Akili zako sijui zikoje! Mbowe anahusikaje hapo?Chadema Kwa Akili hizi acha Mbowe wa Darasa la 7 awaongoze Milele. Kama Hakuna Siku ya Kuwakumbuka waliokufa na Ajali ya Treni Dodoma, Nungwi
Leo tuweke siku ya Kumbukumbu ya Watoto 32? Kwa Akili hizi acha mdeki Barabara.
Ndugu usilete siasa za kijinga kwenye hili suala, kwangu mimi msiba hauna siasaMisukule ya Mbowe
Kwa coment kama hizi ban hazitakuisha!Chadema Kwa Akili hizi acha Mbowe wa Darasa la 7 awaongoze Milele. Kama Hakuna Siku ya Kuwakumbuka waliokufa na Ajali ya Treni Dodoma, Nungwi
Leo tuweke siku ya Kumbukumbu ya Watoto 32? Kwa Akili hizi acha mdeki Barabara.
tusiishie kwenye magari tu, pia mabweni yakaguliwe na mfumo mzima wa uendeshaji wa shule binafsi, na huu mtindo wa kupeleka watoto serengeti tour nao utizamwe, watoto wanalalamikia usalama wa mabus aina ya coaster yanapokuwa yanashuka ngorongoro kreta, mie mwanangu alisema waliyoyaona wakati wanashuka huko korongoni, amekoma hataenda tena.iwe ya mapumziko jaman na siku hii itumike kukagua private schools zote na magari yai vyeti vya madereva wao na wamiliki ili kisitokee tena kitu cha namna hii
Ni kweli mkuu watu wa Bukoba wamezurumiwa pesa zao za rambi rambi Halafi hiyo huruma itoke wapi ya hao watotoChadema Kwa Akili hizi acha Mbowe wa Darasa la 7 awaongoze Milele. Kama Hakuna Siku ya Kuwakumbuka waliokufa na Ajali ya Treni Dodoma, Nungwi
Leo tuweke siku ya Kumbukumbu ya Watoto 32? Kwa Akili hizi acha mdeki Barabara.
hawa watoto waliozaliwa mwaka 2000 mkuu..hata hawakumbuki yote hayoDah... Kuna mv Bukoba....kuna treni kule Dodoma....shauritanga.. . Si vyema kuweka kumbukumbu za majanga ya ajali ...Hasa yaliyosababishwa na uzembe wa binadamu .. .ili iweje?? Ni vizuri tukaweka kumbukumbu kwa waliopoteza maisha katika harakati za kupigania uhuru na ustawi wa jamii yetu....