Maoni ya Nassari kuhusu nchi kujitegemea

tangu enzi za Bunge la katiba mpaka leo NAONA kama napanda mlima vile sijui mtelemko lini.
 
Kujitegemea kama nchi tunaweza lakin si kwakukurupuka, ni sawa na kitendo cha kuogea maji ya barid yakiwa kwenye ndoo unaweza ukaumia kichwa kujirushia lakn ukishajimwagia kidogo mambo yanakuwa vzuri.
Simply mnaoongelea rasilimali msiongee tu kwamba tuna Gas, Tanzanite nk. Bila kukumbuka kuwa tanzanite iliyoko tayari kuna mikataba inayotunyonya kama taifa,mingine ni ya miaka mingi. Alaf kuanza kuchimba na kutumia kitu kama uranium ni expensive na ni miradi ya muda mrefu mpaka tuanze kuexploit rasilimali zetu ujue tu ni hatua kiasi gan tutakuwa tumerudi nyuma si kazi rahisi kama tunavyodhani
 
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 4? Au 4000? tafadhali bana mleta mada? sahihisha hapo kwanza then tuendelee
 
Kija
Deni la taifa halipimwi kwa akiba uliyonayo..bali hulinganishwa na GDP (Debt/GDP Ratio)....,ambapo kwa tanzania ni Debt/GDP ipo 39 asilimia,mwaka 2013.Takwimu za benki ya dunia.Nassary unapotoka na kupotosha watu...nchi huitaji mikopo na biashara ili kuendelea na sio kuomba omba wewe kama mbunge umeonyesha uwezo mdogo kuamini kwamba nchi itakuza uchumi kwa kuomba omba zingatia yafuatayo;
1.Debt/GDP ratio ya nchi nyingi za ulaya na USni zaidi ya asilimia 100,yaani pato lao ni dogo kuliko madeni hii hali haikubaliki kiuchumi na hazina pesa za kusaidia hata kutukopesha...ndio maana kati ya nchi zote ni US pekee imetoa kisingizio cha demokrasia na cybercrime law,Ireland wamesema mkataba kuchangia bajeti uliisha tokea 2014 (bbc) na nchi nyingine haina pesa ...si kwa Tz tu misaada itapunguwa bali ni kwa nchi nyingi zinazoendelea na US imekopa pesa nyingi sana china,2015 kwani soko lake halikikukidhi kwa hiyo wataweka sababu nyingi sana ili kuficha aibu ya kutokuwa na hela.
2.Miaka ya karibuni US,EU nk hawakuwa wakitimiza ahadi zao,mara nyingi wametimiza chini ya asilimia 30..kwa sababu za mdororo wa kiuchumi huko kwao ambazo haziusiani na Tz,Hata makanisani kwa miongo miwili sasa misaada toka Vatikan,Italy,US etc imedorora.
3.Kama mbunge ujikite kwenye mawazo mbadala na sio kutowa taarabu za wigi,rangi..etc.
Kijana amekugusa pabaya unarukia mambo ya GDP unashindwa kukiri kwamba TZ haiwezi kujitegemea pasipo viwanda vya kutoa ajira kwa vijana wetu. Mnataka kuendelea kurubuni watu uchumi unakua wakati hali ya wananchi kiuchumi inazidi kuporomoka. Kila siku mnaongeza mikoa na wilaya ili kujipa ulaji nyinyi wenyewe kwa kodi za wanyonge, iko siku wataamka.
 
TUPO TAYARI KUJITEGEMEA KWA SASA?
Ndio swali mnalotakiwa kujibu wachangia hoja sio porijo tu.

Mie naona kwa sasa bado. baadae tukijipanga YES

Ndani ya miaka mitano tukijipanga na kuacha mambo ya uwekezaji tukafanya kazi ktk sekta ya madini,kilimo , Viwanda na ufugaji.

Hasa hasa tukitumia wataalamu wetu tukiwaamini na kurudisha Uzalendo tukawa na misingi ya kijisimamia wenyewe hakika hatutaomba hiyo misaada tena.
 
TUNA UWEZO WA KUJITEGEMEA LAKINI SI SASA.

Uamuzi wa M.C.C umeleta kelele nyingi sana mitandaoni na vijiweni.Ni kelele kwa sababu mihemko inayotokana na itikadi za kisiasa na mahaba ya wanachama imetawala kuliko hoja.

TUPO TAYARI KUJITEGEMEA?

Nchi kujitegemea sio jambo LA kulala na kuamka.Hatuwezi kujitgemea bila kujiandaa kujitegmea.

FIKRA NA UTAMADUNI TEGEMEZI

Tunaimba kujitegemea huku tunapaka "mkorogo" usoni? Unaimba kujitegemea na wigi kichwani hizi fikra za "weupe ni uzuri" ni ushahidi mwingine kwamba BADO HATUKUJIANDAA KUJITEGEMEA.

VIWANDA VYETU!

Tulipopata Uhuru viwanda vyetu vilikua vikichangia 3.5% la pato la taifa(G.D.P) huku vikitoa 9% ya ajira zote za wakati huo.

Miaka 37 baadae (2008) viwanda hivi vinatoa chini ya 20% ya ajira zote zinazopatikana nchini.

Viwanda ni Eneo muhimu na kubwa lenye kutoa ajira
Kwa Nchi "inayowaza" kujietegeme.KWA kiwango hiki cha ajira ni wazi HATUNA VIWANDA VYENYE UWEZO WA KTUFANYA TUJITEGEME.Kusema tupo
tupo tayri kujitgemea ni kujidanganya.

Nchi inayoshindwa hata kufanya sensa ya viwanda haiwezi kua ni nchi inayoamini kwenye viwanda.Tangu tupate huru sensa ya viwanda imwfanyika Mara 4 tu.
Mwaka 1961,1978,1989 na baada ya miaka 24(ilitarajiwa ifanyike 2015 sina uhakika kama imefanyika).Utafanyaje sensa wakati una viwanda ambavyo unaweza kutumia "bodaboda" kuzunguka na ukavimaliza vyote kuvihesabu?

TUNA AKIBA YA PESA YA KUTOSHA?

Tamko la Sera ya fedha lililotolewa na benk kuu(B.O.T) June 2015 linasema mpak mwezi april 2015 tulikua na akiba ya fedha za kigeni dola za kimarekani million 4.043 ambazo zinatosha kuagiza bidhaa na huduma toka nje kwa miez 3.9(robo ya mwaka ni miezi 4..haijafika)

Lakini deni la taifa (mpaka april 2015)ni dola za kimarekani million 14,762.7( Zaidi ya Mara 3 ya akiba Yetu)

Nchi kudaiwa ni kawaida lakini unapokua na deni kubwa kuliko uwezo WA kilipwa kwenye deni lenye riba tegemea kukua KWA deni hilo kutokana na malimbikizo ya riba.Hizi sio dalili za Nchi iliyotayari kujtegemea.

TUTAJITEGEMEA NA AFYA MBOVU?

hatuna viwanda vya kutoa ajira lakini hatuna afya murua ya kujiajili sisi wenyewe.Afya mbovu husababisha hupotevu wa nguvu kazi ya taifa kutokana na vifo.NI kuanzia huduma za afya mahospitalinj mpka mazingira ya kiafya ya MTU mmoja mmoja

NI hapa kwetu inakadiriwa Zaidi ya wakina mama wajawazito 7.900 sawa na vifo 22 kila siku (Gazeti la mwanchi 1/23/2015)

Jumla ya watoto 40,000 wenye umri chini ya mwezi mmoja hufa na TANZANIA ni Nchi ya 11 duniani miongoni mwa Nchi zinazoongoza KWA vifo vya watoto(UNICEF 17/Nov/2014)

Jumla ya watoto 600,000 wenye umri chini ya miaka 5 wanakisiwa kufariki KWA kipindi cha miaka kumi iliyopita kutokana na ugonjwa WA UTAPIAMLO.

Idadi ya vifo hapo juu unaweza kulinganisha na idadi ya watu waliokufa Rwanda kwenye mauaji ya kimbari mwaka 1994.Hii ni sababu nyingine inayoifanya TANZANIA iwe miongoni mwa Nchi zinazoongoza DUNIANI kua na watu wenye huzuni(Msiba haufurahishi).Idadi hii kubwa ya vifo ni sababu nyingine inayothibisha HUU SI WAKATI WETU KUANZA KUJITEGEMEA.Mgonjwa hana uwezo WA kujitegemea.

Kuna taarifa juzi serikali imepokea billion 116 za Japan za nini sasa kama tupo tayari KUJITEGEMEA.

AFRIKA!!AFRIKA,,TUACHE UWONGO

Kuwaamini viongozi WA kiafrika yataka moyo.NI sawa sawa na kumuamini dakatari akutibu wakati mkewe ni muuza majeneza.

Wengi wanajua "kuigiza " sisi inapopanda bei ya mchele,sukari,kodi za nyumba tunaoumia ni sisi tunaovaa kofia na khanga za chama (nguvu zaidi na kasi zaidi,hapa kazi tu)tulizopewa wakati wa uchaguzi

Bajet Yetu mwaka wa fedha uliopita ilikua trillion 22.Wengi tunapata matumaini ya kwamba tupo tayari kujitegemea kwakua T.R.A wametuambia mwez February walikusanya triliom 1.4(izidishe Mara 12 ).inakuja trillion 22+ ..? Amin mafanikio haya ya T.R.A yaliletwa na upya WA serikali na hofu tu na si mfumo Mpya WA ukusanyaji kodi.

Wakati wanasema tupo tayari kujitegemea bado elimu yetu inatoa wasomi legelege, bado maji safi ni shida,umeme haujawa wa uhakika,viwanda hatuna,usafiri WA reli WA kubahatisha ,wagonjwa wanalala chini.

Tujitegemee sasa kwa kilimo hiki cha minjingu?na umeme huu usio na uhakika?NA barabara hizihizi za "shukeni tuvuke kwanza?" acheni utani nchi kujitegemea si sawa NA NDOA YA MKEKA

TUPO TAYARI KUJITEGEMEA BILA MAJI?

Kwa mujibu WA utafiti uliofanya na TWAWEZA mpka mwaka juzi 2014 ni asilimia 53% tu ya WATANZANIA wanoishi mjini wenye uwezo WA kupata maji safi na Salama huku kijijini ni asilimia 44% wenye uwezo.Kama bado maji ni changamoto tusidanganyane kuhusu KUJITEGEMEA KWA sasa

Hatuwezi KUJITEGEMEA muda huu kama bado hatujarekebisha sheria zetu zinazoruhusu 2.3% ya pato la serikali kupotea kupitia misamaha ya kodi.Kwa mwaka 2009/2010 peke yake serikali ilikosa shilingi billion 695 zilizotolewa kama misamaha ya kodi.

Tukiri TULIIBAKA DEMOKRASIA ZANZIBAR kuliko kutunisha kujiliwaza na mashairi ya sungura"SIZITAKI MBICHI HIZI"Ingelikua tupo tayri tungejitoa wenyewe kabla ya "kufukuzwa"

Source:Joss Nassari facebook page
Sawa, nini? Mawazo yako mbadala, nini? Kifanyike kujinusuru na hii hali.
Au ndo mabingwa wa kulaumu?
Au mpaka muingie magogoni?
 
million 14,762.7 mmbona hizi figure nikizi convert hazifiki Trillions in Tanzania shillings nawasiwasi na mtoa mada mama alifanya proof reading kabla ya kupost.
 
Dogo amekosa data updated manake 2008 au 2010 ni mbali sana na toka wakati huo mpaka sasa mabadiliko ni makubwa. Mfano wako wa TRA umesahau kuwa jamaa na matumizi kakata kinoma noma manake 1.4 trillion x 12 wakati inatosha kuliko 22 trillion zenu manake matumizi watu wamekata na sasa katolea macho mishahara yenu wabunge ili nanyi mpunguze.

Asilimia 53% kupata maji ni jambo la manufaa manake hakuna supplementary hapo mtu anaendelea lakini inamaanisha kwa muundo wa watz familia moja inajumuisha watu kibao hapo ni mafanikio. pia utuonyeshe hayo makaburi 600,000 ya watoto walikufa kwa utapia mlo!

Inamaana dogo kukaa mjengoni muda wote bado hajajua maana ya deni, na kujitegemea manake haina maana resources zingine unaazima kutoka nje. Its cheaper to borrow and investing on development projects, resources siku zote ni haba na hazitoshi kufanya kila jambo.

Lazima tuanze sasa kujitegemea hata kama hatukujiandaa basi tutatengeneza model yetu mpya duniani.

Kama dogo amekosa updated data basi mkuu nilifikiri wewe utatupatia updated data za 2016! Kumbe mdomo mrefu tu!
 
Nassari, aliyoyasema na kuainisha yanaweza kukubalika..... Lakini swali la kujiuliza ni je viongozi wetu wote wanaamini katika Taifa KUJITEGEMEA? Kwa maoni yangu, kwanza inabidi viongozi wa ngazi zote wabadili mind sets zitoke kwenye kuona kwamba KUJITEGEMEA ni ndoto za mchana. Wakishabadili huo mwelekeo kimawazo na kimtazamo wanapaswa kuanza kazi ya kuwaelimisha wapigakura na wananchi kwa ujumla kwamba kujitegemea ni muhimu na inawezekana. Kwa mfano kama Wanasiasa wanavyohamasisha wananchi kuwapigia kura watumie nguvu na juhudi hizo hizo kuwaelimisha wananchi waelewe na kukubali kwamba kuna umuhimu wa Taifa kujitegemea. Kujitegemea huko kunapaswa kuanzia kwenye kaya hadi taifa. Viongozi uwezo wa kuifanya kazi hii wanao endapo watakuwa kweli wanayo nia ya dhati ya kujenga taifa linalojitegemea. Hili litawezekana iwapo viongozi wataonyesha mfano wa kuweka taifa mbele badala ya misimamo ya kichama na ubinafsi.
 
million 14,762.7 mmbona hizi figure nikizi convert hazifiki Trillions in Tanzania shillings nawasiwasi na mtoa mada mama alifanya proof reading.
Hesabu ni tatizo kubwa sana kwa watu wengi.....wacha nikusaidie:

Dola milioni 14,762.7 maana yake ni dola 14,762,700,000 au tuite dola BILIONI 14.7627. Kwa exchange rate ya TZS 2,150 unapata TZS 2,150 x 14,762,700,000 = TZS 31,739,805,000,000 au tuite TZS trilioni 31.739805.
 
Deni la taifa halipimwi kwa akiba uliyonayo..bali hulinganishwa na GDP (Debt/GDP Ratio)....,ambapo kwa tanzania ni Debt/GDP ipo 39 asilimia,mwaka 2013.Takwimu za benki ya dunia.Nassary unapotoka na kupotosha watu...nchi huitaji mikopo na biashara ili kuendelea na sio kuomba omba wewe kama mbunge umeonyesha uwezo mdogo kuamini kwamba nchi itakuza uchumi kwa kuomba omba zingatia yafuatayo;
1.Debt/GDP ratio ya nchi nyingi za ulaya na USni zaidi ya asilimia 100,yaani pato lao ni dogo kuliko madeni hii hali haikubaliki kiuchumi na hazina pesa za kusaidia hata kutukopesha...ndio maana kati ya nchi zote ni US pekee imetoa kisingizio cha demokrasia na cybercrime law,Ireland wamesema mkataba kuchangia bajeti uliisha tokea 2014 (bbc) na nchi nyingine haina pesa ...si kwa Tz tu misaada itapunguwa bali ni kwa nchi nyingi zinazoendelea na US imekopa pesa nyingi sana china,2015 kwani soko lake halikikukidhi kwa hiyo wataweka sababu nyingi sana ili kuficha aibu ya kutokuwa na hela.
2.Miaka ya karibuni US,EU nk hawakuwa wakitimiza ahadi zao,mara nyingi wametimiza chini ya asilimia 30..kwa sababu za mdororo wa kiuchumi huko kwao ambazo haziusiani na Tz,Hata makanisani kwa miongo miwili sasa misaada toka Vatikan,Italy,US etc imedorora.
3.Kama mbunge ujikite kwenye mawazo mbadala na sio kutowa taarabu za wigi,rangi..etc.

Takwimu za mwaka 2013 leo ni 2016...
 
Ukisoma michango mingi ya huu JF utawezza kugundua tatizo moja la msingi.
Wengi wa wachangiaji ni kana kwamba bila kusidiwa nchi haiwezi kwenda.Siri moja kama taifa ni kwamba inapashwa kufika pahala tukasema tuanze . Tuanze kuwa na fikra mpya ya kujenga nchi kwa nguvu zetu . uzuri tuna mtaji watu nadio kitu muhimu! tukatae kudharirishwa na mabwana wakubwa kwa vijisenti vya hovyo , Kwa nini tusianze upya. Tujiangalie kama hatuna kitu tuanze kujenga uchumi . tuanze kuweka miundo mbinu , tuanze kulima kwa tija.
Nchi hii ni tajiri sana . Wachina walijifungia wakavaa vimao wakajituma kweli kweli , sasa ni nchi ya kwanza duniani yenye uchumi Imara
Kujitegemea ni sawa lakini swali ni kuwa, je tulijiandaa kujitegemea katika hii awamu ya tano?
Make sijawahi sikia hau kusoma popote pale kuwa tulijiandaa kujitegemea wakati wa awamu hii.
Na hata dira ya maendeleo inataka tuwe katika kipato cha Kati lakini siyo kujitegemea bila misaada.
 
TUPO TAYARI KUJITEGEMEA KWA SASA?
Ndio swali mnalotakiwa kujibu wachangia hoja sio porojo tu.
Mie naona kwa sasa bado. baadae tukijipanga YES

Swala si kusema tuu hatupo tayari, sema hatupo tayari kwa nini? Na utaambiwa ni kwa nini tupo tayari kujitegemea.
 
Dogo amekosa data updated manake 2008 au 2010 ni mbali sana na toka wakati huo mpaka sasa mabadiliko ni makubwa. Mfano wako wa TRA umesahau kuwa jamaa na matumizi kakata kinoma noma manake 1.4 trillion x 12 wakati inatosha kuliko 22 trillion zenu manake matumizi watu wamekata na sasa katolea macho mishahara yenu wabunge ili nanyi mpunguze.

Asilimia 53% kupata maji ni jambo la manufaa manake hakuna supplementary hapo mtu anaendelea lakini inamaanisha kwa muundo wa watz familia moja inajumuisha watu kibao hapo ni mafanikio. pia utuonyeshe hayo makaburi 600,000 ya watoto walikufa kwa utapia mlo!

Inamaana dogo kukaa mjengoni muda wote bado hajajua maana ya deni, na kujitegemea manake haina maana resources zingine unaazima kutoka nje. Its cheaper to borrow and investing on development projects, resources siku zote ni haba na hazitoshi kufanya kila jambo.

Lazima tuanze sasa kujitegemea hata kama hatukujiandaa basi tutatengeneza model yetu mpya duniani.
Mzee umejaribu kuongea kwa msistizo sana ila tambua kuwa ili ukopesheke unatakiwa kuwa na akiba ya kutosha, kwa maana hiyo kama ni kweli balance ya BOT ndo hiyo iliyotolewa hapo juu sio jambo la kushabikia na kusema tupo salama. Hilo deni lililopo ni mikopo lakini matunda yake hayaonekani sasa unategemea kuendelea kukopa mpaka lini wakati ulikopa ili ulete maendeleo? Kingine kwa msomi mwenye kariba yako sikutegemea huulize kuwa makaburi yapo wapi? Lakini inawezekana ni mfumo wa elimu zetu vinginevyo jua kuwa ''numbers never lie'' Ingia google utaikuta hiyo.
 
Hii hoja si rafiki kwa sasa, kujitegemea kiuchumi hatuwezi hata kwa miaka 100, tunalijua na wanaotufanya tushindwe kujitegemea wanajua na pia linapendeza machoni petu na kwao. Mtu ambae unaweza kupriotize simu badala ya choo, au ngoma badala ya net unawezaje kuanza kutamka maneno ya kilofa "kujitegemea" tukiachilia mbali maeneo ya maendeleo, hata tu kujitegemea kusurvive... yani kuwa katika hali hii ya kula, kuvaa na kunya tuu hatuwezi!!
 
Ndani ya miaka mitano tukijipanga na kuacha mambo ya uwekezaji tukafanya kazi ktk sekta ya madini,kilimo , Viwanda na ufugaji.

Hasa hasa tukitumia wataalamu wetu tukiwaamini na kurudisha Uzalendo tukawa na misingi ya kijisimamia wenyewe hakika hatutaomba hiyo misaada tena.
POINT muhimu. UZALENDO NI ZAIDI YA UCHAMA.
Lakini hali ya hewa bado tete visiwan na Issue ya KATIBA MPYA. Malumbano yake tu yanazidi kuondoa UMOJA na uzalendo. Nasubiri kauli ya Magu hasa akikalia kiti busara yake hapa ndio KIPIMO CHA KWELI mana bado kuna wazo hata katiba mpya democrasia imepigwa ngwala kiaina.
 
TUNA UWEZO WA KUJITEGEMEA LAKINI SI SASA.

Uamuzi wa M.C.C umeleta kelele nyingi sana mitandaoni na vijiweni.Ni kelele kwa sababu mihemko inayotokana na itikadi za kisiasa na mahaba ya wanachama imetawala kuliko hoja.

TUPO TAYARI KUJITEGEMEA?

Nchi kujitegemea sio jambo LA kulala na kuamka.Hatuwezi kujitgemea bila kujiandaa kujitegmea.

FIKRA NA UTAMADUNI TEGEMEZI

Tunaimba kujitegemea huku tunapaka "mkorogo" usoni? Unaimba kujitegemea na wigi kichwani hizi fikra za "weupe ni uzuri" ni ushahidi mwingine kwamba BADO HATUKUJIANDAA KUJITEGEMEA.

VIWANDA VYETU!

Tulipopata Uhuru viwanda vyetu vilikua vikichangia 3.5% la pato la taifa(G.D.P) huku vikitoa 9% ya ajira zote za wakati huo.

Miaka 37 baadae (2008) viwanda hivi vinatoa chini ya 20% ya ajira zote zinazopatikana nchini.

Viwanda ni Eneo muhimu na kubwa lenye kutoa ajira
Kwa Nchi "inayowaza" kujietegeme.KWA kiwango hiki cha ajira ni wazi HATUNA VIWANDA VYENYE UWEZO WA KTUFANYA TUJITEGEME.Kusema tupo
tupo tayri kujitgemea ni kujidanganya.

Nchi inayoshindwa hata kufanya sensa ya viwanda haiwezi kua ni nchi inayoamini kwenye viwanda.Tangu tupate huru sensa ya viwanda imwfanyika Mara 4 tu.
Mwaka 1961,1978,1989 na baada ya miaka 24(ilitarajiwa ifanyike 2015 sina uhakika kama imefanyika).Utafanyaje sensa wakati una viwanda ambavyo unaweza kutumia "bodaboda" kuzunguka na ukavimaliza vyote kuvihesabu?

TUNA AKIBA YA PESA YA KUTOSHA?

Tamko la Sera ya fedha lililotolewa na benk kuu(B.O.T) June 2015 linasema mpak mwezi april 2015 tulikua na akiba ya fedha za kigeni dola za kimarekani million 4.043 ambazo zinatosha kuagiza bidhaa na huduma toka nje kwa miez 3.9(robo ya mwaka ni miezi 4..haijafika)

Lakini deni la taifa (mpaka april 2015)ni dola za kimarekani million 14,762.7( Zaidi ya Mara 3 ya akiba Yetu)

Nchi kudaiwa ni kawaida lakini unapokua na deni kubwa kuliko uwezo WA kilipwa kwenye deni lenye riba tegemea kukua KWA deni hilo kutokana na malimbikizo ya riba.Hizi sio dalili za Nchi iliyotayari kujtegemea.

TUTAJITEGEMEA NA AFYA MBOVU?

hatuna viwanda vya kutoa ajira lakini hatuna afya murua ya kujiajili sisi wenyewe.Afya mbovu husababisha hupotevu wa nguvu kazi ya taifa kutokana na vifo.NI kuanzia huduma za afya mahospitalinj mpka mazingira ya kiafya ya MTU mmoja mmoja

NI hapa kwetu inakadiriwa Zaidi ya wakina mama wajawazito 7.900 sawa na vifo 22 kila siku (Gazeti la mwanchi 1/23/2015)

Jumla ya watoto 40,000 wenye umri chini ya mwezi mmoja hufa na TANZANIA ni Nchi ya 11 duniani miongoni mwa Nchi zinazoongoza KWA vifo vya watoto(UNICEF 17/Nov/2014)

Jumla ya watoto 600,000 wenye umri chini ya miaka 5 wanakisiwa kufariki KWA kipindi cha miaka kumi iliyopita kutokana na ugonjwa WA UTAPIAMLO.

Idadi ya vifo hapo juu unaweza kulinganisha na idadi ya watu waliokufa Rwanda kwenye mauaji ya kimbari mwaka 1994.Hii ni sababu nyingine inayoifanya TANZANIA iwe miongoni mwa Nchi zinazoongoza DUNIANI kua na watu wenye huzuni(Msiba haufurahishi).Idadi hii kubwa ya vifo ni sababu nyingine inayothibisha HUU SI WAKATI WETU KUANZA KUJITEGEMEA.Mgonjwa hana uwezo WA kujitegemea.

Kuna taarifa juzi serikali imepokea billion 116 za Japan za nini sasa kama tupo tayari KUJITEGEMEA.

AFRIKA!!AFRIKA,,TUACHE UWONGO

Kuwaamini viongozi WA kiafrika yataka moyo.NI sawa sawa na kumuamini dakatari akutibu wakati mkewe ni muuza majeneza.

Wengi wanajua "kuigiza " sisi inapopanda bei ya mchele,sukari,kodi za nyumba tunaoumia ni sisi tunaovaa kofia na khanga za chama (nguvu zaidi na kasi zaidi,hapa kazi tu)tulizopewa wakati wa uchaguzi

Kuna taarifa juzi serikali imepokea billion 116 za Japan za nini sasa kama tupo tayari KUJITEGEMEA.

Bajet Yetu mwaka wa fedha uliopita ilikua trillion 22.Wengi tunapata matumaini ya kwamba tupo tayari kujitegemea kwakua T.R.A wametuambia mwez February walikusanya triliom 1.4(izidishe Mara 12 ).inakuja trillion 22+ ..? Amin mafanikio haya ya T.R.A yaliletwa na upya WA serikali na hofu tu na si mfumo Mpya WA ukusanyaji kodi.

Kuwaamini viongozi WA kiafrika yataka moyo.NI sawa sawa na kumuamini dakatari akutibu wakati mkewe ni muuza majeneza.

Wakati wanasema tupo tayari kujitegemea bado elimu yetu inatoa wasomi legelege, bado maji safi ni shida,umeme haujawa wa uhakika,viwanda hatuna,usafiri WA reli WA kubahatisha ,wagonjwa wanalala chini.

Tujitegemee sasa kwa kilimo hiki cha minjingu?na umeme huu usio na uhakika?NA barabara hizihizi za "shukeni tuvuke kwanza?" acheni utani nchi kujitegemea si sawa NA NDOA YA MKEKA

TUPO TAYARI KUJITEGEMEA BILA MAJI?

Kwa mujibu WA utafiti uliofanya na TWAWEZA mpka mwaka juzi 2014 ni asilimia 53% tu ya WATANZANIA wanoishi mjini wenye uwezo WA kupata maji safi na Salama huku kijijini ni asilimia 44% wenye uwezo.Kama bado maji ni changamoto tusidanganyane kuhusu KUJITEGEMEA KWA sasa

Hatuwezi KUJITEGEMEA muda huu kama bado hatujarekebisha sheria zetu zinazoruhusu 2.3% ya pato la serikali kupotea kupitia misamaha ya kodi.Kwa mwaka 2009/2010 peke yake serikali ilikosa shilingi billion 695 zilizotolewa kama misamaha ya kodi.

Tukiri TULIIBAKA DEMOKRASIA ZANZIBAR kuliko kutunisha kujiliwaza na mashairi ya sungura"SIZITAKI MBICHI HIZI"Ingelikua tupo tayri tungejitoa wenyewe kabla ya "kufukuzwa"

Source:Joss Nassari facebook page

Hii nchi ya ajabu sana.....

utawezaj kujitegemea kwa kutegemea viongozi kama NASSARI ambae ubongo wake anaona Tanzania kuanza kujitegemea bado?

Msubirini Obama aje kutuamrisha kujitegemea
 
Ndio wameshabinya misaada yao,tukubali matokeo tufunge mkanda.

Hawa viongozi kama watakua waaminifu na wataamua tunaweza kujitegemea japo 90%... Waache umimi wao tutafika
 
Back
Top Bottom