TTCL isijekurudi kuwa Shirika la Umma tena. Kila mtu anafanya anachotaka na hakuna kuwajibishwa. Mara nyingine tuangalie mambo gani yatasaidia tufike tunapotaka kwenda
umenifurahisha juzi aliuliza swali ambalo zitto alihoji inakuwaje BOT/SERIKALI hainyeshi performance ya import na export kwenye taarifa zao kuna nini wanakificha?
Kitendo cha kuifanya TTCL-PESA kuwa kampuni tanzu ni kifo kwa ttcl,Celtel ilianza hivyo na mwishoni wakajitenga!!!! na mwishoni wakalipwa bila kuwekeza chochote!! Bashe keep it up!! TTCL-PESA imilikiwe na TTCL 100%