Maoni ya Juma Mwapachu kuhusu maslahi ya Tanzania katika EAC

kwanza tungetimiza hayo aliyosema mwapachu ndio tuingie kwenye integration, lakini mimi nilikuwa nadhani once tukitumia rasilimali zetu vizuri, TUTAKUWA HATUNA HAJA ya kuungana na yoyote, labda kwenye vitu vichache tu. kwa sababu tutakuwa super-power mitaa hii ya EAC. Would the integration be necessary then? isije ikawa wanataka tuingie kwenye EAC mazima mazima ili kutuzuia tusiendelee kivyetu vyetu.
 
The thing is, we are already in the integration system. Tanzania cannot afford to be closed minded and distrust everybody while acting in slow motion. It will be left behind and ignored while others pass us.

We can learn from others around us and fix what needed to be fixed or we can close our economy and watch the country burn with her remaining resources. Neither the jobless nor our regional partners have unlimited patience.

In this globalized world, it is the world citizens who own properties and resources. The job of a government is to make sure that they pay the right taxes and use the funds to provide a good living to her citizens. To think otherwise is to live in a dreamland. There is not a single country in the world which developed her resources on her own. What makes you think Tanzanians can pull it off?

Pia kuna kitu Mwapachu ameongelea ambacho ni market. Anasema "it is markets, larger markets, that enable economies to grow".

Kama infrastructure ni mbaya au imejikita tuu internally, then it is going to be difficult to expand the market both for consumers and businesses.

Expanding marketing operations increase wealth. Kwa mfano, unaweza kuona Uingereza inapiga kelele za kujitoa kwenye Muungano wa Ulaya, lakini wanaogopa kujitoa mazima mazima kwa sababu wanajua soko litapungua.

Moja ya vitu ambacyo vimeifanya China na labda India na Brazil kuwa hapa zilipo ni market.

Tungejipanga vizuri kwa kutumia resources zetu effectively tungekuwa dominant in the EAC market na masoko mengine kama SADC.
 
The thing is, we are already in the integration system. Tanzania cannot afford to be closed minded and distrust everybody while acting in slow motion. It will be left behind and ignored while others pass us.

We can learn from others around us and fix what needed to be fixed or we can close our economy and watch the country burn with her remaining resources. Neither the jobless nor our regional partners have unlimited patience.

In this globalized world, it is the world citizens who own properties and resources. The job of a government is to make sure that they pay the right taxes and use the funds to provide a good living to her citizens. To think otherwise is to live in a dreamland. There is not a single country in the world which developed her resources on her own. What makes you think Tanzanians can pull it off?

..U have raised some good points, but there are a few areas where I disagree with you.

..As far as I am concerned Tz has been reluctant in free movement of labor and access to land, and EAC defence and protocal agreement.

..Tanzania has very high unemployment rates, I am not convinced that this is the right time for Tz open her labor market to the rest of EAC members.

..I don't think if we allow free movement of labor, then "KABOOM," we will have solved unemployment woes in our country.

..We would be lying to ourselves if we believe that neighbors have answers and quick fixes to the problems and deficiencies that we have in our infrastructure, education system, or agriculture.

..Mind you, we are the second largest economy in the EAC community. For quite sometime we have enjoyed the fastest growing economy among all members of the community. I think we should concentrate on sustaining that growth, instead of letting ourselves distracted na makelele ya jirani zetu.

..Sikubaliani na hii mentality kwamba EAC ndiyo panacea ya matatizo yetu. Jumuiya hii imeanzishwa tangu mwaka 94 au 95 na mpaka leo matatizo yetu yapo palepale. Watanzania tujiangalie sisi wenyewe internally. Hakuna JIRANI atakayekuja kutukomboa.

..Kuhusu RESOURCES nadhani tuwe makini ukizingatia upumbavu tulioufanya kwenye GOLD na TANZANITE.
 
kwanza tungetimiza hayo aliyosema mwapachu ndio tuingie kwenye integration,

Absolutely. Tatizo badala ya kuanza kuyatimiza tunawaangalia wenzutu wanavyoenda kwa spidi.

lakini mimi nilikuwa nadhani once tukitumia rasilimali zetu vizuri, TUTAKUWA HATUNA HAJA ya kuungana na yoyote, labda kwenye vitu vichache tu.

Only kama utakuwa na soko la kutosha kuuza yatokanayo na rasilimali zako. Anasema "it is markets, larger markets, that enable economies to grow".

Unleashing the social and economic transformation cannot just be done internally, even when you have all the oil and gas. Katoa mfano wa Angola ndani ya SADC.

Kutumia rasilimali zetu vizuri ni pamoja na ku-industrialise na kutumia yatokanayo na matumizi mazuri ya rasilimali hizo kwa ku-invest kwenye manufacturing, kilimo rather than exporting agricultural commodities.

All these will need a market, a larger market, in terms of consumers and business ambapo tutaweza kuuza bidhaa hizo.

kwa sababu tutakuwa super-power mitaa hii ya EAC.Would the integration be necessary then?

Hata Marekani ni superpower lakini ni member wa NAFTA inayojumuisha Canada na Mexico. Unafikri ni kwa nini?

isije ikawa wanataka tuingie kwenye EAC mazima mazima ili kutuzuia tusiendelee kivyetu vyetu.

Ndiyo maana Mwapachu ameongelea lack of communication. Anasema in Tanzania, "people are not that aware about what are benefits of deeper and wider integration". Ulivyosema "isije ikawa" ni kama vile huelewi kitu aka you haven't done your home work kujua faidha na hasara za kuwempo humo.

For the sake of having a larger free area market, integration inaweza kusaidia kupata hiyo market. Hata hivyo, mie nadhani competitor wetu mkubwa siyo Kenya or other neighbors, bali mataifa mengine makubwa na Muungano wa Ulaya. Muungano wa Ulaya una one say in the World Trade organisation na hii imesaidia members wake kupambamba na superpower kama Marekani kwenye trade negotiations.

Kwa level yetu ya maendeleo ili tuwe na nguvu at the international stage itabidi tuwe na voice moja. Lazima tuwe na common position moja kwa kuwa member wa economic group ambayo ni influential au itakayokuwa influencial at the world stage hasa kwenye masuala ya kiuchumi.

Na kama tukitumia rasilimali zetu vizuri tutakuwa influential member within the very group. Kama tuliweza kuwa influential kwenye yale magroup ya kisiasa ya kupigania uhuru na mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini, kwa nini tushindwe kuwa hivyo ndani ya magroup yaliyoanzishwa kwa ajili ya social and economic transformation ya eneo husika?
 
Tokyo40,

..thanks for ur response.

..kuna mambo machache ambayo sikubaliani nayo, na moja wapo ni pale unaposema wa-Tz ni wavivu.

..hawa wa-Tz unaosema ni wavivu, na wasiokuwa na ujuzi wa mbinu bora za kilimo, ndiyo hao hao wanaoilisha nchi hii, na kuzalisha ziada kupeleka Kenya na kwingineko.

..mimi nadhani ungetusaidia kimawazo ni jinsi gani tunaweza kuongeza uzalishaji wa mkulima mdogo wa Tanzania. What can be done kumuwezesha mkulima huyu apande daraja na kuwa mkulima wa kati na baadaye mkulima mkubwa?

..Kwa nini tufikirie kuleta MABEPARI toka nje waje kutulimisha na kututumikisha, badala ya kufiria sisi wenyewe WATANZANIA kuwa mabepari na kwenda kulimisha wananchi wa mataifa mengine?

NB:

..Wakati wa Ujamaa Tanzania ilikuwa na kiwanda cha ku-assemble matrekta Trama Valmet, na kingine cha ku-assemble malori Scania.

..Pia Ujamaa ulikuwa kati ya 1967 to 1985. Baada ya hapo tumekuwa Mabepari. Kwa hiyo utaona kwamba Ubepari umedumu ktk nchi yetu kwa muda mrefu kuliko Ujamaa. Pamoja na hayo sidhani kama tuna mengi ya kujivunia kutokana na kuendesha nchi yetu Kibepari.

..Mimi nadhani tuachane na haya mambo ya Ujamaa vs Ubepari,tuangalie ni jinsi gani tunaweza kuwa more productive.

Mkuu, shukrani kwa maoni yako.

Hatuwezi kutegemea mkulima alete maendeleo nchini. Maendeleo yanaletwa na uzalishaji wa vitu kama magari, computer softwares na hardwares, madawa, vifaa vya mashine, ndege, na kathalika. Nilishawahi kutoa mfano wa faida us mkulima wa kahawa v/s mtengenezaji wa gari. Sijajibiwa mpaka leo nani atapata faida nyingi haraka kwa muda mfupi. Kilimo kwanza ni nzuri kwa Maendeleo kama ita achieve economies of scale. Pia, hamna nchi hata Moja duniani iliyoweza kujijenga kwa kutumia kilimo tu.

Sijasema Mtanzania hawezi kulima na kuwa mkulima mkubwa, nilisema haiwezekani kwa kumtumia mkulima wa kawaida wa leo. Kuzalisha kwa wingi kama Wakulima wa Kimarekani inahitaji ardhi kubwa, fedha nyingi na elimu ya juu ya kilimo. Kuna wakulima wangapi wana uwezo huo leo?

Pili, nillisema sisi ni wavivu wa fikra na kazi. Tunasubiri kupewa bure kila siku au kungojea wageni watuuzie. Hatuna simu zetu, hatuna madawa yetu, hatuna elimu zetu. Huu ni mfano hai wa uvivu wa fikra.

Sioni tofauti zaidi ya majengo mapya mjini. Mvua ikinyesha hakupitiki. Huu ni mfano hai wa uvivu. Tunasubiri Wajapani watusaidie kusafisha mifereji yetu.

Saa nne asubuhi, vijana wamekaa kijiweni kupiga domo badala ya kufanya kazi. Kama kazi hamna kwa nini wasiende nje kufanya kazi kama wanakijiji wa India huko uarabuni. Wale wahindi hata kusoma hawajui lakini wanafanya kazi na kulisha familia zao. Huu ni mfano hai wa uvivu wetu.

Hata hapa JF, kwa nini kuna sehemu za uzi wa mapenzi, siasa na umbea lakini hamna sehemu rasmi ya kupeana mawazo ya biashara za kimataifa?

Kuhusu matrekta ya Valmet na mabasi ya scania, vifaa vyote vimetoka nje. Kama tumetengeneza japokuwa spare parts, ningejisifu. Angalia kwenye mtandao makampuni ya Thailand, Taiwan, Malaysia na Indonesia wanavyotengeneza parts original zinazotumiwa katika magari ya Kijapani na Marekani. Hapo unapata elimu ya kujiendeleza sio tu kufundishwa kutumia skurubu na spana kubana parts hatujatengeneza sisi. Mimi nilishafika kiwanda cha scania hapo kibaha miaka ya 80 kama safari ya mafunzo ya kishule. Niliambiwa kila kitu kinatoka Sweden. Hapa ni spana tu.

Tanzania leo ipo mbele kutokana na sera za kibepari. Leo nalipa kodi zaidi kama mfanyabiashara kuliko wakati wa Ujamaa ambao nilibanwa kimawazo, kielimu na kibiashara. Na bila ya mfanyabiashara kuwa huru, nchi haijengeki.

History has taught us that Capitalistic form of business enterprises is the most efficient way to use human resources to be productive. There is no other way!
 
Last edited by a moderator:
EMT,

..sorry I can not quote ur entire post.

..ila lazima niseme umeandika vitu vingi vizuri.

..mimi sikubaliana na hii dhana ya ku-lose in a short term in order to win in a long run.

..Viongozi wetu, Mwapachu akiwa mmoja wao, ndiyo responsible na ma-champion wa kupiga porojo.

..Mimi naamini wa-Tanzania wa kawaida, given the right leadership, tunaweza kabisa kwenda moja kwa moja kwenye win-win situation ktk intergration.

..We can not talk about the benefit of deeper integration wakati mpaka sasa hivi Mtanzania wa kawaida haoni matunda yoyote yale ya EAC zaidi ya kuzongwa kila siku kwamba yeye ni mjinga na ajira yake itachukuliwa na majirani.

..Siyo kwamba viongozi hawana ujuzi wa "kuwasomesha" wananchi kuhusu integration. Ukweli ni kwamba so far, there is very little to show and convince wa-Tz kuwa kuna faida ktk EAC integration.

..Pia hatuwezi kuzungumzia the larger East African market wakati hatujatosheleza na hatuja-exploit market ya ndani.
 
Last edited by a moderator:
Absolutely. Tatizo badala ya kuanza kuyatimiza tunawaangalia wenzutu wanavyoenda kwa spidi.

Only kama utakuwa na soko la kutosha kuuza yatokanayo na rasilimali zako. Anasema "it is markets, larger markets, that enable economies to grow".

Unleashing the social and economic transformation cannot just be done internally, even when you have all the oil and gas. Katoa mfano wa Angola ndani ya SADC.

Kutumia rasilimali zetu vizuri ni pamoja na ku-industrialise na kutumia yatokanayo na matumizi mazuri ya rasilimali hizo kwa ku-invest kwenye manufacturing, kilimo rather than exporting agricultural commodities.

All these will need a market, a larger market, in terms of consumers and business ambapo tutaweza kuuza bidhaa hizo.

Hata Marekani ni superpower lakini ni member wa NAFTA inayojumuisha Canada na Mexico. Unafikri ni kwa nini?

Ndiyo maana Mwapachu ameongelea lack of communication. Anasema in Tanzania, "people are not that aware about what are benefits of deeper and wider integration". Ulivyosema "isije ikawa" ni kama vile huelewi kitu aka you haven't done your home work kujua faidha na hasara za kuwempo humo.

For the sake of having a larger free area market, integration inaweza kusaidia kupata hiyo market. Hata hivyo, mie nadhani competitor wetu mkubwa siyo Kenya or other neighbors, bali mataifa mengine makubwa na Muungano wa Ulaya. Muungano wa Ulaya una one say in the World Trade organisation na hii imesaidia members wake kupambamba na superpower kama Marekani kwenye trade negotiations.

Kwa level yetu ya maendeleo ili tuwe na nguvu at the international stage itabidi tuwe na voice moja. Lazima tuwe na common position moja kwa kuwa member wa economic group ambayo ni influential au itakayokuwa influencial at the world stage hasa kwenye masuala ya kiuchumi.

Na kama tukitumia rasilimali zetu vizuri tutakuwa influential member within the very group. Kama tuliweza kuwa influential kwenye yale magroup ya kisiasa ya kupigania uhuru na mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini, kwa nini tushindwe kuwa hivyo ndani ya magroup yaliyoanzishwa kwa ajili ya social and economic transformation ya eneo husika?

well analysed thanks.
 
..U have raised some good points, but there are a few areas where I disagree with you.

..As far as I am concerned Tz has been reluctant in free movement of labor and access to land, and EAC defence and protocal agreement.

..Tanzania has very high unemployment rates, I am not convinced that this is the right time for Tz open her labor market to the rest of EAC members.

..I don't think if we allow free movement of labor, then "KABOOM," we will have solved unemployment woes in our country.

..We would be lying to ourselves if we believe that neighbors have answers and quick fixes to the problems and deficiencies that we have in our infrastructure, education system, or agriculture.

Ndiyo maana Mwapachu kashauri kuwa badala ya sie wabongo kuendelea kupiga ramli, tutatue kwanza matatizo uliyoyataja.

Tatizo tunatambua tuna hayo matatizo lakini badala ya kuya-fix tunayatumia kama sababu za kutokuwa kwenye deeper integration.

..Mind you, we are the second largest economy in the EAC community. For quite sometime we have enjoyed the fastest growing economy among all members of the community. I think we should concentrate on sustaining that growth, instead of letting ourselves distracted na makelele ya jirani zetu.

Watanzania bana. Mwanasiasa wa ndani akisema kuwa uchumi wa Tanzania unakuwa kwa spidi kali anapingwa. Lakini tunaitumia argument hiyo hiyo kutoshirikiana na majirani zetu.

Ndo maana mie huwa nasema Watanzania ni wanafiki wa kutupwa. Unasema "For quite sometime we have enjoyed the fastest growing economy among all members of the community", but hapo hapo unasema "Tanzania has very high unemployment rates."

..Sikubaliani na hii mentality kwamba EAC ndiyo panacea ya matatizo yetu. Jumuiya hii imeanzishwa tangu mwaka 94 au 95 na mpaka leo matatizo yetu yapo palepale. Watanzania tujiangalie sisi wenyewe internally. Hakuna JIRANI atakayekuja kutukomboa.

Wewe unaangalia regional regional integration kama njia ya kututatulia matatizo yetu. Kule EU, kabla member hajajiunga na jumuiya ile lazima ajitatulie matatizo yake ya ndani kwanza. Wakati wewe unangalia regional integration as a fix to your internal problems, wengine wanaiangalia as an opportunity kama kupanua soko.
 
Tokyo40,

..kwa hapa Tz ilipo ni lazima tuanze na kilimo.

..lazima wakulima wadogo-wadogo wapande kuwa wakulima wa kati na hatimaye wakulima wakubwa.

..soko la chakula duniani lipo, na sisi tuna ardhi kubwa, kwanini tusiitumie?

..kwanini tulete mtu wa nje afanye kazi ya kilimo hapa Tanzania?

..pia hawa wakulima wadogo watakapokuwa wakulima wa kati, ndipo watakapoweza kulipa kodi na ku-consume bidhaa za viwanda vingine kama vya nguo, electronics, madawa, etc etc.

..kuhusu viwanda vya ku-assemble matreka na malori ile ilikuwa hatua ya kwanza. hatua ya pili tulikwenda kufungua Kilimanjaro Machine Tools ambayo ilitakiwa iwe inatengeneza baadhi ya vifaa kama engine blocks, chasis, etc kutokana na soko lilitokana na hizo car assembly lines.
 
Last edited by a moderator:
..mimi sikubaliana na hii dhana ya ku-lose in a short term in order to win in a long run.

Hakuna atakayekulazimisha kuikubali.

..Viongozi wetu, Mwapachu akiwa mmoja wao, ndiyo responsible na ma-champion wa kupiga porojo.

Lakini ni wawakilishi wetu. Hawajatoka nchini nyingine. Ni Watanzania kama sie. They are our representatives tuliowachagua kutuongoza.

Kama ni ma-champions wa kupiga porojo, tuliwachagua wewenye kupiga hizo porojo na wengi wetu huwa tunapenda sana porojo zao. Waliowachagua hao wapiga porojo ndo wa kulaumiwa kwa sababu kama siyo wao tusingekuwa na viongozi wapiga porojo.

..Mimi naamini wa-Tanzania wa kawaida, given the right leadership, tunaweza kabisa kwenda moja kwa moja kwenye win-win situation ktk intergration.

Only if you fix your internal problems first.

..We can not talk about the benefit of deeper integration wakati mpaka sasa hivi Mtanzania wa kawaida haoni matunda yoyote yale ya EAC zaidi ya kuzongwa kila siku kwamba yeye ni mjinga na ajira yake itachukuliwa na majirani.

Kwani hata matunda ya uongozi wa ndani ya nchi yanaonekana? Unamuungwa mkono Mwapchu kiaina.

..Siyo kwamba viongozi hawana ujuzi wa "kuwasomesha" wananchi kuhusu integration. Ukweli ni kwamba so far, there is very little to show and convince wa-Tz kuwa kuna faida ktk EAC integration.

Of course, there is very little to convince anyone. Hatuko productive so hatuhitaji soko kubwa. Laiti tungekuwa productive lazima tungeona umhimu wa EAC in terms of access to market.

..Pia hatuwezi kuzungumzia the larger East African market wakati hatujatosheleza na hatuja-exploit market ya ndani.

Sasa unachopingana na Mwapachu ni nini hasa?
 
Ndiyo maana Mwapachu kashauri kuwa badala ya sie wabongo kuendelea kupiga ramli, tutatue kwanza matatizo uliyoyataja.

Tatizo tunatambua tuna hayo matatizo lakini badala ya kuya-fix tunayatumia kama sababu za kutokuwa kwenye deeper integration.

Watanzania bana. Mwanasiasa wa ndani akisema kuwa uchumi wa Tanzania unakuwa kwa spidi kali anapingwa. Lakini tunaitumia argument hiyo hiyo kutoshirikiana na majirani zetu.

Ndo maana mie huwa nasema Watanzania ni wanafiki wa kutupwa. Unasema "For quite sometime we have enjoyed the fastest growing economy among all members of the community", but hapo hapo unasema "Tanzania has very high unemployment rates."

Wewe unaangalia regional regional integration kama njia ya kututatulia matatizo yetu. Kule EU, kabla member hajajiunga na jumuiya ile lazima ajitatulie matatizo yake ya ndani kwanza. Wakati wewe unangalia regional integration as a fix to your internal problems, wengine wanaiangalia as an opportunity kama kupanua soko.

..ushauri wangu ni kwamba usome post nzima na u-respond.

..IMHO, ukijaribu ku-respond to sentence by sentence unaharibu mjadala mzima.

..numbers dont lie kwamba uchumi wetu kwenye makaratasi unakua kuliko wa wenzetu.

..pamoja na hayo, bado ukuaji huo haujawafikia wa-Tz waliowengi, na umeshindwa kutatua matatizo yetu likiwemo la ajira.

..sasa wengine tunaposema turekebishe matatizo yetu ya ndani, kabla ya kuanza kukaribisha watu humu ndani, wengine mnadai huo ni UOGA.

..Wanaoangalia regional integration kama njia ya kutatua matatizo yetu ni wakina Mwapachu na wenzake. Tena ndiyo maana wanapata kigugumizi na wanaona haya kwenda "kuiuza" jumuiya kwa wananchi. Hata hapo uliponi-quote nimeeleza wazi kwamba "HAKUNA JIRANI ATAKAYE KUJA KUTUKOMBOA."

..Again, mimi nadhani wa-Tz tuelekeze nguvu zetu katika kutatua matatizo yetu ya ndani, ili tuweze kuwa winners ktk hii East African regional integration.
 
Mkuu JokaKuu asante kwa kuleta hii mada!
Kwanza, nianze kwa kusema hii issue ya regional integration, there are two ways of looking at it. There is the short term effects of it and then there is the long term effects that sum up to a so called bigger picture!
I think Tanzania may stand to lose a few things in the short term, but we should be farsighted and see beyond that. Tanzania's population is fast approaching 50million and is growing real quick. If there is ever to be a Federal Government of EA, it will comprise over 50% Tanzanians, thanks to the sheer majority of Tanzanians in the EA union. It will also be headquartered on Tanzanian soil. Tanzania will also be the breadbasket of the entire EA as well as energy powerhouse. Kenyans have massive geothermal potential and we have gas. Together we can rise up, we just have to make those sacrifices, however painful they may first appear to be.
Honestly, i think regional integration is the right way to go, but we should do it in a way that everyone benefits. Tuandae national agenda tutakayostrive to attain within the EAC...what are we in the EAC for? Once we answer that question tutaua hii 'Kenya-TZ' cold war. Wakenya wameshajibu hilo swali na ndio maana wanachakarika! IAfrika njoo umwage sera!

Wewe Mshikaji haujui unachokiongea, Iweje TZ iwe 50% ya Watu wote waishio AM? nafikiri labda tatizo lako ni lugha embu tutumie Kiswahili labda tutaeleweka!
Kwa mahesabu ya harakaharaka TZ tuko kama miloni 40 Kenya wanacheza hapo hapo Uganda wako kwenye milioni 37 wanakaribia arobaini Unyarwanda wanagonga miloni 18, Urundi ni milioni zaidi 10 sasa ukijumlisha hizo zote, ngoja nikufanyie

Tz 40 + Ke 40 + Ug 37 +Rw 18 Br 10 =145milioni
​

Sasa kokotoa Je watu milioni 40 na ushehe wanawezaje kuwa asilimia 50% ya watu milioni 145? Ni muujiza gani huo utakaotokea?
 
Ukiniuliza mimi kwanza na ningekuwa ni Raisi wa Tanzania ningeitoa nchi yangu kwenye hizi Jumuiya;
Umoja wa Afrika (AU), Afrika Mashariki, Commonwealth, na kubakiza SADC tu!
 
..U have raised some good points, but there are a few areas where I disagree with you.

..As far as I am concerned Tz has been reluctant in free movement of labor and access to land, and EAC defence and protocal agreement.

..Tanzania has very high unemployment rates, I am not convinced that this is the right time for Tz open her labor market to the rest of EAC members.

..I don't think if we allow free movement of labor, then "KABOOM," we will have solved unemployment woes in our country.

..We would be lying to ourselves if we believe that neighbors have answers and quick fixes to the problems and deficiencies that we have in our infrastructure, education system, or agriculture.

..Mind you, we are the second largest economy in the EAC community. For quite sometime we have enjoyed the fastest growing economy among all members of the community. I think we should concentrate on sustaining that growth, instead of letting ourselves distracted na makelele ya jirani zetu.

..Sikubaliani na hii mentality kwamba EAC ndiyo panacea ya matatizo yetu. Jumuiya hii imeanzishwa tangu mwaka 94 au 95 na mpaka leo matatizo yetu yapo palepale. Watanzania tujiangalie sisi wenyewe internally. Hakuna JIRANI atakayekuja kutukomboa.

..Kuhusu RESOURCES nadhani tuwe makini ukizingatia upumbavu tulioufanya kwenye GOLD na TANZANITE.

I understand what you are saying. However, we cannot put all our eggs in one basket. We don't have to depend on EAC to achieve all our goals at once.

We can work overseas and get world experience, increase forex in our economy and reduce employment for example. Live examples: Indians and Filipinos in the Middle East. Thousands of Kenyans and Ugandans are working there in various fields as we speak. Someone can send our unskilled workers there to clean their streets for $300 like the Indians do. It is better than staying idle. It's not like we can pay them any better.

We can sign agreements to export to other markets at favorable rates.

We can use the power of the Internet to produce wealth through e-business.

Live example: I earned from buying and selling certain foreign currencies. I hedged that the oil price will go down and earned on such a bet as well. I dumped my shares of a certain company in which I earned a fat profit. I have delivered goods from Alibaba.com manufacturer at a profit you won't believe. Why should I lose my sleep over Kenyans?

There is a vast amount of wealth right at our fingertips. All we have to do is look at the right place. Internet is not only for chatting with strangers, finding lovers and watching pornography.
 
Wewe Mshikaji haujui unachokiongea, Iweje TZ iwe 50% ya Watu wote waishio AM? nafikiri labda tatizo lako ni lugha embu tutumie Kiswahili labda tutaeleweka!
Kwa mahesabu ya harakaharaka TZ tuko kama miloni 40 Kenya wanacheza hapo hapo Uganda wako kwenye milioni 37 wanakaribia arobaini Unyarwanda wanagonga miloni 18, Urundi ni milioni zaidi 10 sasa ukijumlisha hizo zote, ngoja nikufanyie

Tz 40 + Ke 40 + Ug 37 +Rw 18 Br 10 =145milioni
​

Sasa kokotoa Je watu milioni 40 na ushehe wanawezaje kuwa asilimia 50% ya watu milioni 145? Ni muujiza gani huo utakaotokea?
The last official census recording the population of Tanzania occurred in 2012 and showed there were 44,928,923 people living in the country. Of this total population, 1.3 million reside on the islands of Zanzibar. This equates to a population density of 47.5 people per square kilometer (123.1 people per square mile). The population is now estimated at over 51 million, as Tanzania has one of the highest birth rates in the world and more than 44% of the population is under the age of 15. The total fertility rate is 5.01 children born per woman, which is the 18th highest of any country.
 
Tokyo40,

..kwa hapa Tz ilipo ni lazima tuanze na kilimo.

..lazima wakulima wadogo-wadogo wapande kuwa wakulima wa kati na hatimaye wakulima wakubwa.

..soko la chakula duniani lipo, na sisi tuna ardhi kubwa, kwanini tusiitumie?

..kwanini tulete mtu wa nje afanye kazi ya kilimo hapa Tanzania?

..pia hawa wakulima wadogo watakapokuwa wakulima wa kati, ndipo watakapoweza kulipa kodi na ku-consume bidhaa za viwanda vingine kama vya nguo, electronics, madawa, etc etc.

..kuhusu viwanda vya ku-assemble matreka na malori ile ilikuwa hatua ya kwanza. hatua ya pili tulikwenda kufungua Kilimanjaro Machine Tools ambayo ilitakiwa iwe inatengeneza baadhi ya vifaa kama engine blocks, chasis, etc kutokana na soko lilitokana na hizo car assembly lines.

How can you make unskilled and poor farmer with limited resources and land achieve economies of scale?

About the spare parts business, you can only earn cookie points if the business proved successful. It failed because ujamaa is inefficient when it comes to productivity and profits. It only cares about full employment at all cost.
 
Last edited by a moderator:
Tokyo40,

..kwa hapa Tz ilipo ni lazima tuanze na kilimo.
I beg to differ. The backbone of any modern economy ni infrastructure na sio kilimo as we have been led falsely to believe. Tutumie mapato yetu ya gesi (estimated at $2.5-$3billion annually) kuunda a special infrastructure fund (as Mwapachu has stated) itakayofinance major port, road, rail and energy projects in the country.
Hii dhana ya kuwa waTZ ni wazembe ni ya kipumbavu sana na sikubaliani nao. Amka tu siku moja as early as 3am uone jinsi watu wanavyochakarika kwenda makazini! Kuna report (nitaweka link baadae) ilisema African workers are just as productive as Chinese workers, but the difference is in what happens outside the factories (miundombinu)
Ukijenga kwa mfano road network nzuri na extensive, electrified standard gauge railway network na kufungulia private sector ioperate high speed trains labda kutoka Kigoma hadi Dar in 4hrs, miradi mikubwa ya umeme ukapunguza bei za umeme na maji wawekezaji watajileta wenyewe tu. Hatutakuwa na haja ya kwenda kuwaomba waje. Sector zote za uchumi kuanzia kilimo ulichokitaja hadi utalii zitaimarika. its a ripple effect.
Tuige mfano wa Ethiopia. Ethiopia is investing massively in infrastructure na ndio maana umaskini kule umepungua by a whooping 34% in just ten years!
Nashukuru January Makamba ana idea kama hiyo niliyo outline hapo juu!
 
The last official census recording the population of Tanzania occurred in 2012 and showed there were 44,928,923 people living in the country. Of this total population, 1.3 million reside on the islands of Zanzibar. This equates to a population density of 47.5 people per square kilometer (123.1 people per square mile). The population is now estimated at over 51 million, as Tanzania has one of the highest birth rates in the world and more than 44% of the population is under the age of 15. The total fertility rate is 5.01 children born per woman, which is the 18th highest of any country.

Tz population is still NOT HALF of EAC population, whatever data or predictions you bring to the table.
 
..ushauri wangu ni kwamba usome post nzima na u-respond.

Kwa hiyo nimekujibu bila kusoma post yako?

Post yako nimeisoma ndo maana nimekujibu kwa kila sentensi.

Kama ulikuwa umeisikiliza video nzima ya Mwapachu usingeanzisha uzi wa mistari miwili.

..IMHO, ukijaribu ku-respond to sentence by sentence unaharibu mjadala mzima.

Then start by walking the talking.

Wewe kuanzisha uzi kwa kubase argument yako kwenye maneno ya mwisho ya Mwapachu sawa lakini mie kukujibu kila sentensi yako shida.

To others, every word counts so you better be careful na unachoandika hasa pale ulichoandika kwenye sentensi moja kinapojicontradict na kile ulichoandika kwenye sentensi inayofuata.

So, be responsible for what you write bse wengine huwa tunasoma na kujibu neno kwa neno.

Hatusomi juu juu. Ila kama hupendi attention to details, I am more than happy kukaa kando ili nisiharibu huu mjadala.
 
Tz population is still NOT HALF of EAC population, whatever data or predictions you bring to the table.
I know. I take that back. But we will still be a majority.
Tanzania
(51/150)*100 = 34%
Kenya
(45/150)*100 = 30%
Uganda
(39/150)*100 = 26%
This means that the EA parliament will have a majority of Tanzanians in it.
 
Back
Top Bottom