Maoni ya Membe kuhusu sakata la Charlie Hebdo!

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
Nianze kuomba uhai wa thread hii kwa watukufu mods!!

Ni majuma kadhaa yamepita toka sakata la muendelezo wa mauaji ya kigaidi huko paris.ni wazi kuwa sakata hili la mauaji dhidi ya kina "Ibra radi washokera" au kina "kipanya" wa jarida la Charlie hebdo.

Ni wazi sakata hili limeamsha hisia tofauti tofauti kutoka kwa mtu mmoja mmoja,taasisi,viongozi wa kidini na kisiasa duniani wakiwemo viongozi mahasimu Mahmood Abass vs Benjamin Netanyahu.

Ni ukweli usiopingika kuwa Tanzania inao utamaduni wa kupinga na kukemea mauaji au ugaidi dhidi ya raia duniani.

Ni wazi vile vile Tanzania kupitia waziri wa mambo ya nje ndugu Membe amejitokeza mara kadhaa kuonesha msimamo wa Tanzania dhidi ya uharamia au ugaidi mfano mabomu ya Israel yalioua watoto wa kipalestina.

Kwa uzoefu huu mfupi ningependa kujua Waziri Membe au niseme Tanzania ina maoni gani juu ya mauaji ya waandishi wa Charlie Hebdo na matukio yaliyojiri ikiwemo kuchorwa tena kwa kikatuni cha mtume?
 
Nadhani kura zinazotafutwa ni za waislam kura za wakristu wanauhakika nazo na hata kama hawana uhakika nazo, Duniani kote inafahamika dini yenye misimamo mikali ni ipi.

Usipate shida juu ya hilo mkuu, huwezi sikia kauli ya yeyote juu ya hilo. Tunaogopa kuwaudhi wenzetu Waislam labda ingekuwa Antibalaka wamelipua huko Macca ungesikia Sauti kali ya Membe huku "Mvua ikinyesha"...!!!!!!

BACK TANGANYIKA
 
kwani hao ndugu zenu mpaka matamko wayatoe acha waishe wote sina huruma na hao waarabu i bet ata wasingekuwepo
 
Hii dunia haiko fair same thing zinahappen nigeria na boko haram wanaua maelfu ya ndugu zetu, kenya hapo alshabab wanafanya same thing ila leo coz imehapen france na ni dunia ya kwanza watu wamestuka na ww unataka membe atoe tamko!!!
 
Uko sahihi mkuu! yaani sie waafrika tuna matatizo ya kifikra na ndio maana wazungu wanatuchezea. Japo mie naunga mkono mabadiliko ya kimfumo Tanzania na hivyo naunga mkono ukawa lakini nakiri kuwa Tanzania ni moja ya nchi chache za kiafrika zinazojitambua, ndio maana hatujasikia matamko yasiyotuhusu. Hongera Membe kwa kutotoa tamko Kuanzia mashambulizi ya charlie hebdo mpaka vibonzo walivyochora. Mbona sijasikia matamko mazito ya nchi za ulaya dhidi ya mashambulizi ya alshabab na Boko haram.Heri Tz kuliko nchi kama Nigeria ambako milipuko inatokea kaskazini mwa nchi muda huo huo, rais Jonathan hatoi tamko kuhusu wananchi wake waliouwawa bali anatoa tamko la kulaani mauaji ya charlie hebdo. Hii ni aibu sana kwa waafrika.
 
Membe ndugu zake ni Waarabu.... hawezi sema kitu... Ukifuata magaidi na wewe utakuwa gaidi tu...

Ndio kusema ukizoeana sana na Mbwa atakufuata Msikitini.... Membe anajuta kuwasapoti magaidi wamemnyea sasa...
 
Sipendi huu mjadala uelekee katika ubaya au uzuri wa charlie hebdo.bali nataka reaction ya Membe na Tanzania katika hili.
 
Nadhani kura zinazotafutwa ni za waislam kura za wakristu wanauhakika nazo na hata kama hawana uhakika nazo, Duniani kote inafahamika dini yenye misimamo mikali ni ipi.

Usipate shida juu ya hilo mkuu, huwezi sikia kauli ya yeyote juu ya hilo. Tunaogopa kuwaudhi wenzetu Waislam labda ingekuwa Antibalaka wamelipua huko Macca ungesikia Sauti kali ya Membe huku "Mvua ikinyesha"...!!!!!!

BACK TANGANYIKA

Hujielewi ww
 
Nianze kuomba uhai wa thread hii kwa watukufu mods!!

Ni majuma kadhaa yamepita toka sakata la muendelezo wa mauaji ya kigaidi huko paris.ni wazi kuwa sakata hili la mauaji dhidi ya kina "Ibra radi washokera" au kina "kipanya" wa jarida la Charlie hebdo.

Ni wazi sakata hili limeamsha hisia tofauti tofauti kutoka kwa mtu mmoja mmoja,taasisi,viongozi wa kidini na kisiasa duniani wakiwemo viongozi mahasimu Mahmood Abass vs Benjamin Netanyahu.

Ni ukweli usiopingika kuwa Tanzania inao utamaduni wa kupinga na kukemea mauaji au ugaidi dhidi ya raia duniani.

Ni wazi vile vile Tanzania kupitia waziri wa mambo ya nje ndugu Membe amejitokeza mara kadhaa kuonesha msimamo wa Tanzania dhidi ya uharamia au ugaidi mfano mabomu ya Israel yalioua watoto wa kipalestina.

Kwa uzoefu huu mfupi ningependa kujua Waziri Membe au niseme Tanzania ina maoni gani juu ya mauaji ya waandishi wa Charlie Hebdo na matukio yaliyojiri ikiwemo kuchorwa tena kwa kikatuni cha mtume?

Kuna uislam, kuna mfuasi wa dini ya kiislam, ugaidi na siasa...jua bas kutofautisha haya mambo...siasa isitumie dini ya kiislam kama sababu ya kutimiza dhamila zao...na uislam sio ugaidi...wala hairuhusu ugaidi...mtaelewa lin haya mambo jmn? Tumechoshwa na kelele na kejeli za ajabu na dharau juu ya dini hii
 
Tatizo waislamu wenzetu wengi ni akina kajamba nani shule hatuna na njaa inakaribia kutuua hata ukisema tuungane haiwezekani kwa kua hatuna akili hiyo na tunapelekwa kama nguruwe wa pori na wakristu wanatuchezesha wanavotaka shkh

Hawa waandishi wa Charlie hebdo ni sahihi kuuliwa wamekuwa wakifanya ukafiri wao sana binafsi naunga mkono lile shambulio na kwa jambo hili walilojaribu kulipiza dhidi ya waislamu kuchora ile katuni ni wito sasa kwa waislamu wote ulimwenguni kum-target kila mkiristu.
 
Mmhh labda wangane umma wa waislamu wa Arabuni lakini huku kwetu wengi wetu ni akina kajamba nani na njaa kali .
 
Nenda msikiti wa mtoro Dar utavipata tu nunua Qur'an yenye tafsiri chapa ya nane inayosema Muhammad alilogwa na alikuwa chizi mwaka mzima
 
Nikiona Jina La Huyu Mpumbavu Nahisi Kutapika, Membe Alishaslim Miaka Mingi Imepita Kwa Kuhongwa Uwaziri Na Kuahidiwa Urais. HUYU HAFAI, NARUDIA MTU ANAYEMTAKA MEMBE AMCHAGUE AKAWE RAIS WA UKOO WAKE LAKINI SI TAIFA LA TZ
 
MEMBE NI ZEZETA,PALESTINA ILIUA MTOTO WA KIISRAEL HAKUILAANI PALESTINA,BALI ALIWASHANGILIA, ISRAEL ILIPOLIPA KISASI MEMBE AKAILAANI ISRAEL KUWA INAUA NDUGU ZAKE WAPALESTINA ET BILA HATIA!! SASA HUYU SIYO ZEZETA JAMANI? Haya Mauaji Yanayofanywa Na Isis,bokoharam Na Alshabaab Membe Humsikii Akiyalaani Mauaji Hayo,anasubiri Israel Au Mmarekani Ajibu Mapigo Membe Aje Alaani!! Mauaji Ya Hv Karibuni Ya Waandish Wa Habari MEMBE HATOLAANI. HVY MEMBE NI KAMA MWANAMKE MALAYA AMBAE YUPO KIMASLAHI ZAIDI NA YUPO TAYARI KUKANA WAZAZI WAKE ILI APATE ANACHOTAKA.
 
Membe akiwa rais ni afadhari nihame nchi na kubadilisha uraia kuliko kuongozwa na mtu kama Membe!
 
MEMBE NI ZEZETA,PALESTINA ILIUA MTOTO WA KIISRAEL HAKUILAANI PALESTINA,BALI ALIWASHANGILIA, ISRAEL ILIPOLIPA KISASI MEMBE AKAILAANI ISRAEL KUWA INAUA NDUGU ZAKE WAPALESTINA ET BILA HATIA!! SASA HUYU SIYO ZEZETA JAMANI? Haya Mauaji Yanayofanywa Na Isis,bokoharam Na Alshabaab Membe Humsikii Akiyalaani Mauaji Hayo,anasubiri Israel Au Mmarekani Ajibu Mapigo Membe Aje Alaani!! Mauaji Ya Hv Karibuni Ya Waandish Wa Habari MEMBE HATOLAANI. HVY MEMBE NI KAMA MWANAMKE MALAYA AMBAE YUPO KIMASLAHI ZAIDI NA YUPO TAYARI KUKANA WAZAZI WAKE ILI APATE ANACHOTAKA.

Team lowassa utawajua tu
 
mmezoea sana kukashifu na kupotosha
Laiti hiyo mnayoita nayo ni dini
ingekuwa ya kweli tungekoma.
tatizo ni yule aliyewaroga nyinyi WAGALATIA
msio kuwa na akili ndio wa kulaumiwa.

Back
Top Bottom