Mwafrika ukitaka kumficha kitu weka kwenye maandishi, wapendwa someni tena uz wote japo mlefu mwishon una majibu kama mnayotoa!!!
Kiukweli tuendako katika utawala huu nikubaya kuliko tulikotoka. Kuna vitu kujifunza wakati unafanya . Lakn usijaribu kujifunza kuongoza nchi . Jifunze kabla hujaanza kuongoza.
Angalau nimemfahamu Nkurumah kupitia uzi wako mkuu Jipu-bishi.
Magufuli is like Nkrumah in one aspect.Historia halisi ya Viongozi wa Kwanza Africa haikuandikwa kwa ukweli wake. Nkurumah alikuwa na maono mazuri sana kuhusu Ghana na Africa kwa ujumla. Kama alivyosema Martin Luther, ukitaka kujua Character halisi za Kiongozi, mpe madaraka. Huu ndio ugonjwa wa Viongozi wetu wa Kiafrika, Madaraka, Dharau kwa Wananchi wako na Wapinzani wako, Power Corruption na akina dada weupe. Soma Historia ya Nkurumah kwanini aliamua kwenda kuoa Misri akawaacha mabinti wengi wa Ghana.
Kwame Nkrumah alihalalisha rushwa kwa polisi?