Maoni ya Hussein Bashe bungeni kuhusu TTCL

Hahahaha na we nae unajiona umeongea points kumbe pumba tu, ivi utumishi wanavyoajiri kila siku watu tofauti tofauti tofauti katika kada tofauti wanajua kila kitu? Ikitangazwa kazi linatafutwa jopo la wataalam wa fani husika wanamfanyia usaili muhusika na hapo mtaalam mpya anakuwa amepatikana kwa kada hisika, hilo ndio linalofanyika sasa we unataka kila siku watu wanakua appoited tuu, mnapeana ulaji kidugu ndugu tu na kwa kujuana juana, hovyo kabisa hatuwezi endelea kwa upuuzi huu
 
We ni wa kuonewa huruma
 
Kijana wangu keep it up!! We believe you
 
logic yake maamuz makubwa yasiwe yanatoka kwa waziri (political figures) hawa sio wote wenye utaalam wa haya mambo weng wanafanya kisiasa iende kwa watu wanaoendesha mashirika kitaaluma na sio kisiasa
haiwezekan mtu anaepewa jukuma la kusimamia shirika then hana maamuzi ya juu hilo shirika huon sheria imejichanganya hapo???

it require an intelligent person to understand the intelligent person

kama hukumuelewa nishajua tatzo lako ni nn
 
Mambo yenye maslai mapana kwa taifa ukiwaachia hawa wahuni twafa. Bora waziri Mara 100. Mashitaka mengi mpaka sasa ni yanatumiwa vibaya na hiyo TR akishirikiana na CEOs na Bodi.
 
Nawe hapo una mawenge.
 
Meno ni kwa levels.
 
Wewe unajua taratibu za uteuzi wizarani au unadhani tu waziri anaweza kuamka asubuhi na jina la mtu wake mfukoni?
 
....At the moment Bashe is the best CCM MP...It is very unfortunate that instead of using him efficiently anapigwa vijembe kwamba si mzalendo...
 
Wewe unajua taratibu za uteuzi wizarani au unadhani tu waziri anaweza kuamka asubuhi na jina la mtu wake mfukoni?
Kwa nin hatuoni namna nyingine bora ya kupata watu wazuri kwenye nafasi za utendaji zaidi ya uteuzi?? haihitaji akili nyingi kubaini dosari iliyopo kwenye vyombo vinavyomsaidia mteuzi kupata watu wanaofaa kiutendaji..nadhani wao wenyewe akili yao ni dhaifu inafanya kwa mazoea tu! zama hizi mambo ya kuteua teua hasa kwa nchi zetu zinazotaka kupiga hatua haraka kimaendeleo zimepita..mtu ahojiwe kama kazi anayotaka kupewa ataiweza, ana mambo gani mapya!!! mambo ya kanuni, taratibu na sheria yameshapitwa na wakati, tunahitaji problems fixers!
 
Wewe unajua taratibu za uteuzi wizarani au unadhani tu waziri anaweza kuamka asubuhi na jina la mtu wake mfukoni?
..katibu mkuu wa wizara ameteuliwa siku mbili zilizopita, siku anaapishwa anahojiwa na media maneno aliyojiandaa nayo ni "nitafuata sheria, kanuni na taratibu.." kwa kifupi huyu hana kosa, waliompendekeza kwa mteuzi ndio hawafai kwa kazi waliyopewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…