R Rony fely Member Joined Dec 10, 2012 Posts 12 Reaction score 2 Dec 16, 2012 #1 wakazi wa mbagala na gongolamboto waomba ghala la silaha lijengwe ikulu na wafanyabiashara waomba TRA itaifishwe...
wakazi wa mbagala na gongolamboto waomba ghala la silaha lijengwe ikulu na wafanyabiashara waomba TRA itaifishwe...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,278 Reaction score 108,286 Dec 16, 2012 #2 na mimi naomba mafisadi wote wageuzwe jinsia....
chardams JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 2,450 Reaction score 1,751 Dec 16, 2012 #3 watu8 said: na mimi naomba mafisadi wote wageuzwe jinsia.... Click to expand... Kwahiyo wale mafisadi wa kiume wawe wake wakike wawe waume?
watu8 said: na mimi naomba mafisadi wote wageuzwe jinsia.... Click to expand... Kwahiyo wale mafisadi wa kiume wawe wake wakike wawe waume?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,278 Reaction score 108,286 Dec 16, 2012 #4 chardams said: Kwahiyo wale mafisadi wa kiume wawe wake wakike wawe waume? Click to expand... swadakta...
chardams said: Kwahiyo wale mafisadi wa kiume wawe wake wakike wawe waume? Click to expand... swadakta...
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,997 Dec 16, 2012 #5 watu8 said: na mimi naomba mafisadi wote wageuzwe jinsia.... Click to expand... Nakuunga kiuno daddy angu!!!!!
watu8 said: na mimi naomba mafisadi wote wageuzwe jinsia.... Click to expand... Nakuunga kiuno daddy angu!!!!!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,278 Reaction score 108,286 Dec 16, 2012 #6 charminglady said: Nakuunga kiuno daddy angu!!!!! Click to expand... yaani hawa watu wanatufanya tusipumue...labda waliondolewa jinsia zao watapata simile...
charminglady said: Nakuunga kiuno daddy angu!!!!! Click to expand... yaani hawa watu wanatufanya tusipumue...labda waliondolewa jinsia zao watapata simile...
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,678 Dec 16, 2012 #7 watu8 said: na mimi naomba mafisadi wote wageuzwe jinsia.... Click to expand... Sio kwamba wanyongwe kabisa?
watu8 said: na mimi naomba mafisadi wote wageuzwe jinsia.... Click to expand... Sio kwamba wanyongwe kabisa?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,278 Reaction score 108,286 Dec 16, 2012 #8 Kipipi said: Sio kwamba wanyongwe kabisa? Click to expand... tatizo ni nani wa kumvisha paka kengele...hakuna hata mmoja msafi
Kipipi said: Sio kwamba wanyongwe kabisa? Click to expand... tatizo ni nani wa kumvisha paka kengele...hakuna hata mmoja msafi
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,678 Dec 16, 2012 #9 watu8 said: tatizo ni nani wa kumvisha paka kengele...hakuna hata mmoja msafi Click to expand... Sasa tukiwabadilisha jinsia, na account zao za uswiss zitaongezeka tena zitakuwa nyingi kwa jinsia mbili tofauti!
watu8 said: tatizo ni nani wa kumvisha paka kengele...hakuna hata mmoja msafi Click to expand... Sasa tukiwabadilisha jinsia, na account zao za uswiss zitaongezeka tena zitakuwa nyingi kwa jinsia mbili tofauti!
Ralphryder JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 5,599 Reaction score 1,798 Dec 16, 2012 #10 Rony fely said: wakazi wa mbagala na gongolamboto waomba ghala la silaha lijengwe ikulu na wafanyabiashara waomba TRA itaifishwe... Click to expand... Ronyfely, Mi maoni yangu ni kama ifuatavyo 1.Matrafiki wote waondolewe barabarani 2.Kodi zoooote zifutwe. 3.Vituo vya polisi vifungwe. Asanteni! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Rony fely said: wakazi wa mbagala na gongolamboto waomba ghala la silaha lijengwe ikulu na wafanyabiashara waomba TRA itaifishwe... Click to expand... Ronyfely, Mi maoni yangu ni kama ifuatavyo 1.Matrafiki wote waondolewe barabarani 2.Kodi zoooote zifutwe. 3.Vituo vya polisi vifungwe. Asanteni!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,278 Reaction score 108,286 Dec 16, 2012 #11 Kipipi said: Sasa tukiwabadilisha jinsia, na account zao za uswiss zitaongezeka tena zitakuwa nyingi kwa jinsia mbili tofauti! Click to expand... hebu jiulize mazee mazima kama RA au AC au EL yanakuwa majianamke kisa ufisadi...yataficha wapi sura zao
Kipipi said: Sasa tukiwabadilisha jinsia, na account zao za uswiss zitaongezeka tena zitakuwa nyingi kwa jinsia mbili tofauti! Click to expand... hebu jiulize mazee mazima kama RA au AC au EL yanakuwa majianamke kisa ufisadi...yataficha wapi sura zao
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,678 Dec 16, 2012 #12 watu8 said: hebu jiulize mazee mazima kama RA au AC au EL yanakuwa majianamke kisa ufisadi...yataficha wapi sura zao Click to expand... Kaka aibu huwa inaisha!
watu8 said: hebu jiulize mazee mazima kama RA au AC au EL yanakuwa majianamke kisa ufisadi...yataficha wapi sura zao Click to expand... Kaka aibu huwa inaisha!
B Bajabiri JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 9,728 Reaction score 1,209 Dec 16, 2012 #13 Binafsi napendekeza kuwe na ukomo wa kuwa bachela,wasiotekeleza kuoa au kuolewa wakifikisha umri wa miaka 25 wawajibishwe
Binafsi napendekeza kuwe na ukomo wa kuwa bachela,wasiotekeleza kuoa au kuolewa wakifikisha umri wa miaka 25 wawajibishwe
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,278 Reaction score 108,286 Dec 16, 2012 #14 Kipipi said: Kaka aibu huwa inaisha! Click to expand... heheheh....basi na wanyongwe kama Wachina wafanyavyo...ila kabla ya kunyongwa wanageuzwa jinsia
Kipipi said: Kaka aibu huwa inaisha! Click to expand... heheheh....basi na wanyongwe kama Wachina wafanyavyo...ila kabla ya kunyongwa wanageuzwa jinsia
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,678 Dec 16, 2012 #15 watu8 said: heheheh....basi na wanyongwe kama Wachina wafanyavyo...ila kabla ya kunyongwa wanageuzwa jinsia Click to expand... Huo mwendo utawafundisha wengi sana!
watu8 said: heheheh....basi na wanyongwe kama Wachina wafanyavyo...ila kabla ya kunyongwa wanageuzwa jinsia Click to expand... Huo mwendo utawafundisha wengi sana!
R Rony fely Member Joined Dec 10, 2012 Posts 12 Reaction score 2 Dec 16, 2012 Thread starter #16 kama cjapata mt mpaka umri uo???
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,678 Dec 16, 2012 #17 Bamwanasha said: Binafsi napendekeza kuwe na ukomo wa kuwa bachela,wasiotekeleza kuoa au kuolewa wakifikisha umri wa miaka 25 wawajibishwe Click to expand... Na watumishi wa dini je, utawapeleka wapi?
Bamwanasha said: Binafsi napendekeza kuwe na ukomo wa kuwa bachela,wasiotekeleza kuoa au kuolewa wakifikisha umri wa miaka 25 wawajibishwe Click to expand... Na watumishi wa dini je, utawapeleka wapi?
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,678 Dec 16, 2012 #18 Rony fely said: kama cjapata mt mpaka umri uo??? Click to expand... Na kwanini usipate?
Mjuni Lwambo JF-Expert Member Joined Apr 25, 2012 Posts 11,719 Reaction score 13,423 Dec 16, 2012 #19 Bamwanasha said: Binafsi napendekeza kuwe na ukomo wa kuwa bachela,wasiotekeleza kuoa au kuolewa wakifikisha umri wa miaka 25 wawajibishwe Click to expand... Inaelekea mkuu unapenda sana sijui ni kuolewa, sijui ni kuoa, si eti?
Bamwanasha said: Binafsi napendekeza kuwe na ukomo wa kuwa bachela,wasiotekeleza kuoa au kuolewa wakifikisha umri wa miaka 25 wawajibishwe Click to expand... Inaelekea mkuu unapenda sana sijui ni kuolewa, sijui ni kuoa, si eti?
Mjuni Lwambo JF-Expert Member Joined Apr 25, 2012 Posts 11,719 Reaction score 13,423 Dec 16, 2012 #20 Kipipi said: Na kwanini usipate? Click to expand... Ni domo zege wananikataa, niwalazimishe au?