikali imepokea billion 116 za Japan za nini sasa kama tupo tayari KUJITEGEMEA.

Bajet Yetu mwaka wa fedha uliopita ilikua trillion 22.Wengi tunapata matumaini ya kwamba tupo tayari kujitegemea kwakua T.R.A wametuambia mwez February walikusanya triliom 1.4(izidishe Mara 12 ).inakuja trillion 22+ ..? Amin mafanikio haya ya T.R.A yaliletwa na upya WA serikali na hofu tu na si mfumo Mpya WA ukusanyaji kodi.

Kuwaamini viongozi WA kiafrika yataka moyo.NI sawa sawa na kumuamini dakatari akutibu wakati mkewe ni muuza majeneza.

Wakati wanasema tupo tayari kujitegemea bado elimu yetu inatoa wasomi legelege, bado maji safi ni shida,umeme haujawa wa uhakika,viwanda hatuna,usafiri WA reli WA kubahatisha ,wagonjwa wanalala chini.

Tujitegemee sasa kwa kilimo hiki cha minjingu?na umeme huu usio na uhakika?NA barabara hizihizi za "shukeni tuvuke kwanza?" acheni utani nchi kujitegemea si sawa NA NDOA YA MKEKA

TUPO TAYARI KUJITEGEMEA BILA MAJI?

Kwa mujibu WA utafiti uliofanya na TWAWEZA mpka mwaka juzi 2014 ni asilimia 53% tu ya WATANZANIA wanoishi mjini wenye uwezo WA kupata maji safi na Salama huku kijijini ni asilimia 44% wenye uwezo.Kama bado maji ni changamoto tusidanganyane kuhusu KUJITEGEMEA KWA sasa

Hatuwezi KUJITEGEMEA muda huu kama bado hatujarekebisha sheria zetu zinazoruhusu 2.3% ya pato la serikali kupotea kupitia misamaha ya kodi.Kwa mwaka 2009/2010 peke yake serikali ilikosa shilingi billion 695 zilizotolewa kama misamaha ya kodi.

Tukiri TULIIBAKA DEMOKRASIA ZANZIBAR kuliko kutunisha kujiliwaza na mashairi ya sungura"SIZITAKI MBICHI HIZI"Ingelikua tupo tayri tungejitoa wenyewe kabla ya "kufukuzwa"

Source:Joss Nassari facebook page
CCM HAWAFAI
 
Kwa hiyo? Solution ni ipi sasa?
 
Nchi inaweza kujitegemea bila ya kusubiri vitu vingine. Jiulize Rais wa Vietnam amempa siri au mbinu gani za kujitegemea wakati alipofanya ziara hapa Tanzania. Kumbuka Vietnam ilipigwa sana na Marekani hadi nchi yao ikawa nyang'anyang'a, lakini leo hii nchi hiyo inajitegemea kwa kiasi kikubwa. Rwanda imepitia misukusuko mingi lakini nayo ipo mbioni kujitegemea. Kama hiyo haitoshi, Uganda ambayo tulipigana nayo na wazungu kuinyima misaada kwasababu ya kupinga Ushoga lakini haijatetereka na hivi sasa tunagombania bomba lao la mafuta kati ya nchi mbili.
 
Magufuli yuko katika mchakato wa kulifanya Gari aina ya Tanzania lianze kutembea, ameanza kuziba tairi za gari ambazo zote zilikuwa na pancha, baada ya kuziba pancha ameanza kufunga tairi za mbele ya kulia na kushoto, baadae atamalizia na tairi mbili za nyuma.baada ya hapo gari Tanzania litaanza mwendo kuelekea mitaa inayoitwa mafanikio, maisha bora, elimu bora hadi kufika mji mkuu unaitwa TANZANIA NCHI WAHISANI
 
ARVs tu tunapewa bure kwa hisani ya watu wa Marekani..Chanjo za watoto wetu ni buree Hivi serikali ipo siriasi au inatania..Kuna sehemu misaada ikisitishwa watu wakaanza kufa km kuku ndo tutajua bado hatujaweza simama.....Ngoja waondoe uufadhili wao kwenye Madawa na Chanjo....

..na hao masikini ndiyo HUMAN SHIELD ya kuendelea kuomba-omba.

..itafika wakati wana propaganda wa serikali watasema nchi wafadhili, kwa kutukatia misaada, zinauwa wa-Tz wasio na hatia.
 
Asante sana kwa wapinzani kupata hoja ya kupinga walipotezwa sana ni vumbi tu wanaona sasa kila kitu wanamulika kwa tochi
 
million 14,762.7 mmbona hizi figure nikizi convert hazifiki Trillions in Tanzania shillings nawasiwasi na mtoa mada mama alifanya proof reading.
Dola millionaire 14,762.7 hebu convey thn utuambie inakuja ngapi
 
Alicho
Kwa maana hiyo uwezekano wa kujitegemea upo siyo?
Hapo bado mianya nyingine ya kukusanya Kodi!
Hapo bado kufyeka yale Mashangingi a.k.a Ma VX!
Hapo bado kupunguza Mishahara mpka 15milioni stop!
Hapo Bado kudili na Watumishi hewa!
Hapo bado kubada mianya ya Ukwepaji kodi Mandarini,Mipakani,Viwanja vya Ndege etc.
Kiuhalisia kujitegemea ni must ili tuweze kusonga mbele!

Lakini la kubada Demokrasia ni hatua haramu katika safari ya kuleta Maendeleo! Maendeleo huja kwa Familia inayoongea Lugha mmoja!. Kwa maana hiyo Demokrasia ya kuheshimu maamuzi ya Wapiga kura ni silaha mmojawapo ya Maendeleo.alichosema tunaweza ila sio sasa(hatukujiandaa) au kasema hakuna uwezekano kwenye mstari wowote
 
Dogo amekosa data updated manake 2008 au 2010 ni mbali sana na toka wakati huo mpaka sasa mabadiliko ni makubwa. Mfano wako wa TRA umesahau kuwa jamaa na matumizi kakata kinoma noma manake 1.4 trillion x 12 wakati inatosha kuliko 22 trillion zenu manake matumizi watu wamekata na sasa katolea macho mishahara yenu wabunge ili nanyi mpunguze.

Asilimia 53% kupata maji ni jambo la manufaa manake hakuna supplementary hapo mtu anaendelea lakini inamaanisha kwa muundo wa watz familia moja inajumuisha watu kibao hapo ni mafanikio. pia utuonyeshe hayo makaburi 600,000 ya watoto walikufa kwa utapia mlo!

Inamaana dogo kukaa mjengoni muda wote bado hajajua maana ya deni, na kujitegemea manake haina maana resources zingine unaazima kutoka nje. Its cheaper to borrow and investing on development projects, resources siku zote ni haba na hazitoshi kufanya kila jambo.

Lazima tuanze sasa kujitegemea hata kama hatukujiandaa basi tutatengeneza model yetu mpya duniani.
Bure kabisa baadae utataka na makaburi million ya waliokufa KWA ukimwi...Nchi yenye Bahati na maziwa na mito mikubwa 56% ya upatikanaji wa maji haiwezi KUA sehem ya mafanikio yake. NA wanaokaa jangwani wasemaje?
 
Tangu Broo Magu ukose fedha za MCC sikuchanigia lolote, ila ninataka leo niseme hivi,kupitia mjadara huu nimeona na kusoma mengi ila nimegundua kitu kimoja hatari kwa taifa nacho ni watu kutokuijua bchi yao na rasrimali walizo nazo na thamani ya rasirimali hzio kwa wakati tuliopo na ikiwezekana tutabili na wakati ujao, leo hii nikimuuliza mbunge wa moshi mjini au mchaga yoyoyte anae tokea moshi, aniambie thamani ya mrima kilimanjaro hakuna hata mmoja atajibu kwa kutokujua ilo huwezi jua kama unaweza jitegemea au la?
NASSARI unajua kama ulikuwa unapoteza more than 1. bilioni kira mwaka mishahara hewa?hujui mpka magu kabana ndo unajua, lakini niliulize NASSARI tanzanite ina thanmani gani sokoni, na unatabiri nini juu ya hiyo kitu miaka mitano ijayo ili uweze funga mkanda kwa miaka miwili au mitatu?

swali kwa wakuu wa mikoa, wabunge wote nchginbi na wakuu wa wilaya hiivi ni wangapi wanajua rasirimali zilizopo kwenye maeneo yao na zinathamani gani?BROO MAGU, hachana na hizi porojo tupo tayari kufunga mikanda wabunge omba omba hachabna nao kuna mijitu haiuji hata thamani ya mikoa inayoongoza ipo aserikali ? haifai itumbue kira mkuu wa mkoa atumie rasirmali aliyopewa kimkoa kuongoza mnkoa kuutoia kwenye janaga la njaa, inawezekana kira mkuu wa mkoa alime, kilimo ndo uti wa mgongo, kira mbunge awe na shamba darasa, kira mkuu wa wilya awe na shamba eka kumi inawezekana wabunge mnataka pesa za misaada za nini? limeni kauze mazao yenu, wananmtwa sokjo lipo wazi vietanm,wahaya kimeni kahawa, serikali perekenei dawa ya mnyauko uko, limeni ndizi tutauza haiwezekjani tunakuwa na mijitu onyo mivaa suti mda mwte amkeni watanzania tuijenge nchi yetu broooooooooooooooo magu kaza uzi hatutaki pesa za majini hizo, tulizipokea tukajenge abarabara kira siku miajari zimerahanika.
  • Umemaliza, hizi za akina Nassari porojo tena kwa sana.
 
Sioni kabisa alichokisema NASAARI , ni maswali maswali, mwisho anamalizia tukubali tulibaka Demokrasia Zanzibar, hili linahusiana vipi na maswali kibao aliouliza? Si angeaza na kuishia huko alikokuwa analenga kwenda? (Zanzibar)
 
Deni la taifa halipimwi kwa akiba uliyonayo..bali hulinganishwa na GDP (Debt/GDP Ratio)....,ambapo kwa tanzania ni Debt/GDP ipo 39 asilimia,mwaka 2013.Takwimu za benki ya dunia.Nassary unapotoka na kupotosha watu...nchi huitaji mikopo na biashara ili kuendelea na sio kuomba omba wewe kama mbunge umeonyesha uwezo mdogo kuamini kwamba nchi itakuza uchumi kwa kuomba omba zingatia yafuatayo;
1.Debt/GDP ratio ya nchi nyingi za ulaya na USni zaidi ya asilimia 100,yaani pato lao ni dogo kuliko madeni hii hali haikubaliki kiuchumi na hazina pesa za kusaidia hata kutukopesha...ndio maana kati ya nchi zote ni US pekee imetoa kisingizio cha demokrasia na cybercrime law,Ireland wamesema mkataba kuchangia bajeti uliisha tokea 2014 (bbc) na nchi nyingine haina pesa ...si kwa Tz tu misaada itapunguwa bali ni kwa nchi nyingi zinazoendelea na US imekopa pesa nyingi sana china,2015 kwani soko lake halikikukidhi kwa hiyo wataweka sababu nyingi sana ili kuficha aibu ya kutokuwa na hela.
2.Miaka ya karibuni US,EU nk hawakuwa wakitimiza ahadi zao,mara nyingi wametimiza chini ya asilimia 30..kwa sababu za mdororo wa kiuchumi huko kwao ambazo haziusiani na Tz,Hata makanisani kwa miongo miwili sasa misaada toka Vatikan,Italy,US etc imedorora.
3.Kama mbunge ujikite kwenye mawazo mbadala na sio kutowa taarabu za wigi,rangi..etc.
Tanzania hii inayotoa tohara kwa hisani ya watu wa Marekani??!!
Aibu!
 
Tanzania hii inayotoa tohara kwa hisani ya watu wa Marekani??!!
Aibu!

Kweli kabisa MALE CIRCUMCISION PROJECT, hii ni aibu ya mwaka, weka topic hapa JF wachangie, naomba nitumie subject hii kuanzisha uzi. aibuuuu.
 
Ujanja wa Nassary huwa anaikubali serikali iliyoko madarakani bila kujali itikadi ya chama ili akipeleka matatizo ya wananchi wake asikilizwe ningemshauri Lema, aige kutoka kwa Nassary ndio tujue amewiva kisiasa,,,,,
mi mwenyewe nasari huwa namkubar andiko lake lazima nilirudie mara mbili ili npate point naamini hatumii mihemko kuandika
 
Back
Top Bottom